comment

No comment is a phrase used as a response to journalistic inquiries which the respondent does not wish to answer. Public figures may decline to comment on issues they are questioned or have nothing to say about the issue at the time.
No comment indicates that the speaker does not choose to say anything on the subject, and it is automatically invalidated if the speaker then comments or answers questions. It is not a request for the material to be considered off the record or otherwise kept confidential. If the speaker wishes to talk about the subject, but does not wish to be named as a source, he must obtain the journalist's explicit agreement in advance that the response is not to be used for attribution.

View More On Wikipedia.org
  1. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania HUU UZI NI KWA AJILI YA GEN Z: Kama wapo humu comment hapa, isije ikawa JamiiForums ni ya wazee pekee!

    Mambo vipi Wana-JF Imekuwa kama utamaduni au dhana iliyozoeleka kwamba kule X (Twitter) na TikTok ndio kuna mijadala yenye msisimko ya vijana wa Gen Z (wale waliozaliwa kuanzia miaka ya 1997 kuelekea mbele), huku hapa JamiiForums ikionekana kama kijiwe cha wakongwe, Ma-Millennial waliokula...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Chief Odemba ambana na var Dorothy Semu wa ACT Wazalendo/aishia kusema no comment

    16 August 2026 Chief Odemba ambana na VAR (video) Dorothy Semu wa ACT Wazalendo / aishia kusema no comment https://m.youtube.com/watch?v=Ux8YPPuItcM Uhusiano wa ACT wazalendo na dola Mahusiano ya ACT Wazalendo na CCM Uchaguzi wa 2025 ulikuwa heshima kuu kwa ACT WZ ACT Wazalendo ni chama cha...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Usipo kutana na tiki au comment hawa watu basi JF ujakamilika

    Tuwape maua yao sijui ni maroboti au wafanyakazi. Ila ni watu ambao wakiingia kwenye uzi wako kuna mawili up or down.
  4. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nimesoma hii comment ya huyu hadi mwili umesisimuka

    Pole sana bwana PERAMIHO YETU 1
  5. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali kama una stress don't comment. Nahitaji ushauri

    Habarini wakubwa ninawasalimia. Mimi Nina mke na watoto 03. Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake. Umetomea ugonvi baina yangu na mamaake. Kwa kimaumbile mamamaake ana maungo...
  6. Matata25

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi deni LA taifa lina effects kweny uchumi WA mtu binafsi kama huyu mdau alivyoeleza Facebook kwenye hiyo comment yake baada ya Prof Tibaijuka

  7. C

    JamiiForums Tanzania nini kilikufanya uanzishe ile ID yako nyingine ?

    Data nilizozichunguza zimeonyesha bila shaka yeyote kwamba, kuwa na id mbili ni dalili kubwa sana ya tatizo la afya ya akili kuwa na id zaidi ya moja ambazo zote zipo active ni moja ya dalili kubwa ya tatizo la afya ya akili na saikolojia kwa ujumla ambayo dalili hiyo inakutaka kuwahi katika...
  8. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Onyo: Napiga marufuku kwa member yeyote yule kutoa like kwenye post au comment yangu yoyote

    Katika hili naomba niwataje kabisa Kwa members wote hasa Seran na min -me sitaki posts zangu kuwa mnazilike, mnafanya notification dashboard yangu kujaa sana na kujaza server za JF yetu tukufu NAIPENDA SANA JAMIIFORUMS..
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania BODIgad wa Magufuli uliyetamka no comment USIDHANIe hakuna lijalo jipange wakati WA bwana ni sahihi

    Tumekuona baada ya miaka 5, tumekusikia nadhani UNADHANIA aliyekuhoji no dampa, Tafakari chukua hatua NAKUHAKIKISHIA Iko siku utajibu ilo kwa kiufasaha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ya utawala mbaya wa CCM kila atakayefurahi Taifa stars ikifungwa weka comment hapa

    Utekaji, uuaji na ufisadi unaokwamisha maendeleo ya nchi yetu yameifanya tuichukie CCM. Taifa Stars wapigwe tu Wapigwe tu
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul ana cheo gani Serikalini/Wizara ya Nishati hadi akutane na Rais Museveni?

    Rais Museveni wa Uganda amekutana na ujumbe wa serikali ya Tanzania ambao umeongozwa na mtoto wa wa kiume wa Rais Samia. Uzuri wa taarifa hii imethibitishwa rasmi na ofisi ya Museveni mwenyewe kupitia akaunti ya rais. Swali- mtoto huyu wa rais wetu, ana cheo gani serikalini? Kama taarifa hii...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Kwanini umefunga Comment Section?

    Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa si tu sehemu ya mawasiliano, bali pia eneo la kuungana, kufarijiana na kuonesha utu wetu kwa wakati wa furaha na majonzi. Hivyo basi, tangazo la msiba wa mama wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa, limeibua mjadala...
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wizara ya Afya warudisha hewani chapisho la Video za maiti Mwananyamala huku wakiwa wamefunga "Comment"

    Waambieni hao wazee na vijana wajinga huko ofisini Dunia ilikofika si kwa kuficha ukweli kwa kuweka uongo unaoweza kuthibitishwa na watu hata bila kutumia nyenzo za uthibitishaji wa video halali au iliyohaririwa au kutengenezwa na AI. Halafu kufunga "comment" siyo njia ya kufanya watu waamini...
  14. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Instagram ina tatizo gani comment zingine hazionekani?

    Unakuta mfano kwenye page ya mange kimambi comment zinaonekana zipo elfu 2 kabla hujazifungua kusoma lakini ukifungua kusoma hazifiki hata comment 30 tatizo ni Nini huu mtandao hao wamelipwa ili kufanya hivi tanzania
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Msigwa amepost na kuomba comment ziwe fupifupi ila kafunga comments

  16. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Msigwa agoma kuhusika ku-Like kwenye post ya Mange Kimambi, anasema michezo hiyo tulicheza kitambo

  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Comment ya Kitila Mkumbo JF Kuhusu Chanel ten 2009 kabla hajalamba Asali

    GT Watu wanasema hata shetani zamani alikuwa malaika aha 😆 🤣 😄 😂 kwa kweli wansiaisa wetu wa mchongo wanalithibitisha hilo..
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mlianza kufunga comment kwenye page ya rais; sasa kila idara, mnakuja kwenye mahakama

    Usije shangaa account ya mahakama ikafanya hivo mpaka tovuti yake ikawa hakuna mambo ya kesi ni kusifu sifu tu.
  19. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuichangai CCM yanga yaona aibu yafunga comment

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Si tu kwamba aibu tunaona sisi wana yanga na mashabiki ya yanga Bali hata wao waliochanga wanaona aibu pia Wamefunga comment huko LONDON BOY
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba humu sijawahi kuona ame comment chochote, yeye ni dose after dose ya mapicha ya mademu wenye mout kilimanjaro🤣

    Swahili AI salamu zako ndugu🤣 Vijana wengi wanafurahia picha zako quality kwenye kile kijiwe pendwa ni basi tu wanajifanya hawataki kuku-appreciate
Back
Top Bottom