nyakati

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania NYAKATI NA HARAKATI ZA WAKOSOAJI WA SERIKALI

  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
  3. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Sema nini tumepitia nyakati za kipekee sana kama Tizedi!

    Ila Mwaisapile?! Yule Mnyakyusa alijua kutunyoosha?! Gen Z watajua ni foleni ya Ubungo!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kumekuwepo na kautaratibu ka kubakiza wanafunzi shuleni nyakati za likizo hasa April, June na Septemba

    Kumekuwepo na kautaratibu ka kubakiza wanafunzi shuleni nyakati za likizo hasa april,june na septemba kwa madarasa ya mitihani mfano darasa la nne,saba,kidato cha pili ,nne na sita .Naomba kujua imeruhusiwa kisheria kama ndiyo mbona hatuoni barua inaelekeza hilo ? Majibu tafadhari
  5. The Ghost Scripter

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa nyakati ngumu

    Zungumza na Mungu usiku wa leo mwambie "Mungu nimekuletea kilakitu kilicho ndani ya moyo wangu, wewe unayatambua mawazo yangu, hofu na tumaini langu, lakini nahitaji niyakabidhi kwako. Uzito wa hofu niliyonayo Kuna wakati unanielemea, na ninaomba uniongoze katika wakati ambao siioni njia...
  6. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Namshangaa Mzee Ulimwengu haoni wazee wenzake wote walishaikimbia Chadema yeye ndo anajitokeza mwishoni inamaana hasomi nyakati?

    Huwezi ukawa Mzee mwenye busara halafu ukawa chadema watu lazima wakushangae, kulikuwepo na wazee wenye hekima wote walikimbia baada ya kugundua kuwa chadema ni Chama cha matapeli wasiojali utu wa watu, kwahyo Mzee ulimwengu amekubali kutukanwa na watu chadema. Kwa mfano: Uchaguzi wa ndani wa...
  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Usilazimishe JF ya 2026 iendelee JF2006 kila kizazi na nyakati zake

    Naona nyuzi nyingi zikikosolewa na kupuuzwa eti "JF imevamiwa,ooh watoto wa FB,mara vitoto vya 2000 hivi" hizo ndio akili za mwafrika,akili zimelala,hazitaki mabadiliko. Kwa hiyo nyie wazee au wakongwe hamtaki JF ikuwe? hamtaki iwe na kizazi kingine? Au mna maanisha nini? Facebook ya 2005 sio...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Kila zama na nyakati zake

    Madogo hizo akili na huo weledi hamna. Life goes on Be it wahusika wenyewe wa JF, bado hawajaelewa somo. Kuna watu wapya, hawa wana access ya internet; bado hawajui mipaka ya social etiquette. Utanielewa baadae.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ufaafu wa siasa za "tutawajengea" kwa nyakati za sasa

    Kufuatia yaliyotokea (sitayarudia hapa), kuna wenye mtazamo kwamba ni matokeo ya ujumbe vs usahihi wa jukwaa ulipotolewa. Binafsi nimejikuta na fikra tofauti. Je, ni sahihi kuhitimisha kwamba siasa za tutawafanyia/tutawajengea hiki zimepitwa muda wake? Kwa akili zangu za kawaida, naamini wenye...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Urusi haijasahau ukarimu wake wa nyakati zote kwa Tanzania 🇹🇿 🇷🇺

    The Diplomat Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anaelezea mapokezi ya heshima aliyopata akiwa katika ziara rasmi ya kitaifa nchini Urusi. Mapokezi aliyopewa Rais Dkt. Samia yanaakisi udugu wa miaka mingi na Taifa la Urusi. "Urusi ni mshirika wetu mkubwa...
  11. wilcoxon

    JamiiForums Tanzania TEC yaahirisha kongamano la Kitaifa la Utoto Mtakatifu, sababu ikiwa ni “alama za nyakati”

    Kuna barua rasmi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) – kupitia Ofisi ya Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari Taifa (PMS) inayoonesha kuahirishwa kwa Kongamano la Sita la Kitaifa la Utoto Mtakatifu. Kongamano hili kubwa lilitarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 18 hadi 22 Juni, 2026 huko...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nyakati hizi za sasa, ukiomba kunyandua, unaweza kunyimwa kweli?

    Iwe kwa alie kwenye ndoa, uchumba au mahusiano ya kimapenzi? na, kwanini hakuna anae kataa? Achana na wanaojiuza mitaani kwenye madanguru n.k, nazungumzia ambao hawako kwenye biashara hiyo ya ngono. Ni nini kimebadilika na kuchochea urahisi huo kuelekea kunyanduana? Yaani siku hiyo hiyo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Maji ya ziwa victoria hubadilika rangi kwa baadhi ya nyakati

    Katika baadhi ya nyakati, wakazi wa maeneo ya kanda ya Ziwa, hususan wilaya ya Ukerewe, wameripoti kushuhudia maji ya Ziwa Victoria yakibadilika rangi na kuonekana ya buluu kijani kibichi chenye mchanganyiko wa bluu Hali hii huwavutia na kuwashangaza wengi kutokana na kutokuwa ya kawaida. Kwa...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwenye nyakati hizi, uongo hautaiweka huru CCM ya Samia itateseka sana

    Kutokubali kuwa raisa Samia anachukiwa na Wananchi sababu kubwa ni kuhusishwa na ufisadi na upendeleo huku yeye na familia ya Kikwete na wanaCCM mtandao ndio wanafaidi keki ya taifa. Alafu kuja kudanganya umma eti kuna vijana walililpwa fedha ili waandamane Oktoba 29 hii haiwezi kuisaidia CCM...
  16. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Current regime, Sio sahihi wala haipo katika hali, mahali, na nyakati, sahihi

    SERIKALI HAINA UHALALI WA KUSEMA CHOCHOTE. Inachokifanya ni sawa na (Sio vibanzi bali mnatoe kope za mnaowaongoza huku ninyi mkiwa na boliti machoni). Ni sawasawa na kulazimisha safari wakati chombo ni kibovu, chombo kiliitaji service kabla hatujaanza safari.
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya CHADEMA kukubalika nyakati hizi wakiwa na wanawekewa Kizingiti kila kona?

    Baada ya hukumu ya mahakama ya rufani kuruhusu Chadema iweze kufanya siasa zake hapo ndipo mambo yamejidhihirisha wazi kuwa Chadema ina kubalika na ina nguvu. Mikoa yote ya Tazania bara ilikuwa ni shangwe na nderemo. Swali kubwa la kujiuliza ni kwa nini Chadema inazidi kupata nguvu ikiwa...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwenye kuukumbatia umaskini hafai kwa nyakati hizi

    "Mimi nimetokea familia maskini", "Mimi nimelala kwenye ngozi ya ng'ombe badala ya godoro".... "Mimi sina biashara yoyote na kiasi nilicho nacho benki hakizidi hata Tsh 20m".... viongozi wenye kauli za aina hii HATUWATAKI. Hakuna ufahari wowote kwenye umaskini. UMASKINI NI LAANA. Ninaandika huu...
  19. Vien

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  20. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wahariri na waandishi wa makala za magazeti nyakati hizi nina mashaka na afya zenu za akili

    Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao. Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
Back
Top Bottom