uwanja wa benjamin mkapa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Msijifanye hamjui kuwa Simba SC nayo imechangia kwa 25% Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Taarifa ikufikie hapo ulipo kuwa Klabu ya Simba nayo imechangia katika Uboreshwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kununua Fenicha zote ambazo 'Wanaowekwa' na Ihefu FC kila mara katika Ligi Kuu ya NBC wataanza kuzikuta nao wakianza kuutumia huo Uwanja kuanzia tarehe 20 Oktoba, 2023 utakapokuwa...
  2. SAYVILLE

    Je, ipo nia ya dhati kuukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wakati?

    Habari za mipango ya kufanyiwa ukarabati uwanja wa Benjamin Mkapa zimeanza kutolewa zaidi ya miezi 3 iliyopita. Najua serikali ina taratibu zake kuanzia kutafuta pesa hadi wazabuni wa kufanya kazi husika, ila naona kuna hali fulani ya kujikongoja na kujivuta kwenye suala hili. Zamani kabisa...
  3. GENTAMYCINE

    Kama Uwanja wa Benjamin Mkapa una jumla ya Taa 248 kwanini zinazowaka ni 124 tu?

    Yaani Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bwana Said Yakubu ni kweli hujui kwanini Taa hizo Nusu ndiyo huwashwa kama ulivyotanabaisha katika Mkutano wako na Waandishi wa Habari leo? Sasa Mimi GENTAMYCINE kabla sijakupa Jibu kwanini Taa ziko 248 kwa Ujumla wake pale Benjamin Mkapa...
  4. Andre-Pierre

    Uwanja wa Benjamin Mkapa kukarabatiwa kwa Shilingi Bilioni 31

    Wizara ya Michezo imetangaza kufanya ukarabati mkubwa wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Shilingi Bilioni 31. Ikumbukwe uwanja huu ulijengwa kwa Bilioni 60 na kuzinduliwa mwaka 2007. Nini maoni yako juu ya ukarabati huu wa bilioni 31??
  5. Superintendent kimura

    Serikali yasaini mkataba wa Bilioni 30 kukarabati Uwanja wa Benjamin Mkapa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Said Yakubu amesema Serikali ya [emoji1241] imetoa Tsh 30 𝘽𝙄𝙇𝙇𝙄𝙊𝙉 kwa ajili ya kuufanyia ukarabati uwanja wa Mkapa. Amesema maboresho hayo yatafanyika katika maeneo ya kuchezea, vyumba vya wachezaji na kutoa viti vyote vya uwanja huo. Uwanja...
  6. Ileje

    Tetesi: Simba hati hati kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa!

    Wizara ya michezo kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi wa michezo imesema huenda club ya Simba ikazuiwa kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa kusherehekea kilele cha wiki ya Simba kwa sababu ya matengenezo yatakayoanza mapema wiki ijayo. Matengenezo hayo ni maandalizi michuano ya Super League...
  7. Wakili wa shetani

    Moja ya maeneo hatari nchi hii ni uwanja wa Benjamin Mkapa

    Huu uwanja ni moja ya sehemu hatari sana kwa maisha ya watanzania. Wakati wa mazishi ya JPM inasemekana watu arobaini walifariki kwa kukanyagana. Hatujui majeruhi walikuwa wangapi. Jana wakati wa mechi ya yanga inadaiwa kafa mmoja na majeruhi thelathini. Bado hapo ambao hupigwa na askari karibu...
  8. Teko Modise

    Mashabiki wavunja mageti uwanja wa Benjamin Mkapa

    Kwa mujibu wa Yahaya Mkazuzu wa Clouds Fm anadai kuwa mashabiki waliokuwa wamechoshwa na kukaa kwenye foleni huku utaratibu wa kuingia uwanjani ukiwa haupo vizuri, basi mashabiki wakavunja geti na kuingia uwanjani. Mvua kubwa inayoendelea hapo kwa mkapa, ikawafanya watu washindwe kuvumilia...
  9. Mbaga Jr

    Ukweli wa kuzimika kwa taa za uwanja wa Benjamin Mkapa

    Habari, Kwa kawaida, mechi zote zinazochezwa muda wa usiku inatakiwa taa pamoja na miundombinu mingine ziendeshwe kwa jenereta. Hii ni kwa kila mechi bila kutegemea ni aina gani ya mechi. Azam tv wanatoa milioni 300 kwa ajili ya kila mechi za usiku hii ni kwa sababu Azam Media ndio wanaofanya...
  10. Stuxnet

    Suluhisho la Mfululuzo wa Matatizo ya Uwanja Wa Benjamin Mkapa: Ubinafsishwe kwa Sekta Binafsi

    Ni miaka inakaribia 20 toka Uwanja wa Taifa maarufu kama Benjamin Mkapa Stadium, au Kwa Mkapa au Lupaso uzinduliwe, tumeshuhudia mfululizo wa matatizo mengi hususan makubwa kama yafuatayo; 1. Kuvunjwa kwa viti vya kukalia kutoka kwenye majukwa ya moja ya timu kubwa 2. Kuvunjika kwa milango na...
  11. L

    Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili. CAF fungieni uu uwanja tafadhali =========== Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
  12. SAYVILLE

    Simba yaizuia Yanga kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya CAF kutoa maelekezo kuhusiana na mashindano ya Super Cup, uwanja wa Benjamin Mkapa umefungwa isipokuwa kwa mashindano ya kimataifa pekee. Kwa hiyo mashindano mengine yoyote ikiwemo yale ya Ligi ya NBC yataendelea katika viwanja vingine, kwa hiyo Yanga na Simba watalazimika kutumia...
  13. PAZIA 3

    Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  14. Pettymagambo

    FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

    FULL TIME 90' Sakho anaipaia Simba goli la tano GOOOOOOOOO 81 Mtibwa wamerudi nyuma na kuwapa Simba nafasi ya kumiliki mpira muda mwingi 77' Simba wanafanya mashambulizi mfululizo Phiri anaipatia Simba goli la 4 73' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Beki wa Mtibwa anapata kadi ya njano ya pili na hivyo kuwa...
  15. Kurunzi

    Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

    Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa. ===== Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa...
  16. Kurunzi

    Yanga SC 0-0 Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa, NBC Premier League

    Leo Mabigwa wa Kihistoria Yanga Sports Club naingia dimbani kupepetana na Tanzania Prisons, mchezo unatabiriwa huenda ukawa na ushindani wa pekee ukizingatia zinapokutana timu hizi, Tanzania Prisons hukamia sana. Game hii inaanza saa moja kamili usiku saa za Afrika Mashariki. Yanga wakijua...
  17. Ghazwat

    FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

    Naaaam..! Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi. Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo unaobeba hisia za mashabiki wengi Tanzania na nje ya Tanzania kati ya Watani wa Jadi, Kariakoo Derby...
  18. BASIASI

    Simba wasijiamini sana, wataaibika kwa Mkapa kwa sababu hizi

    Derby ya Simba na Yanga inakaribia Najua wengisana wameichukulia upande mmoja yaan ushindi kwa Simba. Niweke wazi Simba isijiamini sana hi mechi inaweza shangaza wengi ulimwengu wa soka Si la kuficha upande wa kiwango watani wako juu sana sana Ila hili lusiwayumbishe niwajulishe tu Simba na...
  19. J

    DC Jokate Mwegelo: Taa za kisasa kuwekwa eneo la nje mkabala na uwanja wa Benjamin Mkapa (Temeke)

    DC JOKATE MWEGELO: TAA ZA KISASA KUWEKWA ENEO LA NJE MKABALA NA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA TEMEKE. MKUU wa Wilaya ya Temeke, Mhe Jokate Mwegelo ametanabaisha dhamira yake ya kubadilisha taswira ya muonekano wa eneo la mbele ya Ofisi DC iliyopo maeneo ya uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam...
Back
Top Bottom