Kuna kampuni linatengeneza electric vehicles lipo Kenya, linaitwa Roam Electric. Kwa sasa wanatengeneza mabasi na pikipiki za umeme. Tuachane na mabasi.
Sasa kwenye pikipiki, wana model moja tu inaitwa Roam Air, muonekano kama TVS tu ya kawaida.
Inakuja na battery la 3.2 kWh, kuna options ya...
Baraza jipya la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru lipo Mkoani Katavi kwa siku tano kujifunza kuhusu hewa ukaa.
Madiwani wote zaidi ya 60 na wakuu wa idara watakuwa nje ya halmashauri kwa zaidi ya wiki moja kwaajili ya safari hiyo.
Tsh Milioni 1.8 italipwa kwa kila diwani katika...
Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake unafika lita 170 maana ujazo una expand
garama za kusafisha ni $1 kwa lita, cha kuganya ili kumaximize...
Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka.
Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
Anonymous
Thread
changamoto
jamii
katika
kipindikipindihiki
mitihani
muhimu
sua
taarifa
wanafunzi
wanafunzi wengi
wengi
Leo ni tarehe 8 December hebu tuambie upo wapi kwa sasa mjini au kijijini! Kwanini upo hapo ulipo
Binafsi nipo mjini naendelea na shughuli zangu kama hamna kinachoendelea nchini wewe je?
Umoja wa Wanazuoni wa Kiislam wamemshukia Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa kuhusisha ukimya wake na Hkatoliki wake.
Wameenda mbali na kumtuhumu kuwa ametumwa na Padri Kitima na viongozi wa kikatoliki.
Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
Poleni kwa misiba,
Hopefully mko njema kabisa nilipost humu uzi siku kabla ya maandamano uzi ulikuw wazi sana kuhusu mbinu za maandamano nikasema watatumia human shield kama mbinu yao ya kuzibiti maandamano uzi ukafutwa ila mambo niliyozungumza yote yalifanyika.
Enewi twende na muda...
Duniani pote kizingiti pekee cha Jeshi kuchukua nchi ni kutokuwepo na support ya Wananchi pamoja na kutokuwepo kwa support kutoka nje ya nchi.
Mwaka 1964 Jeshi lilipoasi na kumpindua Nyerere , Mapinduzi yale yalifeli kwa sababu tu Nyerere aliomba msaada wa Majeshi ya Uingereza yaliyopo Kenya...
Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida?
Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
CCM imefungia huu mtandao kwa muda wa siku 90.
Ila wapiga kelele maarufu wa CCM naona nao wamegoma kupumzika bado wapo humu wana randa randa.
Hii inaashiria hata na wao hawakubaliani na uongozi wa Serikali iliyopo na inayotaka kuingia ya CCM ndio maana kwenye ule uzi wa michango kwa ajili ya...
Mfano mtu akituma uzi wa lugha mbaya au akiamua kutukana hata serikali. Huo uzi si utaachwa tu mpaka siku 90 ziishe ndo Mods watakuja uona?
Maana wakiuondoa itakuwa mgogoro na TCRA wameuondoaje na wakati wamefungiwa? Je wanaingia JF kupitia VPN? kosa jingine.
Nikakumbuka habari ya Mlinzi...
Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
Changamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini.
Pia timing nzuri ya biashara na maanisha jinsi ya kuwin kwa season inayofata
MAJUBU YA JIKITE KWENYE UZOEFU
Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo.
Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu??
Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
Miaka kadhaa iliyopita Mwigulu Nchemba alitamba sana kwa maneno ya TRAB na TRAT ambayo wengi waliona kuwa waziri hajui maana ya maneno hayo huku wengi wakishindwa kuzungumzia zaidi ya Tsh trilioni 300 ambazo halisema hazipo huko. Okay TRAB ni Tax Revenue Appeals Board na TRAT ni Tax Revenue...
Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa
Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu
Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.