The Tanzania Mainland Premier League ("Ligi Kuu Tanzania Bara" in Swahili) is the top-level professional football league in Tanzania and is administered by the Tanzania Football Federation. This league was created in 1965, when it was known as the "National League". Its name was changed later to the "First Division Soccer League" and changed again in 1997 to the "Premier League".
Wachezaji wa Pamba Jiji FC wametishia kususia mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union wa Juni 30, 2026, kutokana na kile walichodai kuwa ni kucheleweshewa malipo ya mishahara na bonasi kwa zaidi ya miezi mitatu.
Taarifa kutoka ndani ya kikosi hicho zinaeleza kuwa...
Mchezaji wa Singida Black Stars Mossi Nduwumwe amefikisha mabao 12 msimu huu baada ya kufunga hat-trick yake ya kwanza, ambayo pia ndiyo ya pekee hadi sasa katika Ligi Kuu Tanzania Bara.
Wengi wanajiuliza, ingekuwaje kama mchezaji huyo angekuwa anatokea kwenye moja ya timu mbili zenye mashabiki...
Leo Simba wapo tena uwanjani dhidi ya Mbeya City
Simba kwa mara ya kwanza kwenye msimu huu wanacheza mechi ya mchana tena jua kali na hili jua kali liwawakie tu
Mbeya City VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Sokoine | Juni 17, 2026 | 8:00 Mchana
Yanga imeendelea kuwa na moto, inautaka ubingwa "wake”, hiyo ni baada ya kuichapa Namuongo, hivyo kuendelea kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa tofauti ya pointi mbili dhidi ya Simba ambayo inashika nafasi ya pili.
Mechi ipo live Yanga yupo mbele hadi sasa
#############
Allan Okello...
Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za Arsenal na zote zikiwa zimesaliwa na mchezo mmoja.
Hadi sasa Arsenal ina pointi 82, Man City ni ya...
Yanga wapo Mbele hadi sasa wakiwa wamefunga magoli matatu. Magoli mawili yamefungwa Okello na goli moja limefugwa na Max Mpia
Mechi bado ipo live
Yanga wanaendelea na ubabe kwenye ligi kuu ya NBC baada ya leo kuondoka na ushindi mnono wa magoli matatu kwa sifuri dhidi ya Coastal Union na...
Allan Okello amefunga goli pekee wakati timu yake ikiifunga KMC na hivyo kuendelea kuongoza kwa kufikisha pointi 51 kwenye michezo 21 katika msimamo wa Ligi Kuu Bara.
KMC imeendelea kuwa na hali mbaya kwa kuwa imebaki mkiani kwenye msimamo ikishika nafasi ya 16, ina pointi 9 katika mechi 21
Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameshauri Wizara ya michezo kupitia BMT wapitie na wapendekeze kima cha chini cha mishahara ya wachezaji kwenye Ligi mbalimbali nchini hususani Ligi kuu.
Amesema "Kuna baadhi ya Wachezaji wanapokea laki 4 , laki 3, Million 1 na wengine wanapokea Milioni 10, 20 hadi...
Namungo yuko nyumbani akimkaribisha Simba mechi ipo dakika ya 13 kwenye uwanja wa
Majaliwa Stadium.
Vikosi vya leo
Gli kwanza la simba limewekwa ndani na Libesse Gueye
25' Simba wanapata bao la 2 mfungaji Oura
30' Namungo 0- Simba 2
33' Namungo wanapata bao la kwanza kwa mkwaju wa...
1. Vilabu vya Yanga na Azam vinawania saini ya Ramadhani Chobwedo kutoka TRA United
2. Buba Jmameh ataachwa na Yanga mwishoni mwa msimu huu ( Done deal)
3. Kelvin Nashon anatakiwa na Simba SC. ( Done deal)
4. Mohamed Bajaber ataachwa na Simba SC mwishoni mwa msimu ( Done deal)
5. Ladack Chasambi...
Juzi hapo Coastal Union kamnyanyasa Prisons na kumfunga magoli manne hakukuwa na kelele kwasababu Prisons wapo katika hali mbaya.
Simba kaifunga KMC yenye hali mbaya zaidi goli 2 nimeshangaa sana kuona Simba wamevimba kurudi kwenye ubora wao, Kwa hii Simba wakija kucheza na timu zilizomo 5 bora...
Jezi ya Taifa ya CCM ni mbaya haina mvuto na haijulikani imetengenezwa na Kampuni gani, Hii jezi yao ni imeigwa kutoka kwenye Timu moja ya ligi guy Ukraine inaitwa SHAKHTAR DONESKS Ya Msimu uliopita. Yani CCM kila jambo hawawezi kulifanya kwa uwekedi yani ukiangalia jezi za Mataifa mengine ni...
Shalom shalom
Kwasisi watu wa Pwani tunaojua maana ya neno ubaya ubwela, tunajua uzito wa hili neno na maana yake hasa Kwenye masuala ya upande wa giza.
Simba abadili msemo au aendelee kuteseka, mm kama mwanajangwani kwasasa nimejawa na roho ya huruma hivo ningependa wapate chochote msimu huu...
AHADI imetolewa kwamba wagombea ubunge na udiwani wa CCM wakichaguliwa kwenye uchaguzi mkuu watahakikisha Mkoa wa Songwe unapata timu inayoweza kushindana kwenye ligi kuu.
Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Vwawa kupitia CCM, Japheti Hasunga ametoa ahadi hiyo jana alipoomba kura kwenye mkutano...
Namba huwa hazidanganyi. Jonathan Sowah ni mshambuliaji wa kati bora. Akiwa katika Ligi ya Ghana mwaka 2023, alicheza mechi 28 na kufunga mabao 16 na kutoa assisti moja (1).
Nchini Ghana alikua akicheza katika klabu ya Medeama. Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika alicheza mechi nane na kufunga mabao...
Liverpool wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Alexander Isak kutoka Newcastle United, wakiweka rekodi mpya ya usajili England kwa mara ya pili msimu huu wa joto.
Alexander Isak ametangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Liverpool kwa usajili wa rekodi wa £125m kutoka Newcastle kwa Mkataba hadi...
Ligi Kuu ya England itaendelea leo kwa mchezo kati ya West Ham na Chelsea majira ya saa 4:00 usiku (EAT), ikiwa ni mchezo wa raundi ya pili kati ya raundi 38 zinazotarajiwa kuchezwa msimu huu.
Katika raundi ya kwanza:
Chelsea walitoka sare ya bila kufungana (0-0) dhidi ya Crystal Palace.
West...
Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza.
kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.