Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, ametangaza rasmi tarehe Septemba 15, ambayo ni siku yake ya kuzaliwa, kuwa sikukuu ya umma nchini humo.
Sikukuu hiyo mpya inayojulikana kama Munhumutapa Day, imewekwa rasmi kwenye sheria za nchi kupitia Statutory Instrument 148 ya mwaka 2026.
Tarehe hiyo...
Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Picha hiyo inadai kuwa, kufuatia msiba wa mume wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahirisha...
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ili siku ya mapumziko ya Mwaka Mpya wa Kiislamu (Hijriyya) itambuliwe Tanzania nzima.
Mufti Zubeir...
Kama wakristo wanasherehekea mwaka mpya, ni halali na kwa waislamu kusherehekea mwaka mpya wa Hijri.
Hii ndio miezi katika kalenda ya hijri
1. Muharram (Mwezi wa kwanza na ni miongoni mwa miezi mitakatifu)
2. Safar
3. Rabi' al-Awwal (Mwezi aliozaliwa Mtume Muhammad S.A.W)
4. Rabi'...
Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
Tofauti na kupata elimu pamoja na msawazisho wa mawazo je kuna faida yoyote ya kwenda vacation?
Kesho ni safari ya kutoka Tanzania kwenda Vietnam Hanoi..just for leisure.
Binti wa zamani
Wakuu
Kwa wale mliokuwa mnahoji wapi walipo CHAUMMA mbona kimya sana?. Wamejitokeza na kueleza sababu za kuwa kimya ilikuwa ni kuandaa mazingira ya mchakato wa uchaguzi wa ubunge na udiwani, hii inahusisha mchakato wa kutoa fomu.
"Hiki ndiyo kile kimya hata waandishi mlikuwa mkiuliza, CHAUMMA...
"Tatizo la kuwaamini sana viongozi wa dini ni kwamba tunasahau kuwa hata Shetani alipanda madhabahuni akiwa na Biblia mkononi na nukuu sahihi za Zaburi." — Alloyce, P.R.
Wadau, niko Tanga mjini hapa na katika pitapita zangu nimekutana na vijana wakizungumza kwa furaha kwamba kesho hakuna shule ni mapumziko. Nikafikiri nimepitwa na nyakati kuna holiday halafu sijui, nikamuuliza kijana mmoja kwa nini hakuna shule akanijibu mwalimu mkuu kawatangazia kuwa rais Samia...
Wadau, naombeni new ideas:
Mji au nchi gani ulienda vacation / safari ya mapumziko na ukafurahia?
Kama ulitembelea jiji kubwa, ulikaa eneo gani, na ni kitu gani kilichokuvutia zaidi?
https://www.youtube.com/live/ZcC1DjuaCGA?si=v690LB1yPXEmkK6v
=======
Kuelekea maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi CCM, katika kata ya bunju halmashauri ya manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla amefungua...
https://www.instagram.com/p/DFScSN8C6Ko/?igsh=dmNjZ21lb2tscnJj
Wangesema tu kusiwe na kazi kwa siku 2 kuepusha purukushani. Maana kiuhalisia itakuwa ni mateso tu katika swala zima la usafiri.
Namsikiliza Muliro hapa, naona kwa siku hizo 2 za mkutano ni kama Dar itasimama. Picha inayoonekana ni kwamba hatuwezi ku host mikutano mikubwa na maisha yakawa yanaendelea. Sasa kwa namna hii unawasababishia wananchi kero.
Taifa zima tuwe mapumziko kufuatilia uchaguzi wa chama mwalimu wa demokrasia nchinj.
Naamini hata mama Samia atakuwa anafuatilia live na huenda atapiga simu kupongeza kupata darasa la namna ya kufanya uchaguzi.
Niliomba kazi kwenye hii taasisi wiki iliyopita Sasa Leo nakutana na email na hivi ni mwaka mpya nikajua itakua ni habari njema kumbe ni huu upuuzi 🤣🤣🤣
Thank you for the time you took to express interest in Watu.
We regret to inform you that at this stage we have decided to proceed with...
Habari Wakuu wa JF,
Niende moja kwa moja kwenye mada. Hii itaweza kuwa msaada kwa ndugu zetu wanaopanga kuja likizo ya sikukuu za mwisho wa mwaka maeneo ya Arusha na Moshi.
Kuna mambo kadhaa ni muhimu kuweza kuyajua hasa kwa wamiliki wa vyombo vya usafiri (magari) na wale wanaopendelea kwenda...
Kwa kuwa Xmas ni Jumatano na Boxing Day ni Alhamisi, Rais Samia anaweza kutumia busara tu ya ukuu wa nchi Kwa kusema tu, Ijumaa watu wapumzike na kazi zianze rasmi Jumatatu ya December 30.
Hata kama sikuu ya Idd mosi ikiangukia Jumatano na Idd Pili Alhamisi, still Ijumaa watu wanaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.