SGR: HII NI HUJUMA YA WAJALUO AU MTANDAO TU?!
Tarehe 7/10/2026 nimefika Airport Dsm ili kuruka kwenda Dodoma. Nikakosa ndege. Nikaamua kuchukua SGR kwenda Dodoma.
Nikiwa na Afisa mzito wa serikali tukaamua kutafuta tiketi mtandaoni. Kwa treni zote toka DsM kwenda Dodoma zimeonyesha NO SEAT...
Klabu ya Simba SC imegomea kampuni mpya iliyopitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ajili ya uuzaji wa tiketi za mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026.
Simba SC imechukua hatua hiyo kwa kuandika barua rasmi kwenda Bodi ya Ligi...
Huduma ya kukata ticket ya SGR kiwekwe kipengele cha ku-pdate jina ikiwa limekosewa au kubadilisha hata ikiwa kuna charge kidogo.
Maana watu wanapata hasara endapo wakipata dharura ticket haiwezi kufanyiwa update ya jina akasafiria mtu mwingine, hivyo ticket inaenda bure bila kutumika...
Anonymous
Thread
baada
jina
kukamilisha
kurekebisha
malipo
mteja
sgr
tiketi
Tarehe 13/09/2026, nilikuwa na safari kutoka Mbagala, Dar es Salaam, kuelekea mkoani Lindi. Kabla ya kwenda stendi, nilikagua upatikanaji wa tiketi mtandaoni na nikagundua kuwa karibu mabasi yote yalikuwa yamejaa kwa muda ambao nilipanga kusafiri. Niliamua kwenda Stendi ya Mbagala Rangi Tatu...
Habari zenu wakuu.
Naomba kufikisha kero yangu ya muda mrefu hapa jukwaani iwafikie watu wenye mamlaka na uongozi wa stendi ya mabasi ya mikoni, Mbezi Magufuli Terminal.
Kiwango cha tozo kuingia stendi ya mabasi ya Magufuli ni sh 300 ila unapokwenda pale na kutoa sh 500 basi wahudumu wake...
Kumekuwa na malalamiko ya watumiaji wa mabasi yaendayo haraka (BRT), kuhusu ukubwa wa nauli za mabasi hayo na kutokuwepo kwa tiketi za muunganisho wa safari.
Soma pia: Changamoto ya nauli za mabasi ya Mwendokasi (DART/UDART) na kero ya tiketi zisizo na muunganiko wa ruti (Gerezani - Kimara -...
Video ya Pasta Ng’ang’a akiwa mbele ya waumini imezua mjadala mitandaoni baada ya kuonekana akiwaomba kila mshiriki kuchangia KSh1,000 kwa ajili ya kugharamia tiketi yake ya ndege.
Katika video hiyo, pasta anaonekana akizungumza na waumini kanisani huku akisisitiza umuhimu wa kila mmoja kutoa...
Halmashauri ya Jiji la Dodoma inawaibia abiria waliokata tiketi kupitia mfumo kwa kuwalazimisha kulipia ushuru wa kuingia stendi na kupanda mabasi. Hili ni jambo lisilo sahihi ambalo sijawahi kuliona katika stendi nyingine za mikoani.
Ndiyo maana baadhi ya abiria wameanza kuepuka kupandia...
Anonymous
Thread
abiria
basi
bus
dodoma
hata
kuingia
kulipa
kulipia
kupanda
kuu
mabasi
mabasi dodoma
stendi
stendi kuu
stendi ya mabasi
tayari
tiketi
una
ushuru
wazi
wizi
Wanaume hii inaweza kuwa chanzo cha mwanaume kuoa mwanamke ayeona ni Mtamu kitandani,na Mtundu?
Au wewe uliangalia tabia,utamu utaupata kwenye kuchepuka??
Au wewe ulioa mwanamke mtamu na ,tabia utamwelekeza?
Ukiangalia wanaume wengi wanao chepuka ,ni ile waliangalia tabia na si...
Mnamo tarehe 24 July 2026, mimi na mfanyakazi mwenzangu tulifanya malipo ya tiketi za SGR kupitia M-Pesa kwa kutumia control number tulizopewa.
Fedha ziliondolewa kwenye akaunti zetu, lakini malipo hayakuwasilishwa kwa SGR.
Tulipowasiliana na SGR, walituambia control number zilikuwa bado...
Unafikiri nani anaafadhali kupewa nafasi ya kuongoza CCM Tiketi ya urais 2030 kati ya hawa? Piga kura.
Watakaoshika nafasi Tatu za juu. Itahesabika wanaushawishi hasa katika mtandao wa JF.
Kwa wale wa CHADEMA na vyama vingine nanyi mnaweza kuchagua kama nilivyosema mwenye afadhali kadiri ya...
Baada ya Ureno na Marekani kuaga mashindano tiketi zimekosa soko na kushuka kwa asilimia 60 ,, baada ya watazamaji kupungua kwa kiasi kikubwa. Infunce ta Ronaldo na Uenyeji wa USA kutamatika kumefanya mauzo ya tiketi kwenye kombe la dunia kushuka zaidi ya nusu bei. Jiulize kama Argentina nayo...
Siku moja, Albert Einstein alikuwa ndani ya treni akitoka Chuo Kikuu cha Princeton. Kondakta akaanza kupita kukagua tiketi za abiria mmoja mmoja. Alipomfikia Einstein, mzee akaanza kupekua mifuko ya koti lake tiketi haipo.
Akaingia mifuko ya suruali, akatafuta ndani ya koti lake dogo la...
Tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za tiketi za safari zilizoahirishwa kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kwa kutumia reli ya kisasa (SGR).
Kwa muda wa zaidi ya miezi minne sasa, bado hatujarejeshewa fedha zetu. Kila tunapowasiliana na huduma kwa...
Anonymous
Thread
kurejesha
malalamiko
muda mrefu
reli ya kisasa
shirika la reli
shirika la reli tanzania
tiketi
Soko la Mahakama ya Ndizi lililopo Mabibo ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo limeendelea kuwa katika hali mbaya licha ya kuahidiwa kufanyiwa maboresho makubwa ambayo yangeweza kutatua kero zilizokuwa zikilalamikiwa kwa muda mrefu.
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilitoa taarifa ya...
Balozi wa marekani nchini Israeli Mike huckabee amewaambia maafisa wa ubalozi ya kwamba kama wanataka kuondoka ndani ya ardhi ya Israel waondoke mapema
''Haina haja ya kupanic kama mnataka kuondoka basi fanyeni mapema muondoke na msicheleweshe safari
''Popote mtakapo kuwepo Kateni tiketi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.