computer

 1. 2

  Nahitaji Kompyuta kwa bajety ya Tsh 250,000-350,000

  Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana. Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na elfu 50). pia nina shida na bettry ya computer aina ya TOSHIBA (PORTEGE R705) Location nilipo ni...
 2. R

  Computer4Sale Komputa inauzwa, ipo Igoma mwanza 300k only, Brand new

  Ram 3gb Rom 500gb bei 300,000 iko kwenye box lake, yani mpya 0713096076 kwa muhitaji piga simu
 3. K

  Naomba kufahamishwa kuhusu Computer test interview

  Habari zenu wapendwa, Jamani naomba msaada kwa aliyewahi kufanya computer test interview na shirika la Peace Corps, huwa hasa wanabase kwenye kitu gani? Asante sana
 4. M

  Computer4Sale Desktop Computer dell

  Nauza used Dell computer Ram 2GB Hard disk 320GB CPU duo 1.6ghz Screen 15' Bei 300,000/= maelewamo yapo KARIBU MAHALI Dar es salaam
 5. Kambaku

  Kazi ya Muda - Computer application

  Habari za mwaka mpya waungwana. Natafuta msichana wa kufundisha watoto basic computer application. Hakuna masharti mengi ni haya tu. 1. Uwe Dar es salaam 2. Ujue computer applications (Basic) 3. Uwe na uwezo kumuelekeza mtoto Kazi ni ya muda tu ila panapo majaaliwa inaweza kuwa ya kudumu...
 6. Edsger wybe Dijkstra

  kusoma Electrical Engineering kutumia diploma ya computer science kama qualification

  niaje ndugu,inawezekana kwa vyuo vya tanzania kuwa admitted degree ya EE kutukoea diploma ya CS ?
 7. Abou kenya

  Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha

  Habari wana JF? Nahitaji kujua aina za desktop computer ambazo ni nzuri zinazopiga kazi kwa ufasaha na zinadumu kwa muda mrefu nalifikisha kwenu naombeni ufafanuzi Ahsante!🙏
 8. D

  SOFTWARE Watengenezaji mifumo ya computer kwa mahospital shule na micro-finance zote

  Je, wewe ni mmiliki wa hospital, shule ama micro-finance yoyote na unahitaji huduma zetu tupo kwaajili yako. Zendela company limited ni kampuni ya IT iliyopo dar es salaam na iliyojikita katika kutengeneza mifumo mbalimbali pamoja na kutoa huduma ya kumanage na kuintegrate mifumo yetu na TRA...
 9. Cyber Expert

  Ninahitaji nafasi ya kufanya 'Internship'. Nimesoma Bsc of science in Computer science HCIA (5G,AI,DataCom &Python) Certificate

  Salaam, Mimi ni kijana wa kiume mwenye Umri wa Miaka 26 na makazi yangu ni Mwanza wilaya ya Nyamaghana. Mwaka huu 2021 nimehitimu Bachelor of science in computer science, Lengo la thread hii ni kuomba nafasi ya internship or volunteering opportunity (paid or unpaid), katika kampuni yoyote...
 10. M

  Computer Systems Designing -Uundaji wa mifumo ya computer mbalimbali

  Habari wakuu, kama kichwa kinavyojitangaza, mimi kama mtaalamu wa mambo ya kutengeneza mifumo mbalimbali ya computer, nawakaribisha kwa mwenye uhitaji wa mfumo wa aina yoyote, niko hapa kukusikiliza na kukuhudumia. Mfano wa systems ambazo unaweza kuhitaji ni kama ifuatavyo ( Naomba udhuru kwa...
 11. Kasomi

  YouTube shortcuts kwenye Computer keyboard

  Baadhi ya key zilizopo kwenye keyboard ya computer hua ni Shortcut kwenye YouTube. Hivyo ukiwa unatumia computer kuna baadhi ya key unaweza zitumia kama mbadala wa kipanya. Baadhi ya shortcuts hizo ni; 1- kusimamisha video inayo play kwenye YouTube bonyeza Back space hiyo inatumika kama ku...
 12. V

  Computer4Sale All in one computer

  Najaribu kutest maji tu, Nina computer desk top All in one. ni nzuri sana kwa mtu anaetaka kufungua computer class.Ziko 17 ni dual core 2 na icore 5 ,Napendelea kuziuza zote kwa pamoja ibox me with your price
 13. Kasomi

  Computer Shortcut

  Important Shortcut Keys for Computer- CTRL+A. . . . . . . . . . . . . . . . . Select All CTRL+C. . . . . . . . . . . . . . . . . Copy CTRL+X. . . . . . . . . . . . . . . . . Cut CTRL+V. . . . . . . . . . . . . . . . . Paste CTRL+Z. . . . . . . . . . . . . . . . . Undo CTRL+B. . . . . . . . . . ...
 14. Zinnob5

  Degree ya computer science

  Samahani ndugu zangu, hivi nikisoma diploma ya information technology ninaweza nikaja kuchukua degree ya computer science au haiwezekani, please nisaidieni ndugu zangu.
 15. Kajiru Kanyika

  Natafuta mwanafunzi aliyesoma bachelor in computer science or information technology, awe anakaa Dar es Salaam

  Kama kichwa Cha habari kinavyosema ambaye Yuko dar anicheki, kama amemaliza chuo mwaka huu ndo itakuwa vizuri. Namba hii hapa 255734826273
 16. M

  Computer na smartphone za wanasiasa wa upinzani zina nini?

  Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu yake. Zina nini hizi?
 17. Nijosnotes

  Story of Change Utofauti computer developer vs programmer vs coder [Kiswahili]

  Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii itachochea wale ambao wanahitaji kuwa na uelewa wa maswala ya TEHEMA na pia kwa wale walio ndani ya...
 18. kiboboso

  Computer inawaka na kuzima

  Wakuu msaada wenu hapa. Nina laptop yangu niliiacha kama miezi nane bila kuitumia baada ya kununua nyingine, sasa leo nimeiwasha ikawa ianawasha tuu taa zake na kuzima, pia haileti hata mwanga wowowte kwenye screen. Wazee wa tech msaada wenu hapa tatizo linaweza kuwa ni nini?
 19. Replica

  Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

  Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
 20. mitindo huru

  Computer4Sale Computer CPU inauzwa kwa bei nzuri

  Nauza Computer CPU aina ya Dell, inauwezo mzuri pia ina internal storage GB 800. CPU bado ipo katika hali nzuri, niliacha kuitumia baada ya monitor (screen) yake kuvuja wino kwenye kioo baada ya kuanguka. Ukinunua CPU nakupa Keyboard, mouse na cable zake zote bure. Bei ni laki mbili tu. CPU ipo...
Top Bottom