Also known as muzungu, mlungu, muzungu, musungu or musongo, mzungu (pronounced [m̩ˈzuŋɡu]) is a Bantu language term used in predominantly Swahili speaking nations to refer to Caucasian people. The noun Mzungu or its variants are used in Kenya, Tanzania, Malawi, Rwanda, Burundi, Uganda, Democratic Republic of the Congo, Comoros, Zimbabwe, Mayotte, Zambia and in Northern Madagascar (the word changed to "vozongo" in Malagasy, but the locals will still understand the word mzungu) dating back to the 18th century.
Jana nilitoka zangu kawaida, bila hata kujua kwamba siku hiyo ningekutana na mtu ambaye angenifanya nicheke mpaka nikasahau nilikuwa naenda kufanya nini.
Nikiwa njiani nikamuona mzungu mmoja amesimama pembeni, anaonekana kama amepotea. Nikajiambia moyoni, Kinsman, leo English yako itapimwa.😂...
As salaam alaykum
Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea.
Kuna huyu Mromania namdai zaidi ya Dola 2300$ alikaa kwenye Bnb yangu akaondoka bila kukamilisha malipo saiv...
Rais wa Uefa Aleksander Ceferin amesema Gianni Infantino anahitaji kukumbuka kuwa yeye ni Mzungu baada ya kuelezea mpango wa FIFA wa kuuza hisa katika Kombe la Dunia kama mbaya zaidi kuliko ule wa Super League.
Mapema mwezi huu, baraza linaloongoza dunia liliacha pendekezo la Infantino la...
Sehemu hii kutoka kwenye makala ya Be Scofield katika jarida la The Guru Magazine inaeleza kwa undani madai na sauti zilizorekodiwa kutoka kwenye kipindi cha faragha cha "ukombozi" kati ya mtoa taarifa Melissa Archer na nabii anayejiita GeorDavie, ambaye ana uhusiano wa karibu na Kanisa la 5F la...
Wengi wetu tunamfahamu Coy Mzungu, CEO wa Cheka Tuu. Tukirudi nyuma kwenye historia ya stand-up comedy Tanzania, record zinaonyesha kuwa marehemu MC Pilipili alikuwa miongoni mwa waanzilishi muhimu wa stand-up comedy nchini. Lakini ni Coy ambaye alikuja kuipa industry hii nguvu mpya kupitia...
Watu wengi wamekuwa na maoni kwamba Erling Haaland ana muonekano kama wa mwafrika. Sura ya Haaland ni features za kiafrika isipokuwa ngozi na nywele ndio vya mzungu. Wengi wanamfananisha na wa Afrika kutoka West Africa.. ( Rapper Fat Joe ni moja Kati ya watu ambao sio wa Afrika lakini wana...
Katika mahojiano yake na wasafi MZUNGU huyo ameoneshwa kukerwa na tabia ya mademu wa bongo kuomba omba hela, MZUNGU huyo amedai ni OMBA OMBA sana, katika kipindi CHA wasafi the switch, akiwa na Aaliyah na mchaga og.
HII NI FURSA - VIWANJA VYENYE HATI MBEZI MPIGI MAGOE!
Unatafuta kiwanja cha kujenga nyumba au uwekezaji wenye uhakika?
📍 Mbezi Mpigi Magoe – Kituo kwa Mwaseba/Kwa Mzungu, wilaya ya Ubungo
🏡 Kiwanja SQM 650 – Milioni 28 Tu
🏡 Kiwanja SQM 750 – Milioni 33 Tu
✅ Kila kiwanja kina Hati Safi ya...
Mgogoro mkubwa umeibuka katika jengo la biashara la Manyara Safari Lodge – Heritage Camp Lodge lililopo wilayani Karatu, mkoani Arusha, baada ya mwekezaji wa kigeni na mmiliki mwenza wa eneo hilo, Timothy Flavell, kudai kuwa anajaribiwa kutapeliwa na mpangaji wake, Erick Mashauri.
Flavell, raia...
Sikuhizi kumekuwa na ongezeko kubwa sana la single moms, tena sio ile ya zamani tuliyozoea ya mtoto moja, hii version mpya unamkuta binti ana 24 tayari ana watoto watatu.
Kufikia 2040 hii rate ya single moms inaweza kuwa juu mno
Wazazi na kina babu wa watoto zetu wa kiume, kwanza kabisa...
Ifike mahala sasa muweke unafki pembeni na mgeuze shilingi, angekua ni Mrussia mwanamke amekukuta sijui stand ya bus, sijui supermarket au kibanda cha kubet amekuita hutaenda kumsikiliza? akakwambia wewe ni handsome sana na umevaa kitanashati hutajichekelesha chekelesha? akakwambia msindike...
Mimi nimewahi shika nywele za Mwarabu jina lake Abduli, ni zamani kidogo kipindi nikiwa kidato cha kwanza. Nilishangaa nilivyozishika kwani zilikuwa ngumu kama manyoya ya kondoo nilitegemea zitakuwa laini. Na wengine mtoe ushahidi wenu.
Lakini, kabla sijaongea sana kwanini sisi watu pori tuna...
Hii video imewekwa Instagram na mtalii raia wa Canada.
Hawa polisi wetu akili zao ni ndogo sana na mostly likely wanaugua vichwani mwao.
Heko kwa mtasha kukataa kutoa rushwa na kumwambia huyo askari wazi wazi hakuna rushwa hapa.
Mwoshoni, askari anaondoka kwa aibu 🤡
============
Polisi wala...
Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu au mazingira.
Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa...
Africa tumelishwa UJINGA mwingi sana yaani sisi bila hizi dini labda tungekuwa na ulinzi mkali kuhusu rasilimali zetu.
Hapa.
Mzungu na Mabara mengine yote wanafuata RASILIMALI AFRICA ila sisi waafrica nia yetu ni kwenda MBINGUNI tu 🤣
Kuna namna walituchezesha na kutumezesha ujinga ambao...
Wakati Mwl. Julius K. Nyerere anaongoza mapambano ya kuwaondoa wakoloni nchini, lengo kuu lilikuwa Tanganyika ijitawale na haswa kutimiza ndoto yake ya kuliunganisha bara la Afrika kuwa kitu kimoja ili tuwe na nguvu kiuchumi na kiulinzi dhidi ya nchi za ulaya na kwingineko duniani.
Wakoloni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.