MPIGIE KURA MWANAMKE KINARA SEKTA YA ELIMU 2026 - CHRISTINA CHACHA
Mwisho wa kupiga Kura ni tarehe 20.04.2026 11.59 usiku.
Andika jina kwenye comment katika akaunti ya Instagram ya Mwanamke Kinara (Jina Christina Chacha) au Piga kura kwenye Channel ya Whatsapp ya Mwanamke Kinara link
SEKTA...
Profesa Lipumba jana Machi 29, 2026 akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi ya CUF, jijini Dar es Salaam, alisema kuwa kwa wastani ilihitajika Dakika nne - tano kwa mtu mmoja kumaliza zoezi la kupiga kura. Kwa idadi ya vituo vya kupigia kura na idadi ya wapiga kura, kila kituo kilikuwa...
Taifa la Myanmar linaendelea na zoezi la kupiga kura katika awamu ya pili ya uchaguzi, ambao hadi sasa umetawaliwa na chama kinachoungwa mkono na jeshi linalotawala, huku serikali ya kijeshi ikijaribu kupunguza uzito wa ushiriki mdogo wa wapiga kura katika awamu ya kwanza ya zoezi hilo...
Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
Katika historia ya chaguzi za Tanzania (zikiwemo chaguzi ambazo zilifanyika bila tension yoyote), hakuna uchaguzi ambao umewahi kuwa na voter turnout ya 87%.
Ilikuwaje huu uchaguzi, ambao uligubikwa na tension kubwa, ukawa na hii unprecedented voter turnout? The only reasonable explanation ni...
Wakati maandamano yanaendelea sehemu mbalimbali nchini, Tunduma nako kumependeza.
Vituo vya kupiga kura vimechomwa moto. Hii inaitwa kama hushiriki maandamo, tulia watu tupite tusafishe njia.
Zile nywinywi zote kimya! Na kwa vile wameamua kuzima mtandao hakuna kitu wanaweza kufanya, yaani ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
Mgombea ubunge Jimbo la Rombo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Prof.Adolf Mkenda, ameshiriki kwenye zoezi upigaji kura katika kituo cha Nduweni, huku akiridhishwa na wingi wa wapiga kura waliojitokeza.
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo kupitia @ccmtanzania Professa Kitila Mkumbo amepiga kura leo katika kituo cha Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam
Source Jambo TV
Wakuu,
KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli.
Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa
"Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara amepiga kura yake leo katika kituo cha Buyuni Jimbo la Ubungo.
Baada ya kupiga kura alizungumza na wanaHabari akisema hadi sasa vituo vya kupiga kura utaratbu upo sawa na wananchi wanaendelea kujitokeza lakini pia...
Tulia: Watu wengi wamenza kupiga kura na wengine wanaendelea kujitokeza na Jimbo la Uyole litaongoza idadi ya watu watakao piga kura
Tulia amepiga kura katika kituo cha Tamukereli ambacho kipo kata ya Itenzi baada ya kupiga kura Tulia Akson amefurahishwa kuona watu wengi wamejitokeza hadi muda...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (11) ambayo ni
Jimbo la Kilosa
Jimbo la Mikumi...
Uzoefu wangu katika kupiga kura unaonesha siku ya uchaguzi mkuu ni siku muhimu inayotoa fursa ya majirani kufahamiana.Kupiga kura ni alama muhimu ya kuthibitisha utanzania wako na pia ukazi wako katika eneo husika.
Asubuhi na mapema nitaenda kuwatambua majirani zangu ambao hatujuani tunatoka...
Tunajua kupiga kura ni haki ya kila mtu lakini sio kwamba ni kulazimishana. Wahusika wa uchaguzi wanatakiwa kuwashawishi wananchi kwenda kupiga kura na sio kutumia nguvu. Nimepita maeneo ya mtongani nimekuta jamaa mmoja kapigwa watu wamemzingira.
Ikabidi niulize bodaboda walioko eneo hilo ndo...
CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu.
Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha.
Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura.
Tunachezewa sana! Eti...
Kuelekea Uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani Oktoba 29, Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Oktoba 27, 2025 amesema mpaka sasa Maandalizi yote kwa ajili ya zoezi hilo muhimu yamekamilika kwenye vituo vya Upigaji kura.
RC Chalamila ametoa kauli hiyo leo alipokuwa...
Kutoka X:
Askofu unakuwaje na mke mtumishi wa umma ? Halafu unaibuka kutetea serikali iliyompa cheo mkeo?
Haoni haja ya kukemea utekaji, mauaji and the like, ameona la muhimu ni kupiga kura.
Takataka mavi
Huyu ana mke na watoto, lazima atetee tumbo la uzao wake. Mtombi tu kama watombi wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.