Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,090
1,882
Habari za uzima,

Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto wanazozipitia Vijana wengi ni uchaguzi wa nini wafanye katika khari ya kujikwamua ki maisha, pamoja na baadhi Yao kupitia kwenda shuleni, mfano kusoma mpaka elimu ya kidato Cha nne au zaidi, ukimuuliza aseme anapanga kuwa nani baada ya masomo yake, utasikia akitaja fursa zinazoendana na taaluma tu, mfano, kuwa mwalimu, daktari, nesi, injinia, rubani nk nk. Wachache sana wanaoiona michezo kama fursa nje ya taaluma (academic).

Kwenye michezo, Kuna fursa nyingi zaidi na kwasasa ndipo kulipo na pesa zaidi. Kwa kulitambua hili, hebu tuoneshe baadhi ya fursa zilizopo kwenye michezo ili kusaidia Vijana mbalimbali wanaojaribu kujikwamua ki-maisha, fursa hizi watazikuta Kila watakapo google kutafuta habari za fursa za michezo.

1. Referee; hii ni fursa ambayo unaipata hata bila ya kujua kucheza mpira, Vijana waelekezwe ni wapi wanaweza kupata mafunzo ya u-referee.

2. Coaching; unaweza ukajifunza kuwa kocha wa mazoezi tu, goalkeeping, au team yote kwa ujumla, Kuna academy nyingi zinahitaji makocha professional, na hii haihitaji mpaka ujue kucheza mpira kwa asilimia kubwa.

3. Uchambuzi na utangazaji wa michezo, hii pia haihitaji kujua kucheza mpira tu, unaweza kuwa mchambuzi wa michezo mbalimbali ikiwemo ngumi, mpira, riadha nk.

4. Kutengeneza na kuuza bidhaa za michezo

Hizi ni baadhi tu, tuendelee kuonesha fursa nyingi kupitia michezo

You're welcome.
 
Kula 10% ya kununulia wachezaji wabovu.
 
Natafuta vijana wenzangu 100 kazi yetu itakua timu yoyote inatukodisha na kutuvalisha jezi kisha tunaingia uwanjani kazi yetu ni kushabikia full vibe mwanzo mpaka mwisho.
Training yetu itakua ya kujifunza namna ya kushangilia na kutoa sauti kubwa
Inawezekana hili umelisema kwa utani ila bonge la idea. Mkiwa kama 500 hivi ndiyo vibe litakuwa la kutosha ila kwa kuanzia 100 siyo mbaya
 
Kweli bro, hata vyama vya siasa vitakodi kipindi cha campaign, Ataechukua hii idea aje tupange strategies
Stick na mpira.

Lisimamie mwenyewe, nenda kwenye klabu unayoshabikia ongea na viongozi. Anzia na mashabiki wa timu hiyo ni rahisi kupata hao watu 100-500 kama ni hizi Simba/Yanga. Halafu kisajili kama kikundi cha uhamasishaji na ushangiliaji katika michezo kisichofungamana na upande wowote.

Ukifanikiwa unakuwa umeshajitengenezea network ya watu wa kufanya nao kazi. Unaweza kuwatumia mashabiki hao hao kwenda kushangilia timu nyingine. Siku hizi pesa na betting vimeondoa mapenzi ya kweli, ni wachache watakataa kushangilia timu nyingine kama kuna kipato wanapata. Hata ikishindikana kuwashawishi hao mashabiki, bado itakuwa rahisi kwako kwenda klabu nyingine na kuuza idea maana tayari utakuwa umeonyesha uwezo. Nao watakusaidia kukusanya watu 100-500.
 
Stick na mpira.

Lisimamie mwenyewe, nenda kwenye klabu unayoshabikia ongea na viongozi. Anzia na mashabiki wa timu hiyo ni rahisi kupata hao watu 100-500 kama ni hizi Simba/Yanga. Halafu kisajili kama kikundi cha uhamasishaji kisichofungamana na upande wowote.

Ukifanikiwa unakuwa umeshajitengenezea network ya watu wa kufanya nao kazi. Unaweza kuwatumia mashabiki hao hao kwenda kushangilia timu nyingine. Siku hizi pesa na betting vimeondoa mapenzi ya kweli, ni wachache watakataa kushangilia timu nyingine kama kuna kipato wanapata. Hata ikishindikana kuwashawishi hao mashabiki, bado itakuwa rahisi kwako kwenda klabu nyingine na kuuza idea maana tayari utakuwa umeonyesha uwezo. Nao watakusaidia kukusanya watu 100-500.
Mkuu umeongea madini kwanini tusifanye hii kazi wote
 
Habari za uzima,

Tukiwa kama wadau wa michezo, naomba tuoneshe fursa mbalimbali ambazo zipo zinazoweza kuwasaidia Vijana kupata ajira au kutengeneza pesa kupitia michezo. Moja ya changamoto wanazozipitia Vijana wengi ni uchaguzi wa nini wafanye katika khari ya kujikwamua ki maisha, pamoja na baadhi Yao kupitia kwenda shuleni, mfano kusoma mpaka elimu ya kidato Cha nne au zaidi, ukimuuliza aseme anapanga kuwa nani baada ya masomo yake, utasikia akitaja fursa zinazoendana na taaluma tu, mfano, kuwa mwalimu, daktari, nesi, injinia, rubani nk nk. Wachache sana wanaoiona michezo kama fursa nje ya taaluma (academic).

Kwenye michezo, Kuna fursa nyingi zaidi na kwasasa ndipo kulipo na pesa zaidi. Kwa kulitambua hili, hebu tuoneshe baadhi ya fursa zilizopo kwenye michezo ili kusaidia Vijana mbalimbali wanaojaribu kujikwamua ki-maisha, fursa hizi watazikuta Kila watakapo google kutafuta habari za fursa za michezo.

1. Referee; hii ni fursa ambayo unaipata hata bila ya kujua kucheza mpira, Vijana waelekezwe ni wapi wanaweza kupata mafunzo ya u-referee.

2. Coaching; unaweza ukajifunza kuwa kocha wa mazoezi tu, goalkeeping, au team yote kwa ujumla, Kuna academy nyingi zinahitaji makocha professional, na hii haihitaji mpaka ujue kucheza mpira kwa asilimia kubwa.

3. Uchambuzi na utangazaji wa michezo, hii pia haihitaji kujua kucheza mpira tu, unaweza kuwa mchambuzi wa michezo mbalimbali ikiwemo ngumi, mpira, riadha nk.

4. Kutengeneza na kuuza bidhaa za michezo

Hizi ni baadhi tu, tuendelee kuonesha fursa nyingi kupitia michezo

You're welcome.
#3 ni nzuri ukawa muandishi wa habari mwenye kujua #1 na #2

#4. Hii hina hitaji mtaji hasa kuanzisha brand ya sports kit na km una deal n team inabidi uwe na connection ya uhakika mno

NB : Mada nzuri
 
Natafuta vijana wenzangu 100 kazi yetu itakua timu yoyote inatukodisha na kutuvalisha jezi kisha tunaingia uwanjani kazi yetu ni kushabikia full vibe mwanzo mpaka mwisho.
Training yetu itakua ya kujifunza namna ya kushangilia na kutoa sauti kubwa
Sawa sawa, mfano kile kikundi cha tp Mazembe..chief kiongozi wa kundi alianza hivyo na sasa ni bend rasmi ya Tp Mazembe wapewa vifaa walivyohitaji ktk hamasa zao na Katumbi
 
Back
Top Bottom