nmb

NMB Bank Nepal is a commercial bank in Nepal with headquarters in Kathmandu. The bank is licensed by central bank of Nepal, the Nepal Rastra Bank and has 163 branches across the nation providing retail and commercial banking services.
Recently, it acquired Om Development Bank.
The bank's shares are publicly traded in the Nepal Stock Exchange. The Bank has a joint venture agreement with Netherlands Development Finance Company (FMO) a Dutch development bank which holds 17% of the bank's shares and is the largest shareholder of the Bank.

View More On Wikipedia.org
  1. Nsennah

    JamiiForums Tanzania KERO Babati: Malalamiko kuhusu kukataliwa kwa noti zilizounganishwa na 'seal tape' na changamoto za huduma za mafuta

    Kumekuwa na utaratibu wa baadhi ya wafanyabiashara, hususan wamiliki wa vituo vya mafuta na hata baadhi ya taasisi za kifedha, kukataa kupokea noti ambazo zimeunganishwa au kutengenezwa kwa kutumia 'seal tape'. Nilishuhudia tukio katika Tawi la NMB Babati, ambapo mteja mmoja, ambaye alikuwa...
  2. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

    https://www.instagram.com/reel/Dc-fV2YAgEN/?stkn=MTI3M3czY3cyajR1NA==
  3. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa

    NMB imekua na ujinga mwingi umeweka pesa kwenye akaunti unafanya manunuzi unataka kulipa kupitia NMB BENKI wanakunyima huduma hata kuangalia salio wanakataa yaani mabenk ya Serikali yameambukizana ujinga.
  4. T

    JamiiForums Tanzania I am All In..! Liwalo na liwe, nimewekeza Tshs 70m leo na kununua hisa za NMB soko la hisa la Dar es salaam, let's see

    Habari wakuu, Kuna windfall nilipata sehemu fulani, nikapiga mshindo wa 75m. Nimeamua kujilipua na kununua hisa za NMB za 70m kwa bei mpya ya leo baada ya split ambayo NMB walifanya, nimenunua kwa Tshs 1,850. Wacha tuone, liwalo na liwe tu! Malengo yangu ni long game. Naangalia kuanzia miaka 5...
  5. K

    JamiiForums Tanzania NMB Bank rekebisheni huduma zenu, mnakoelekea mtatupoteza wateja

    Kuna changamoto upande wa NMB Bank, nimekumbana na changamoto ambayo hadi sasa haijapatiwa suluhisho. Juzikati nilituma fedha kwenda kwenye akaunti nyingine, zikaonekana zimekatwa kwenye akaunti yangu, lakini hadi siku ya tatu, mlengwa hajazipokea. Nilipojaribu kuwasiliana na NMB kupitia DM...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Benki ya NMB imenitumia Shilingi 10,024,061,002,406 kimakosa

    NMB please msiniingize majaribuni na sina tamaa kwa pesa ambayo siyo haki nayo na jasho langu, kuweni makini mtakuja kukosea kwa vishoka hatimaye kiwe kilio kwenu. Jana (Agosti 7, 2026) mmenitumia TZS 10,024,061,002,406 = Shilingi trilioni 10.024 (takribani) na sikutoa hata mia ndani ya dakika...
  7. Lighton

    JamiiForums Tanzania Kero sugu ya shida ya mtandao NMB fanyeni marekebisho

    Wakuu habari za jioni hii Huduma za kifedha za NMB hazipatikani kwasababu ya shida ya mtandao, hii ni kero sana haswa kwa sisi wajasiriamali ambao tunadeposit pesa kila siku kwaajili ya biashara.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hizi kero ambazo NMB bank inawapa wateja wake?, ni nani anapaswa kuwajibika?

    Habari, Inaenda wiki sasa huduma za miamala bado hazijatengamaa kwenye swala la kutuma na kupokea hela, unaeza ukatuma hela ikaishia hewani, unaeza ukatumiwa hela ikaishia hewani. Wengine ATM zina shida, mwingine hawezi lipia control number, wafanyabiashara wengine wanashindwa lipa suppliers...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa NMB leo umenikatili vibaya sana sina hamu kabisa

    Hawa jamaa leo wameniathiri vibaya kwa kukoso huduma fulani katika benki yao kutokana na mtandao wao kuwa down. Nimepoteza hela na nimeopoteza fursa. Inakera sana!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hivi NMB Jumatatu itakuwa lini

    Wana JF nani anajua Jumatatu ya hawa jamaa wa NMB itakuwa lini? Kwenye calender ya Gregoly, waliyotwambia ndiyo leo kakini mambo ndiyo bado magumu kabisa hata hizo sijui POS nazo hakuna kitu asubuhi hata ATM zao zililinuna kabisa duuuhhh.
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania NMB wakwamisha Mpango wa Tonetone ya CHADEMA. Bado Vodacom

    Sasa hivi huwezi kutuma hela za Tonetone kupitia NMB. Ukituma hela haiendi. Ni mpango wa kukwamisha CHADEMA isifikie lengo la Milioni 334. Je, na Vodacom watagoma kutumia huduma yao?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wiki nzima NMB, Atm na Nmb mkononi hazifanyi kazi

    Nmb hawachukui hatua yoyote kusaidia wateja wao. Kama mtu umesahau kadi na uko safarini inakula kwako. Nmb mnafeli wapi?
  13. Half american

    JamiiForums Tanzania Hili la kukosekana kwa huduma za kibenki NMB kwa zaidi ya saa 48 ni mateso kwa wateja

    Binafsi taarifa yao nimeiona jana baada ya kushindwa kukamilisha miamala. Kwa ukubwa wao haya ni mateso kwa wateja. Leo huduma na kazi nyingi zinazohusisha malipo NMB zimekwama. Kwanini hayo matengenezo wasingeyafanya siku moja au wangefanya usiku? Washaifanya wikiendi iwe chungu
  14. R

    JamiiForums Tanzania NMB App iko down tangu jana hadi Muda huu

    Wana JF nani anjua kinacho wasibu NMB maana wanasababisha tudhalilike kwa kushindwa kutumia hela zetu. Ushauri nihamie bank gani ambayo app yake iko online 24x7 naona NMB wanaweza wakapotezwa hata mtaji wangu.
  15. Bhizabhityo BB

    JamiiForums Tanzania NMB kwa msaada wa IFC wameuza hatifungani ya kwanza huko London. Wafanyabiashara Wadogo Tanzania Ndio Walengwa

    Hii ni bondi (hati fungani) ya kwanza kabisa ya Shilingi ya Tanzania kutolewa kwenye soko la hisa la kimataifa. Lakini hii si bondi ya kwanza ya IFC (IFC ni miongoni mwa taasisi za kifedha zilizo chini ya benki ya dunia (World Bank) ya sarafu ya ndani. Haya ndiyo unayopaswa kujua kuhusu hili; 1...
  16. ministrant

    JamiiForums Tanzania Vipi NMB, mbona App yenu inazingua?

    Tokea siku ya juzi kuna changamoto kwenye app yenu ya NMB mkononi, kutoa pesa ni shida na nimekuta nimeandikiwa deni ndani ya account yangu yaani (-Kisha kiasi ninachodaiwa) jambo ambalo sijawahi kuliona hapo kabla. Nimetuma pesa juzi na imerudishwa jana ila nikitaka kununua umeme pia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Benki ya NMB Tawi la Chamwino wanatumia Mhudumu (TELLER) mmoja tu wakati madirisha yapo mawili?

    Kwa muda mrefu sasa benki ya NMB tawi la Chamwino dirisha linalotumika kutoa huduma ni moja tu wakati kuna madirisha mawili ila moja halina mhudumu kwa muda mrefu sasa. Hali hii inasababisha usumbufu kwa wateja na kutumia muda mrefu kupata huduma muda ambao tunaweza kutumia kufanya shughuli...
  18. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Safari ya kununua hisa za NMB inaanzia hapa. Ml 87 stake, liwalo na liwe!

    Habari, NMB ni mojawapo ya bank Bora Tanzania. Ni bank inayofanya vizuri sokoni...... Nilikuwa na Malengo ya kununua tokea kitambo ila bei ilikuwa un-affordable kwa pesa kidogokidogo kwa hisa moja ilifika 10,000+. Sasa nimepewa mkopo kazini wenye riba ya 2% p.a kwa 5years ambayo ni ml 50...
  19. TIB RASILIMALI

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Magawio DSE 2026: NMB, Twiga Cement, DSE, Swissport na Mkombozi Bank

    Unawekeza kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE? Hii hapa ndiyo ratiba ya magawio yanayotarajiwa kulipwa kwa wanahisa wa kampuni zilizoorodheshwa DSE. 24 Juni 2026 • NMB Bank: TZS 610.15 kwa kila hisa 30 Juni 2026 • Twiga Cement: TZS 300 kwa kila hisa • DSE: TZS 69 kwa kila hisa, gawio la...
  20. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Kama ulisikia kuwa NMB wanatoa mkono wa pole kwa mteja akifariki basi ulidanganywa!

    Nadhani hizi stori sio ngeni kwetu! Mbaya zaidi hata baadhi ya staff wa NMB hawajui uhalisia wa jambo hili!! Hebu angalia hiki kisa changu! Mwaka huu mwezi wa pili nilifiwa na baba Yangu mzazi.. Na huyu mzee alikuwa mteja wa NMB tuseme kuanzia anaajiriwa akiwa kijana hadi akastaafu zaidi ya...
Back
Top Bottom