nusu fainali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania IDEA YANGU: Nusu Fainali ya World Cup 2030 (au F.A ya Tanzania 2027) iwe katika mfumo wa league?? Mechi 3 kwa kila timu moja

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Just imagine timu 4 bora kila mmoja anacheza na mwenzie katika mfumo wa league?? Just imagine how enjoyable that thing might be. Huu mtindo wa mechi moja Nusu Fainali, na mechi moja Fainali naona kama vile upo outdated na tunapaswa kujaribu kitu kingine kipya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Morocco itatinga nusu fainali kombe la dunia-2026

    Dk.45 Morocco 0 0 France Dk. 65 -75 Morocco 0 1 France Dk.90- 93 (nyongeza ) Morocco 1 1 France Penalty Morocco 5 4 France
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania AET | Nigeria 0-0 Morocco (Pen 2-4) | AFCON 2025 | Nusu Fainali | Stade Prince Moulay Abdallah

    Nigeria vs Morocco katika Nusu Fainali ya AFCON 2025 mchezo uliopangwa kufanyika kwenye Stade Prince Moulay Abdallah, Rabat ni pambano la kihistoria kati ya nchi mbili kuu za soka barani Afrika ambazo zote zimefika kwenye hatua hii bila kupoteza mechi yoyote katika mashindano haya. Nigeria ina...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

    Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo. Alphonce Omija 55' Fenohasina Razafimaro 69'
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Goli la kibabe la Shomari Kapombe limesafisha njia nyeupe kwa Timu yetu ya Taifa kuelekea nusu fainali na hatimaye tutashinda.

    Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo. Bila kumsahau Rais wetu...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Chelsea kumenyana na Fluminense Nusu fainali FIFA Club World Cup

    Klabu ya Fluminense ya Brazil imeweka historia kwa kuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu la FIFA mwaka 2025 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Al Hilal ya Saudi Arabia katika mchezo wa kusisimua uliopigwa nchini Marekani. Ushindi huo...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Fluminense watinga nusu fainali kombe la Dunia la FIFA ngazi ya Klabu

    Klabu ya Fluminense imefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya nusu fainali ya mashindano ya kombe la Dunia la FIFA ngazi ya Klabu baada ya kuichapa Al Hilal mabao 2-1. Mabao ya ushindi yalifungwa na Matheus Martinelli pamoja na Hércules, huku Al Hilal wakijipatia bao la kufutia machozi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Jana Nusu Fainali Inter Milan vs Barcelona pale Giussepe Meaza

    1. Kama hukuangalia gemu ya jana baina ya Inter Milan vs Barcelona basi umekosa raha ya dunia, it was a real outstanding kama alivyokuwa akisema commentator.Gemu ya kasi sana, uwezo, ufundi, ujuzi na mbinu za hali ya juu zilizopelekea gemu kwenda extra time. 2.Nimejifunza kuwa timu hata...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Exclusive Video ya 1974: Magoli ya Simba yaliyoipeleka Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Africa

    Nimekutana na hii exclusive video ya mechi ya robo fainali kati ya Hearts of Oak vs Simba iliyofanyika mwaka 1974 ambapo Simba ilishinda kwa magoli 2-1 nikaona ni vyema kushea ili wengine wengi wapate kuiona. Baada ya hatua hiyo, Simba ilitinga hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo ya...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Tupo nyumbani kwenye mechi ya nusu fainali na kocha anaanzisha holding midfielders wawili

    Inasikitisha. Tupo nyumbani kwenye mechi ya nusu fainali ambayo tunahitaji matokeo ya goli kuanzia 2 kwenda juu alafu kocha anaanza na viungo wakabaji na sio wakabaji tu ila pia wenye mentality ya kukaba wawili yaani Ngoma na Kagoma. Ukiacha hilo, tupo nyumbani tunaongeza kwa goli moja la...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hawa Orlando Pirates wamefikaje nusu fainali? Mbona timu mbovu hivi?

    Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua mashuti yasiyokuwa na malengo wakifika golini, hakuna ubunifu wa maana wanaojaribu kufanya wakifika golini Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Goli la Mama Nusu Fainali CAFCC: Milioni 20 kwa goli moja

    Msigwa ametoa tamko hapa Azam Sports HD, kwa hatua ya nusu fainali goli moja ni 20 milioni. Sipendezwi na hizi kampeni
  13. T

    JamiiForums Tanzania Wana Simba wafahamu wachezaji walioipeleka Simba nusu fainali ya CAF champions Kwa mara Kwanza

    Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC. Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa; 1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza juu. 2-Shaban Baraza/ Daudi Salum a.k.a Bruce Lee 3-Mohamed Kajole aka Machela 4-Athman Juma. 5-Omar...
  14. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Timu mbili kutoka Kundi A katika Kombe la Shirikisho zatinga nusu fainali

    Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara. Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali. Na kuna uwezekano zikakutana zenyewe tena kwenye fainali kama watashinda mechi zao za nusu fainali...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC kuivaa Stellenbosch baada ya kuitupa nje Zamalek SC, Nusu fainali Aprili 20

    Simba SC itakutana na Stellenbosch FC ya Afrika Kusini baada ya kuwatoa Zamalek SC, Stellenbosch kashinda bao moja sifuri ugenini palepale Cairo. Soma, Pia: FT: Simba SC 2-0 Al Masry SC | Robo Fainali CAF CC | Uwanja wa Mkapa | 09 Aprili 2025 Mechi za nusu fainali zitapigwa April 18-20 na...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Simba kucheza na Stellenbosch nusu fainali

    Mechi imemalizika Kwa Stellenbosch kuifunga Zamalek Moja bila. Hivyo nusu fainali ni Simba na Stellenbosch
  17. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nimeahidi kutembea tumbo wazi toka Kariakoo mpaka Ubungo endapo Simba itafuzu nusu fainali

    Hii ni ahadi na itatekelezwa Safari imeanza wazee niko magomeni
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama 95% Hamasa + 5%Ufundi wa Uwanjani = Kuvuka Nusu Fainali ya CAFCC Keshokutwa sawa na niwatakieni Kila la Kheri

    Washamba na Wapumbavu wa Sayansi ya Mpira tuendeleeni tu Kudanganywa na Kuaminishwa ili Tuwatajirishe J'5 Oky?
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ndiyo wakali wa hizi kazi, inafuzu kwenda nusu fainali vizuri tu

    Ni kweli, njia ambayo Simba imetumia kufuzu ni ngumu sana. Baada ya kuona goli la ugenini halipatikani, badala ya kuendelea kulilazimisha ilitakiwa kujihami zaidi ili walau irudi ikiwa na deni la 0-1. Yote kwa yote, yaliyopita si ndwele. Sitaki tena kuangalia kilichotokea kule Misri. Hizi mechi...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League nusu fainali ni timu za "South Africa Vs Egypt"

    Kwa mwenendo wa matokeo haya, kuna uwezekano Nusu Fainali hadi Fainali zikawa ni Timu za Falao na Wazulu zitakazo Chuana.
Back
Top Bottom