kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba tunaambiwa hawana mpango wa kulipa Fedha za Kujikimu

    Huku kwetu pesa za kujikimu watu wana miaka 11 hawajalipwa. Majibu ni watalipa watakapokuwa tayari. Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza. Ni majibu ya Afisa Utumishi, na hata leo tu limetoka jibu la kutuvunja kabisa moyo, kuwa watalipwa ajira mpya kuanzia sasa, hamna fungu kwa ajili...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mikakati ya kulipa deni la taifa huwa ikoje? maana tunakopa sana ,tunasema miradi ya maendeleo.trillion 114 siyo mchezo wazee

    Muhtasari wa Hali ya Deni la Taifa Kufikia Machi 2026, deni la taifa ni Sh114.34 trilioni. Deni la nje: Sh75.89 trilioni Deni la ndani: Sh38.44 trilioni mwananchi.co.tz Ongezeko la mwaka mmoja (2025–2026) ni asilimia 8.97. Kwa kipindi cha miaka 10 (2016–2026), deni limeongezeka kutoka Sh38.07...
  3. M

    JamiiForums Tanzania DAWASA wametoa msamaha wa faini ya huduma ya kurejeshewa Maji kwa kulipa deni tu kuanzia Oktoba 10 hadi 31, 2026

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja wake katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani waliositishiwa huduma za maji kutokana na madeni, kuwa katika maadhimisho ya mwezi huu wa Huduma kwa mteja, Mamlaka imetoa msamaha maalum kwa mteja kurejeshewa huduma...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mwaipaya: Kwa nini nilimuunga mkono Lissu uchaguzi wa CHADEMA na Nipo tayari kulipa gharama za demokrasia

    Baada ya uchaguzi wa ndani wa Chadema wa mwaka 2024/25, baadhi ya viongozi na wanachama wa chama hicho walifanya maamuzi yaliyobadili mwelekeo wa kisiasa waliokuwa wameuzoea kwa miaka kadhaa. Miongoni mwao ni Twaha Mwaipaya, aliyewahi kuwa kiongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA)...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mnaosoma UDSM vipi ratiba ya masomo itaendelea vile vile licha ya uwepo wa El Nino? Kuna mtu anataka kulipa ada nataka nimshauri kabla hajafanya maamu

    Huyu mmama alikuwaga " Mtu' Wangu wa karibu Sana wakati nasoma UDSM. Amegraduate mwaka 2010 anatoka nchi jirani. Anataka kuja kufanya Masters UDSM.. Kwa mujibu wa ratiba iliyopo ni kwamba classes zinaanza October mwishoni. She was about to pay her fee ila amesikia kuhusu El Nino na mabadiliko ya...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bei ya Gas Yapanda: Wakenya Kujiandaa Kulipa Zaidi Kuanzia Oktoba

    Bei ya kupikia kwa kutumia gesi ya LPG inatarajiwa kupanda nchini kuanzia Oktoba 2026, huku ongezeko hilo likihusishwa na kupanda kwa bei za kimataifa za propane na butane—gesi kuu zinazotumika kutengeneza LPG. Kwa mujibu wa data ya Saudi Aramco, bei ya butane ilipanda kwa 25.8%, kutoka...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sh178M kwa Polisi Waliojeruhiwa Kwenye Maandamano: Serikali Yaanza Kulipa Officers Walioathirika

    Zaidi ya Sh178 milioni zimelipwa kama fidia kwa maafisa wa polisi waliofariki au kujeruhiwa wakiwa kazini wakati wa maandamano na protests nchini Kenya. Kwa mujibu wa Panel of Experts on Compensation of Victims of Human Rights Violations, angalau maafisa 178 wamepokea malipo katika phases III...
  8. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Nadili vipi na huyu mzungu msumbufu asietaka kulipa deni langu.

    As salaam alaykum Aisee wanasema wazungu ni wastaarabu ila Usiombe ukutane na Mromania, Mpoland na Mfaransa kwenye moja na mbili. Wahindi na Waarabu ni special case japo tumeshawazoea. Kuna huyu Mromania namdai zaidi ya Dola 2300$ alikaa kwenye Bnb yangu akaondoka bila kukamilisha malipo saiv...
  9. Abdulziad

    JamiiForums Tanzania KERO Lini Muheza DC itathibitisha Watumishi wa ajira mpya ya Mei 2025 na kulipa fedha za kujikimu?

    Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
  10. Vien

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawapendi kabisa kukaa na deni – tatizo ni njia wanazotumia kulipa

    Hawa viumbe, mbali na changamoto zao mbalimbali, wana baadhi ya sifa ambazo kwa kweli zinaweza kuwasaidia sana kimaisha. Sifa ya kwanza: Wanawake wanajipenda. Kihisia, kiuchumi na hata kwenye mazingira yanayowazunguka. Mara nyingi wanajipa kipaumbele kwenye mambo yanayowahusu na wanajitahidi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukichelewa kulipa Service Levy Gongolamboto, Maafisa Biashara wanakubambika faini ya kukukomesha na kukupeleka Polisi

    Kero yangu ni Ofisi ya Kata ya Gongo lamboto iliyopo Pugu Kona, Maafisa Biashara wa Halmashauri wamekuwa wakikamata Wafanyabiashara na wasiokuwa na leseni au wenye leseni lizizoisha na wengine kuhusu kodi ya Service Levy ambayo kwa asilimia 80 watu hawana uelewa kuhusu kodi hiyo. Baada ya...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mukumu Girls yaagizwa kulipa Sh300,000 kwa kushiriki picha ya mwanafunzi bila idhini

    Shule ya Sacred Heart Mukumu Girls imeagizwa kulipa Sh300,000 kama fidia baada ya kupatikana na hatia ya kukiuka faragha ya mwanafunzi kwa kushiriki picha yake na wahusika wa nje bila idhini ya mzazi au mlezi. Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) ilisema shule hiyo ilikiuka Sheria ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania wazanzibari walitumia ubovu wa katiba kulipa kisasi Cha miaka mingi October 29!

    Ukweli mchungu huu! Sikumbuki ni uchaguzi upi uliwahi kufanyika Zanzibar kwa amani bila damu kumwagika zaidi ya ule wa mwaka jana pekee!! Kwa miaka mingi damu za wazanzibari zimemwagwa sana kipindi cha uchaguzi ,na Baraza la maaskofu liliishia TU kulaani na kukaa kimya kisa aliekuwepo alikua...
  14. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania TID akanusha kushindwa kulipa bili Kitambaa Cheupe

    Mwanamuziki TID amekanusha vikali madai ya kushindwa kulipa bili ya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe, Tabata. Amedai sakata hilo lilopelekea kukamatwa na Polisi, ulikuwa mpango wa kumchafua. TID ameeleza kama kweli alikuwa anadaiwa, basi wangekata deni lao katika fedha...
  15. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar

    Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake. Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa maji ya kandoro na mifuko watakiwa kuanza kulipa ushuru

    Mtu aliyejitambulisha kuwa Afisa wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amesikika akitoa tangazo kwa kutumia kipaza sauti katika Soko la Ilala Boma na Karume akiwataka wauzaji wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa na mifuko kuanza rasmi kulipa ushuru kila siku. Kwa mujibu wa tangazo hilo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania TUIMBE: Niko tayari kulipa gharama kuliko kunyamaza maovu yakitendeka

    Tuimbe sote wimbo huu kwa nia njema kabisa.
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni MUHIMU, mtoto analawitiwa washitakiwa wanatakiwa kulipa 800,000 kama fidia na kifungo cha maisha?

    Katiba mpya ni MUHIMU sana kwetu, yaani mtoto mmoja mlemavu wa akili amelatiwa na watu wanne wameshikwa na kuhukumiwa kwenda jela maisha na kulipa fidia ya laki 800,000 kwa kila mmoja? Wanaenda jela watalipaje hiyo pesa? Wasipo lipa watafanywaje? JE alielawotiwa bikira itarudi? Watuhumiwa...
  19. mirindimo

    JamiiForums Tanzania SERIKALI KUU YA STRUGLE KULIPA WAZABUNI PESA HAITOSHI YAHAHA ISHIKE LIPI

    Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tafrani kombe la dunia Marekani, mashabiki wageni walazimishwa kulipa tip 20% mighahawani na bar.

    Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa...
Back
Top Bottom