Ajira mpya wapata mishahala wengine bado

PAZIA 3

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
1,075
1,862
Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahara yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia mshahara wao. Ifanyike hivyo hivyo kwa pesa ya kujikimu pia
 
Ni Jambo la kufurahisha, tayari baadhi ya watumishi serikalini,ajira mpya 2023 wamepata mishahala yao ndani ya mwezi wa sita baada ya kuripoti kwa wakati, japo wapo watumishi wengine wengi nao mchakato unaendelea. Kongole kwa serikali kwa kujua mazingira magumu ya watumishi wapya na kuwawaishia mshahala wao. Ifanyike hivyo hivyo kwa pesa ya kujikimu pia
Mishahala ndo mi nini
 
Sijui ni Shida ya Halmashauri au nini,
Mfano hii niliyopo watu wameingiziwa asilimia kubwa, ila baadhi wamekosa inasemekana walikosea kujaza taarifa au walichelewa kujaza.

Halmashauri nyingne unakuta wote hawajapata kitu,
Na ikipita ter sidhani kama watatoa, tofauti na kuingiza kwenye madai.
 
Hongeren walim wapya hakikishen mnapiga hela serikalin huko mnunue magar na kujenga nyumba mapema sio mnakaa tu kulia lia ka wenzenu wanalilia mpk hela za semina pumbav zao mnaboa walim mda mwengine pigen hela hata chaki box likikukalia vibaya uza
 
Ukiachana na Mshahara Kuwahi Kuingizwa kuna ile situation ya Muajiriwa mpya kuwahi kuripoti Kituo cha kazi Ndani Ya Muda halafu HR anatoa kopi vyeti kwa ajili ya verification na anakuambia atakupigia simu
Unakaa mwezi mzima unasubiri verification ya vyeti

Swali je Ni mchakato wa verifying unakua mrefu Sana au ni Utashi wa HR tu na Taasisi yake????
 
Back
Top Bottom