Habari zenu wadau.....
Najiuliza kati ya dini na kabila, kipi hasa kina umuhimu na maana zaidi katika maisha ya hapa duniani kwa mwanadamu?
Mtu anazaliwa katika kabila fulani bila kuchagua, hawezi kubadili kabila lake. Lakini dini mtu anaweza kuichagua, kuifuata au hata kuibadili.
Sasa kama...
Kama ni kweli kabisa binadamu anaweza kumteka mwenzie kwa sababu kamkosoa au ametofautiana nae katika hoja na mawazo tofauti nakuamua kumuua; huyo ni MNYAMA.
Kama ni kweli mwanadamu anashindana na kikundi kingine lakini alie kwenye kiti anatumia vyombo vyenye silaha kumwaga damu na wakati...
Moderators naomba sana msifute huu uzi. Lazima watu waone ukweli wa mambo wanayofanyiwa Watanzania wenzetu wa vyama vya upinzani kwa sababu tu wanatofautiana maoni na wengine.
Wanaofanya haya ni sawa na wanyama. Kisa nini hasa, uchu wa madaraka na kulinda ufisadi? Na unakuwaje na moyo - kama...
Mwaka 1969, Zager and Evans walitoa wimbo uitwao In the Year 2525 ambao uligeuka kuwa hit kubwa duniani.
Melody yake ya kutisha pamoja na lyrics zake za kinabii kuhusu mustakabali wa mwanadamu ziliwavutia wengi kiasi cha kushika namba moja Marekani na Uingereza, huku ukuuza zaidi ya nakala...
Siri kuu na ya kustaajabisha ya kuwepo kwa mwanadamu imefichwa katika mchanganyiko wa kipekee wa mavumbi ya ardhi na pumzi takatifu ya Uzima.
Kabla ya mwanadamu kuwa kiumbe hai kinachotembea na kufikiri, alikuwa ni udongo tu usio na umbo uliolazwa mikononi mwa Muumba.
Katika wakati huo wa...
Habari za wakati huu wakuu.
Nina swali ambalo limekuwa likinitatiza kimantiki, ikiwa shetani alimuasi Mungu kwa kiburi na chuki, mantiki ya yeye kumtesa mwanadamu inatoka wapi?
Kwa nini asielekeze "nguvu" zake kwa huyo aliyemuasi badala ya kumshambulia mwanadamu ambaye hana hatia katika...
Kwa kawaida nguvu au uwezo wa mwanadamu tumezoea ni ule mtu anao ishi nao au kutumia kila siku kuwa ndio ukomo wake ila kiuhalisia hivyo sivyo hapo sio ukomo wake ulipo bali kuna uwezo wa ziada mwilini wako unao ila unapatikana au kufunguka pale tu unapkuwa kwenye hatari zaidi, hizi hapaa ni...
13
Yer 17:5 SUV
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Mtumishi wa Mungu mmoja alianzisha huduma yake ya kiroho kanisa katika moja ya vijiji(Ukerewe)..eneo hilo lilikuwa na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa...
Salaam ,shalom!
Hii ni habari njema!!
GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊
Asomaye na afahamu,
Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi.
Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim.
Mathew 1:16.
Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam...
Asili ga binadamu ni kupenda haki, mwanadamu kupenda dhuluma ni kitu ambacho huwa kinapandikizwa na kutengenezwa. Kazi ya kupandikiza dhuluma huwa ni ngumu sana na huwa haishindi kwa sababu inapingana na asili ya binadamu.
Siku zote, mwanadamu ambaye dhamira yake haijaharibiwa, husimama na...
Mwanadamu unaposhiba,
usiwasahau wenye njaa.
Mwanadamu unapofanya sherehe,
usiwasahau wale walio katika matanga.
Mwanadamu unapokalia kiti cha mamlaka,
usiwasahau wale wanyonge waliopo nje ya boma.
Mwanadamu, punguza kiburi juu ya nguvu unayodhani unayo.
Jiulize: Mungu wa mbinguni ana...
Vitabu vitakatifu vinaeleza kuwa Duniani kuna uzao wa shetani. Hao walitokana na mashetani yaliyozini na wanadamu, wakazaliwa viumbe wenye sura na maumbile ya wanadamu. Hao viumbe kazi yao kubwa huwa ni kuwaangamiza wanadamu, kuwaua wanadamu. Hayo mashetani yenye maumbile na sura za wanadamu...
"Katika misa hii tunawaombea waliouawa. Tunasema waliuawa kwa sababu watu hawa hawakuumwa, walipigwa risasi. Tunawaombea waliojeruhi Mungu awape wepesi waweze kupona lakini pia tunaombea haki na amani katika nchi yetu"
"Wale waliolenga risasi ni nani hao? Waliouawa sisi ni ndugu zao, tunalia...
Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi.
Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo:
Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
Katika historia yote ya mwanadamu, swali kuu limekuwa Kwa nini tupo hapa Ulimwenguni? Je, kuna maana yoyote ya maisha haya, au ni mwendelezo tu wa mzunguko wa kuzaliwa na kufa?
Kwa macho ya kawaida tu ni rahisi kusema kuwa maendeleo yote ya binadamu, teknolojia zote, elimu na falsafa zote, bado...
1. Sehemu ya Wenye Haki
Roho za wenye haki hupumzika kwenye sehemu yenye chemchemi ya maji angavu.
Ni alama ya faraja, pumziko na tumaini la ufufuo wa uzima.
2. Sehemu ya Wenye Dhambi Wasiohukumiwa Duniani
Hawa ni wale waliotenda maovu lakini hawakupata hukumu wakati wa maisha yao.
Roho...
KAMA MWANAUME
Adui wa kwanza wa kupambana naye ni tamaa ya NGONO.
Mwanaume mwenye tamaa HII ya ngono
Ndani ya dk 5 anaweza poteza ndoto na malengo ya miaka 20 ijayo
Ndani ya ngono kuna
BARAKA
LAANA
UZIMA
MAUTI
KUPATA
KUKOSA
Nguvu ya msuli ulio ndani ya boxa
Unaweza kukufanya uwe kipofu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.