inawezekana

 1. CONTROLA

  Kwenu Walimu, hii inawezekana au mawazo yangu ni ya kijiweni tu?

  Unajua maisha ya sasa hivi kila mtu analia kilio chake, huyu atalia sauti ndogo, yule kubwa, yule mwingine atalia kimoyo moyo ila wote tunalia na kubwa linalotoa watu machozi ni Ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, nk. Leo nitaongea na walimu tu ambao wengi hulalamika ajira hamna,maisha magumu na...
 2. May Day

  Hivi inawezekana kuondoa alama za chale usoni na zipotee kabisa?

  Kwa wale Wajuzi wa mambo ya urembo naomba kujua kama hilo linawezekana kwani nina rafiki yangu Mdada, ni mrembo na ana chale mbili ndogo kwenye mashavu yake. Bado sijamuuliza kama zinamkera ila ningetaka kwanza kujua kama kuna uwezekano wa kuzifuta ili atakaposema hazipendi basi niwe kwenye...
 3. Faraja vitalis

  Je, inawezekana kubadili mother board na kuweka tofauti na ile ya C.P.U yako?

  Habari zenu wana jf, Nilikuwa naomba nipate msaada kuhusu computer hardware mimi sina uzoefu sana na I.C.T ila niko inspired nayo shada ni C.P.U yangu ni aina ya DELL dimension 4100 kiukweli ni ya zamani hivyo nilikuwa natamani niifanyie maboresho. Swali Je, nina weza kuchange motherboard...
 4. MakinikiA

  Je, inawezekana chanjo ya Virusi vya Corona kupatikana kwa usawa?

  Je, inawezekana chanjo ya Virusi vya Corona kupatikana kwa usawa? Seth Berkley kutoka Muungano unaotoa Chanjo (kulia, karibu na Bill Gates) akitoa wito wa kupatikana kwa chanjo ya Covid-19 kwa kila mmoja Lakini tayari kuna wasiwasi kuhusu vile suluhisho la virusi vya corona kutoka kwa...
 5. gwamipascal

  Inawezekana kupata ajira bila cheti cha form four?

  Namaanisha hivi... Mim sikufanikiwa kuhitim form four niliishia form three kutokana na ishu za uchumi. Lakini kutokana na uwezo wangu ulikua mzuri kiakili yaani sikua kilaza. Baada ya kupata kibarua kiwandan nilifanikiwa kujilipia technical college pale techno brain(Dar es salaam) ambako wao...
 6. J

  Inawezekana makamanda wa Chadema waliohamia CCM ni magarasa na turufu bado zimebaki Ufipa maana bado wanaonyesha Ufundi!

  Nimesikiliza kauli moja tu ya mtumishi wa Mungu Mchungaji Msigwa akikiri kuwa ana undugu na Rais Magufuli. Na zaidi Mchungaji Msigwa akasema kama wanafamilia "wao" wana namna wanavyoshughulikia mambo yao. Nilichojiuliza ni kwanini Mchungaji Msigwa hajawahi " Kujimwambafy" kwamba yeye ana...
 7. kagoshima

  Kumbe inawezekana kupeleleza wahujumu uchumi huku wenyewe wakiwa nje?

  Mbona mheshimiwa Lugola anachunguzwa yuko huru. Hebu wajuvi wa mambo tuelezeni. Kuna watu kadhaa wapo mahabusu kwa tuhuma za kesi za uhujumu uchumi bila dhamana takwa la kisheria (moja ya sheria kandamizi kwa mtazamo wa wengi). Cha ajabu waziri wa zamani mambo ya ndani kangi lugola mheshimiwa...
 8. anti-negative energy

  Je, inawezekana taa za barabarani kuongoza magari kuliko kukaa trafiki?

  WANAJAMVI, hebu leo tujumuike kujadili hili swala la barabarani ambalo imekua kero kwa muda mrefu sana. Kitu kimoja ambacho mimi huwa kinanitia hasira ni jinsi traffic wanavocontrol juntion kwa upendeleo, yani kama wale tunaopita njia ya morrocco kwa kuelekea kawe ni matatizo mkuu, unaweza kukaa...
 9. anti-negative energy

  Je, inawezekana wanaume kujiuza kwa wanawake?

  Jamani wanajamvi hebu tukusanyike leo tiudiscuss hii mada kwa pamoja, ni kwa muda mrefu sana tumekua na mazoea kwamba ni wanawake tu ndo wanajiuza, mi huwa nashindwa kuelewa kitu kimoja, kwani hii inakuaje na wakati wote tuna pata raha, yani iweje wote tupate raha alafu mwisho wa siku mm ndo...
 10. jmushi1

  Inawezekana Rais Magufuli amesaini ule mkataba wa ushirikiano na mataifa ya Ulaya (EPA)?

  Wanajamvi, Kuna habari zimekuwepo kuhusu nchi za EU kuanza kutoa misaada mara baada ya nchi hizo kusimamisha misaada hiyo kwasababu ya ukosekanaji wa demokrasia nchini. Lakini kuna makala moja nimekutana nayo ambapo inaonyesha Mh. Rais ameshaanza kubadili msimamo kuhusiana na mkataba huo wa...
 11. B

  Rasmi: Mbwana Samatta asaini miaka minne na nusu Aston Villa

  January 20, 2020 Birmingham England NEW SIGNING MBWANA SAMATTA Exclusive haya ni mahojiano ya Mbwana Samatta akiongea na chaneli rasmi ya klabu ya Aston Vill FC baada ya kukamilisha mkataba kuchezea klabu hiyo. Source: Aston Villa FC Habari kamili : Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania...
 12. S

  Inawezekana siasa za nchi hii ndio somo gumu kwa watanzania kuliko hata Hesabu(Mathematics)

  Katika nchi yetu na pengine duniani kote,hesabu ndio somo linalotajwa kuwa gumu(wengi wanashindwa kulielewa) kuliko masomo mengine mengi, ila binafsi naona kwa nchi yetu siasa za nchi hii ndio somo gumu zaidi kueleweka kwa watanzania walio wengi. Inawezekana kabisa hata wale ambao ni...
 13. J

  Je, inawezekana kuiunganisha ATCL na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ikawa ni taasisi moja?

  Jana CEO wa ATCL amesema shirika lake liko katika mipango ya kufanya baadhi ya huduma lenyewe bila kutumia wakala, na kati ya huduma hizo ni ile ya chakula na vinywaji ndani ya ndege. Matindi amesema huo ndiyo mfumo wa kisasa unaotumiwa na mashirika mengi ya ndege yenye mafanikio duniani...
 14. LJ BLOG

  Nasafisha taa za magari na kuzirudisha katika upya wake

  Je Taa za Gari lako zina ukungu, Zimepauka?Kupelekea hupati Mwanga wa Kutosha wakati wa Usiku?Na Ushafikiria Kununua Taa Nyingine? Kama Ni NDIO Basi sasa huna Haja ya Kuwaza Kununua TAA NYINGINE Nasafisha na kuzirudisha kwenye Hali yake ya upya lakini Ukipata muonekano amaizing na Kupata mwanga...
Top Bottom