soma

 1. Plan Paris

  Imeandikwa muishi nao kwa akili, akili ya kwanza hii hapa jinsi ya kuishi na wanawake

  Habari wakuu Mwanamke kama namtongoza akiniuliza una mpenzi au mke ?? Nitamjibu kwa kujiamini kabisa ndio nina mke. Watu wengi wanadhani wakisema wanamke basi watakataliwa. Lakini majibu ni kinyume chake Hebu tutumie mfano wa duka lenye wateja wengi na lisilo na wateja, Duka lenye wateja...
 2. Kichwamoto

  Tunaoa ili Iweje? Soma Ujifunze

  Habari wanaJF Mara kadhaa nimehoji na kuuliza kwanini iwepo kuoa na kuolewa sababu nini hasa, watu wanazingua wanatoa majibu mepesi et oooh hata mimi sijui, iko hivo ni jadi, matakwa ya Mungu, kivipi kwani kila ndoa ni ya Mungu, kwani kila jadi ni nzuri na haipingwi, kwani kutokuoa haiwezi...
 3. sky soldier

  Alichofanyiwa Shaffih Dauda ni udikteta, nimeambatanisha post ya Shaffih iliyowatibua madikteta

  Binafsi ni shabiki wa Yanga na linapokuja imapokujaga ishu ya kumtathmini Shaffih huwa hauhitaji degree kujua kwamba ni shabiki wa Simba na mapenzi yake ya simba yanaleta mgongano wa maslahi katika kazi yake ya uchambuzi, mzani wake katika uchambuzi unapoegemea upande flani hapo ndipo anapotoka...
 4. Superbug

  Wadada watano kwa mpigo walinionea aibu kweli mimi kidume ilikuwaje? Soma...

  Nilikuwa natembea barabarani mara paaap mbele yangu kama mita 30 hivi wakajitokeza wadada watano wako pamoja wanakuja uelekeo wangu yani mimi naenda kwao na wao wanakuja kwangu. Basi kidume nilichofanya nikayaelekeza macho yangu kwenye sehemu ya chini ya vitovu vyao pale kwenye V nikiwakazia...
 5. V

  Soma vitabu ongeza maarifa

  Nauza vitabu ya course ya udaktari Kwa wale wanafunzi wa medical doctor Vitabu hivi vitawapa sana madini Niko dar es salaam Contact 0657710078 Bei maelewano
 6. guojr

  Soma Hapa Kama Unataka Kuanzisha Au Kukuza Biashara Yako – Sehemu Ya Pili

  Kwenye hatua ya kwanza kama nilivyosema lazima ujue jamii inachangamoto gani. Changamoto zipo nyingi sana hata mtaani kwako na nyingine ni za kitaifa au kidunia kabisa, kwahiyo kadiri changamoto inavyokua kwa watu wengi basi ndio unajihakikishia soko kubwa. Tunaendela kwa mifano sasa ili upate...
 7. guojr

  Soma Hapa Kama Unataka Kuanzisha Au Kukuza Biashara Yako – Sehemu Ya Kwanza

  Habari ya muda huu wana jukwaa, leo ningependa kuwapa faida ya namna ya kuanzisha au kukuza biasra kwakutumia mbinu ambazo zinafanyakazi hasa katika mazingira yetu ya kiafrika. Wengi wetu tunapotaka kuanzisha biashara tunajiuliza kuwa ni biashara gani inalipa ili uweke pesa zako zikupatie...
 8. Ramsy Dalai Lama

  Ngoja niwaambie ni Nini kimeiangusha Barcelona ungana nami niwajuze

  Barcelona ilikuwa klabu ya kwanza katika mchezo wowote kuingiza $1bn katika mapato ya kila mwaka lakin kwa sasa ina deni karibu $ 1.4bn na hii katika miaka ya karibuni. Barcelona imekuwa katika misimu yote mibaya baada ya usiku wa Berlin mnamo Juni 2015 iliposhinda fainali yake ya nne ya Ligi ya...
 9. Allen loy

  Story of Change Siku zote hakuna njia za panya kwenye mafanikio: Kwa wote walio kata tamaa ya kufanikiwa soma hapa

  Hakuna njia panya ya kwenda mahali pa thamani. Ndugu zangu sikuzote mafanikio yanakuja kwa kujituma kwa bidii sana unatakiwa ujitoe ili ufanikiwe Mafanikio ni kutembeakutoka kutofaulu hadi kutofaulu bilakupoteza shauku. Ndoto zetu zote zinawezakutimia ikiwa tuna ujasiriwa kuzifuata,na siku...
 10. muafi

  Story of Change Njia Pekee ya Kuelekea mafanikio ni kufanya uwekezaji mkubwa katika ubongo wako vijana soma hii!

  Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu elimu ya Chuo Baba yangu yangu mzazi aliniita akaniuliza nikikupa milioni moja unaweza ukaifanyia nini ili uache kusubiri ajira! Kwaweli nilikosa jibu kwa muda ule nilikaa nimemuangalia tu, kisha nikamuomba anipe muda wa kutosha nimpe jibu, nilimwambia...
 11. Mohamed Said

  Soma vitabu hivi ujue historia ya tanu na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

  SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Unaijua azma ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) katika kuwakusanya vijana wasomi ndani ya TAA...
 12. Mohamed Said

  SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

  SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Unaijua azma ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) katika kuwakusanya vijana wasomi ndani ya TAA...
 13. I

  Soma hii

  Umemaliza kupiga zako nyeto vizuri tu, ghafla unamskia mamaako dirishani "Na usishike vyombo vyangu na hiyo mikono yako nakwambia" 😅😅😅🙌
 14. I

  Kwa waliosoma economics naomba ufafanuzi wa dhana hizi

  Naomba ufafunuzi jamani wa some terms of game theoroea kwa ufasaha sana mana pale udsm hakuna lecturer anayejua hii topic kisawasawa wote wanapapasa tu na inaonekana walikalili tu. 1. Nash equilibrium na jinsi inavyofanya kazi. Naomba ufafanuzi kwa kiswahili. 2. Zero sume game 3. Pay off...
 15. Mohamed Said

  Soma vitabu hivi uwajue mashujaa wa Uhuru wa Tanganyika

  WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA Vitabu hivi vina historia ya kusisimua ya wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika katika chama cha TANU lakini historia imewasahau. Ukianza kufungua ukurasa wa kwanza hutokiweka chini hadi umemaliza kukisoma. Soma mazungumzo ya Tewa Said Tewa na...
 16. Tony Laurent

  #COVID19 Mtu akisema tahadhari dhidi ya Uviko-19 ni kukosa Imani

  Ameandika Pastor Dr.Zakayo Nzogere (PhD), Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la MICC Mwanza. Pamekuwa na matamko mengi yanayokinzana kutoka kwa watumishi wa Mungu kuhusu UVIKO19. Wapo wanaosema ni maandalizi ya “Mpinga Kristo” na alama ya Mnyama 666; na wengine wakisema ni mlipuko wa kawaida usio na...
 17. J

  Jf Mnyukano: Soma Shairi langu uelimike

  #Hakika Jf ni mnyukano, Nami ni nani nisiunge mkono. Kilicho bora milioni tano, kuwa balozi si kibano. Nitashinda huu mtifuano, ukinipa hiyo yako tano. Kwa maandishi Ambatano, na hoja changamano. #Tulilisubili hili shindano, Kuleta hoja chanya. Jf sio mvutano, nawe waweza jichanganya. Kwa...
 18. O

  Njia nzuri ya kupata mafanikio

  Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya na ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya pia ukitenda mazuri leo kesho yako hakika itakuwa nzuri yakupendeza na yenye kufurahisha kwa kila mwenye macho na maskio. Hivyo...
 19. stakehigh

  Uchumi ni nini?

  Uchumi ni nini? Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali. Uchumi mara nyingi hutazamwa kwenye ngazi za kijiji, eneo, taifa au dunia. Sayansi ya Uchumi...
 20. Sandali Ali

  Jinsi nilivyowaacha wapenzi wapenda pesa

  Ashukuriwe Mungu kwamba mpaka leo wapo wanawake wanaompenda mwanaume kwelikweli. Yaani toka moyoni. Ila wapo kwa uchache sana, hawa ukiwa nao kwenye uhusiano huteseki. Mnaishi maisha ya kusaidiana. Akiwa vizuri anakutoa, ukiwa vizuri unamtoa. Mkichalala wote mnafarijiana mnafurahi. Maajabu ni...
Top Bottom