Baada ya kuhitimu elimu ya msingi, wanafunzi wasikae nyumbani

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,074
1,857
Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili.

TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI

Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu elimu ya msingi leo tarehe 14 Septemba. Nashauri wanafunzi hawa wasikae nyumbani kusubili matokeo na kufungua shule mwezi wa kwanza. Kipindi hicho nikirefu sana maana ni takribani miezi 4.

Hii ni hatari sana kwa watoto haswa wa kike. Napendekeza shule zote za secondary ziwachukue waendelee kusoma English course kwa kipindi chote mpaka mwezi wa 12 shule zitakapofungwa. Program hii itasaidia kupunguza kuzagaa kwa watoto hawa mtaani jambo ambalo linaweza kusababisha kesi kadhaa ikiwemo ujauzito.

Lakini pia itasaidia walimu kwa mwaka unaofuata kuanza na masomo badala ya kuanza na English course. Tukifanya hivyo, niimani yangu tutasaidia watoto wengi ikiwemo watoto wetu wa kike.

#NINAMLINDA
 
Wazazi mnakwepa majukumu, malezi manawasakizia walimu. Timizeni wajibu wenu. Aliyeweka likizo alikuwa na akili timamu. Kichwa kinapaswa kupumzika baada ya muda fulani, mtafanya watoto wachukie shule.
 
Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili.

TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI

Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu elimu ya msingi leo tarehe 14 Septemba. Nashauri wanafunzi hawa wasikae nyumbani kusubili matokeo na kufungua shule mwezi wa kwanza. Kipindi hicho nikirefu sana maana ni takribani miezi 4.

Hii ni hatari sana kwa watoto haswa wa kike. Napendekeza shule zote za secondary ziwachukue waendelee kusoma English course kwa kipindi chote mpaka mwezi wa 12 shule zitakapofungwa. Program hii itasaidia kupunguza kuzagaa kwa watoto hawa mtaani jambo ambalo linaweza kusababisha kesi kadhaa ikiwemo ujauzito.

Lakini pia itasaidia walimu kwa mwaka unaofuata kuanza na masomo badala ya kuanza na English course. Tukifanya hivyo, niimani yangu tutasaidia watoto wengi ikiwemo watoto wetu wa kike.

#NINAMLINDA
Huyo mtoto anaeshinda shule kila siku atajifunza lini hata kazi za nyumbani.
Na je kumpeleka mtoto shule kunamlinda vipi na predators huko anakoenda?
 
Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili.

TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI

Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu elimu ya msingi leo tarehe 14 Septemba. Nashauri wanafunzi hawa wasikae nyumbani kusubili matokeo na kufungua shule mwezi wa kwanza. Kipindi hicho nikirefu sana maana ni takribani miezi 4.

Hii ni hatari sana kwa watoto haswa wa kike. Napendekeza shule zote za secondary ziwachukue waendelee kusoma English course kwa kipindi chote mpaka mwezi wa 12 shule zitakapofungwa. Program hii itasaidia kupunguza kuzagaa kwa watoto hawa mtaani jambo ambalo linaweza kusababisha kesi kadhaa ikiwemo ujauzito.

Lakini pia itasaidia walimu kwa mwaka unaofuata kuanza na masomo badala ya kuanza na English course. Tukifanya hivyo, niimani yangu tutasaidia watoto wengi ikiwemo watoto wetu wa kike.

#NINAMLINDA
I strongly disagree with you sir shule sio sehemu pekee yenye ulinzi muda huu ni wakuacha watoto na kuwafacilitate kugundua passion na talent zao na kujifunza au kufundishwa necessary surviving skills what is wnglish by the way wastage of time
 
Wazazi wa siku hizi ni hovyo Sana....mbona kama malezi yanawashinda mnawasukumia walimu mizigo....Kaa na watoto wenu ili mjue tabia zao na nyie hizo English kozi wafundisheni huko majumbani kwenu. Walimu wakiwaomba posho mnalalamika.....kaeni nao.
Acha makasiriko
 
Nilitegemea mwl usema wakimaliza shule wajifunze kazi zamikono majumbani mwao(necessary surviving skills kama ,ushonaji,upishi,kupamba keki,ususi,fundi vyerehen,ufundi umeme,udereva nk..hizi skills zitawasaidia mbele yasafari huko ktk kukabilianan na ukosefu wa ajira...kujua kiingereza tu kwasasa hakitoshi ktk kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira.
 
Back
Top Bottom