prophet

In religion, a prophet is an individual who is regarded as being in contact with a divine being and is said to speak on that entity's behalf, serving as an intermediary with humanity by delivering messages or teachings from the supernatural source to other people. The message that the prophet conveys is called a prophecy.
Claims of prophethood have existed in many cultures throughout history, including Judaism, Christianity, Islam, in ancient Greek religion, Zoroastrianism, Manichaeism, and many others.

View More On Wikipedia.org
  1. Joyboy

    Debunking Jesus as a simple prophet

    Let's make this clear once and for all. When Jehovah said; Isaiah 44:6 [6]Thus saith the LORD the King of Israel, and his redeemer the LORD of hosts; I am the first, and I am the last; and beside me there is no God. But also when Jesus said in revelation; Revelations 1:17-18 [17]...And he laid...
  2. LIKUD

    Baada ya kongamano lake kufana Tanzania,Wakenya wamlilia Prophet Lovy. ( Nigeria,South Africa, Ghana nao waomba akafanye mkutano nchini mwao )

    Ndugu zangu. Narudia tena kwa mara nyingine. Usicheze kabisa na mtu aliebarikiwa na Mungu. Kind David, the King of the United Kingdom of Israel and Judah alikuwa muuaji lakini alikuwa chaguo la Mungu. Baadhi ya watu walimuita mtu wa damu " bloody man" ( 2 Samuel 8) lakini Mungu alimpenda...
  3. LIKUD

    Huyu Prophet Lovi ana nyota Kali sana halafu kwenye mambo ya upako msichukulie poa hata kidogo

    Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana : " Dada angu wewe: 1. Huna tako ( shape) 2. Huna sura 3. Huna kazi. 4. Hujasoma. 5.Huna biashara. 6.Huna danga. 7. Hupati psi psi mtaani. Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu.. Nimeiona hali hii kwenye comments...
  4. Mjukuu wa kigogo

    Prophet Lovy Elias kukiwasha Kijitonyama

    Maisha yanaenda kasi sana kwa mila zetu za Kitanzania sidhani kama ni sahihi kwenda kuombewa na mtu akiwa hivi eti nabii!
  5. LIKUD

    Haya ndo Majibu yangu kamili kuhusu maswali yote matatu yanayoulizwa na watanzania kuhusu Prophet Lovy

    Haya back to the point. 1. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA TATOO NYINGI HIVYO? Majibu yangu: Mtumishi wa Mungu alijichora hizo tatoo katika kipindi ambacho bado hajaokoka. 2. KWANINI MTUMISHI WA MUNGU ANAKUWA NA RASTA KAMA BOB MARLEY? Majibu yangu : Mtumishi wa Mungu kuwa na Rasta sio...
  6. LIKUD

    Nimemtetea Prophet Lovi mtandaoni kwamba Tatoo alizichora kabla hajaokoka then nimekuwa rewarded

    Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali. Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded. Ni hivi...
  7. Surya

    Niseme tu namkubali sana Prophet Lovy Elias (Tarehe 08/12/2023 sio ya kukosa)

    Kama ni nondo Huyu nabii anazo kweli kweli, chakula kigumu haswa Prophet Lovy karibu nyumbani watoto wa Mungu tunakupenda sana.
  8. Mhaya

    UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

    Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu. Mfano; 1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli. 2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa 3. Elisha: Alifufua mtu aliyekufa na kuponya waliugua 4. Yesu: Huyu alifanya makuu mengi sana...
  9. Mwande na Mndewa

    Prophet Sanga 2022: Niliona mawe yenye moto,nikaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, ikakaa, tuombe

    "Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga. "Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka...
  10. Msanii

    Mwenye historia ya Prophet Seguye atuwekee

    Prophet Seguye wa Kivule kituo cha Matembele ya Pili ni mkuu wa huduma ya Kisima cha Mpenyo. Amekuwa maarufu hivi karibuni kwa kutoa maelekeo ya wanaoenda kuombewa kwake waende na nywele zao ndani ya vitambaa. Naomba mwenye historia yake ama waliphudumiwa naye tuweze kumfahamu zaidi
  11. PAZIA 3

    Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  12. K

    Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Mhubiri wa Kimataifa kutoka nchini Nigeria, Temitope Balogun Joshua, maarufu kama TB Joshua amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 57 Amefariki saa chache baada ya kumaliza Huduma ya kichungaji katika Kanisa lake Jijini Lagos Ni mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nation (SCOAN)...
  13. 2

    Here's Archbishop Harrison Ng'ang'a prophecy to Kikuyus

    HERE'S ARCHBISHOP HARRISON NG'ANG'A PROPHECY "Currently, the best businesses are owned by Kikuyus. The biggest churches, best cars, most successful and educated people, and even the president, are from our land. It rains more in Mt Kenya region than in any other place But, if you don't change...
  14. mbenge

    Uchaguzi 2020 Hakika Tundu Lissu ni "living miracle"

    Mengi yalisemwa kuhusu YEYE pale aliposhambuliwa kwa jaribio la kioga ili kuweza kupoteza maisha yake. Zilijengwa hoja hafifu ili kuhalalisha udhalimu ule, kumbe wabaya wake hawakutambua ili mbegu iote ni lazima ichimbiwe ardhini na kisha imee na hatimaye iweze kugeuka kuwa mche na baadaye mti...
  15. Mkogoti

    Mwenye CV ya Chief Prophet Nicolaus Suguye naomba aiweke hapa

    Wakuu habari za asubuhi, Leo nikiwa nacheck kideo home Kuna Channel ya WRM tv nikaona ngoja nione huwa kuna vipindi gani humo, ndo nikamuona huyo sijui Mchungaji au sijui Nabii ama Mtumishi. Basi alikuwa anatoa maombi yani anaomba anasema kama unataka kuwa bilionea Basi nyoosha mikono juu...
Back
Top Bottom