fainali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mapema

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina 60,000 niiweke kwenye nusu na fainali kombe la dunia nipeni mwongozo

    Kwa heshima na taadhima naomba huu uzi usihamishwe. Wakuu nataka kujaribu bahati yangu, nina kiasi hiko cha fedha nikigawanye Nikigawanye mara tatu, nusu fainali kati ya Argentina na England 20,000 Ufaransa na uhispania 20,000 Na finali yenyewe 20,000 Naamini kwenye jukwaa hili wapo wadau...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Morocco itatinga nusu fainali kombe la dunia-2026

    Dk.45 Morocco 0 0 France Dk. 65 -75 Morocco 0 1 France Dk.90- 93 (nyongeza ) Morocco 1 1 France Penalty Morocco 5 4 France
  3. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

    Katika michuano ya World Cup ni timu Moja ambayo sipendi kuona wakitwaa ubingwa. Hii timu si nyingine, bali hii yenye wazungu waliojipaka masizi. Timu nyingine tofauti na hiyo ikiwa bingwa freshi tu!
  4. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania 4 July 2026 Cape verde atamfunga Argentina na kumtoa, ila Fainali wataingia France na England na Bingwa wa Fifa World Cup 2026 atakuwa England

    Mods msiunganishe huu Uzi hili ni muhimu. Huu sio utabiri ndo kitakachotokea. Fainali wataingia France na England ila England atabeba ubingwa wa Fifa World Cup 2026.
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania CRDB FED. Fainali ikipelekwa Zanzibar Simba hatoboi. Nawaambia kabisa hili Muelewe. Simba hamfungi Azam Zanzibar

    Mpango wetu ulienda kama ambavyo tulipanga. Scratch my back and i will scratch yours. Azam atufunge Shirikisho apite akapambane na Simba akachukue kombe akashiriki Kimataifa. Maana amewekeza sana kwenye usajili. Ni aibu akikosa shiriki CAF. Na ushindi wake kwetu usingemsaidia kitu kwenye ligi...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia wenye elimu ya ujumbe kuwa timu zitakazo kutana finali na kama sio fainali basi moja wapo ni hii

    Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana. Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa. Afrika inarudishwa kwa wazungu tena. Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Fainali ya Kombe la Dunia Mtibeli nimepata Kadi ya Mwaliko kutoka kwa binti Salher. Imekwisha! Hata siamini

    Kachezeni mnapochezaga! Sitaki salamu zenu za kichawi msije nipotezea ndege wangu. Mlifikiri nimekwama na maisha yangu yataishia hapahapa ndani. Hahaha! Hamtaweza na mmeshindwa kwa jina lile la maajabu. Oooh! Mtibeli usitoe siri zako kuna watu watakuloga safari utajifia. Thubutu! Kusema nasema...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rekodi zinaonesha Arsenal imepoteza katika Fainali 5 za Michuano ya Ulaya

    Mei 30, 2026, Arsenal ilipoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) Kwenye Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest nchini Hungary. Ilipoteza kwa matuta 4-3 baada ya sare ya goli 1-1 katika muda wa kawaida, kipigo hicho kilikuwa cha tano katika fainali 5 ambazo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote. kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og. Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Serengeti Boys kufuzu Fainali AFCON U17, tubaki hukuhuku tusiende kuwavuruga vijana

    Pia soma... ~ Serengeti Boys yatinga Fainali ya AFCONU17 2026, baada ya kumuondoa Misri kwa mikwaju ya penati ~ Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026 Video: Mchambuzi Smart
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Timu za England zilizofika Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya mara nyingi

    Graphics: InfinityFootball
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Robo Fainali UEFA: Liverpool na Barcelona kufanya 'Comeback' dhidi ya PSG na Atletico leo?

    Liverpool na Barcelona usiku wa leo zinakabiliwa na kibarua kigumu cha kujaribu kufanya mapinduzi (comeback) katika michezo yao ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA). Timu zote mbili zinaingia uwanjani zikiwa na deni la mabao mawili, hali inayozilazimu kushinda kwa...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Starlets On Fire! India Wamechapwa Je, Australia Watazima Moto Fainali Wednesday?

    Hii si mchezo bana! Harambee Starlets wameonyesha wako serious kwa FIFA Series 2026 Wameichapa India 2-0 clean, mchezo ukaanza na pressure ya juu kama rent ya Nairobi. Dakika ya 2 tu, boom! Martha Amunyolet anafungua score mapema India hawajapumua. Kenya wakacontrol tempo, defense iko solid...
  14. W

    JamiiForums Tanzania CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
  15. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT | Azam FC 0-0 Yanga SC (Pen 4-5) | Mapinduzi Cup | Gombani Stadium | Fainali | 13.01.2026

    Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final Mpira umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanafanya mashambulizi Dakika ya 15 Dube anakosa nafasi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Morocco Yaingia Fainali CHAN, Niliwaambia Tanzania Haikuonewa Mkanitukana

    Rangi ya Mtume sio poa kabisa, leo wamewaondoa Senegal kwa Penati. Ndio maana kwenye mechi na Taifa langu sikuwa na sababu ya kumlaumu mtu, mlima mrefu ule Wacha Mungu wale jamani, kalagabaho
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kenya yatupwa nje michuano ya CHAN 2024 na Madagascar kwa Mikwaju ya Penati 3-4

    Mchezo wa Robo fainali kati ya Kenya na Madagscar umemaliza kwa magoli 1-1 na sasa kinachosuburiwa ni muda wa ziada (Extra time) yaani dakika 30 za hatma baada ya hapo itakuwa mikwaju ya penalty endapo kama matokeo yatabaki yalivyo. Alphonce Omija 55' Fenohasina Razafimaro 69'
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunaenda Robo Fainali ya CHAN 2024, ila huu ukweli kuwa Taifa Stars ni DHAIFU lazima usemwe. Kenya na Uganda wako vyema Kiufundi kuliko Sisi

    Kwakuwa hata Ibada ya Katoliki niliyohudhuria hii leo inasema kuhusu Mtume Jeremiah alivyochukiwa na kuadhibiwa kwa kuwa Mkweli hata Mimi GENTAMYCINE kama kawaida yangu ya kuwa Msema Ukweli Maishani na hapa JamiiForums kwa kujiamini kabisa nasema Taifa Stars bado si timu Shindani CHAN 2024...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Simba itakandwa 4 bila, ngao ya jamii

    Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine). Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi) Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Goli la kibabe la Shomari Kapombe limesafisha njia nyeupe kwa Timu yetu ya Taifa kuelekea nusu fainali na hatimaye tutashinda.

    Hakika timu yetu imeendelea kujituma kwa bidii kupigania kombe la chan. Jana dakika za majeruhi Shomari Kapombe alipoga goli la kibabe na kuizamisha Maurtania. Pongezi kwa timu yetu....iendelee hivyohivyo. Wacheze kwa bidii na kujituma, ila waepuke makosa madogomadogo. Bila kumsahau Rais wetu...
Back
Top Bottom