harmonize

 1. Burnaboy

  Somo kutoka kwa Davido na Wizkid: Bifu zina mchango gani kwenye kukuza au kuua wasanii?

  Jana nimemsikia presenta mmoja wa radio maarufu akidai kwamba "wasanii wa Nigeria wanaendelea sababu wana UMOJA, hawana ma-bifu". Hata wasanii wanaoheshimika bongo wamekua wakitoa hii hoja. Je, ni kweli wasanii wa Nigeria wana UMOJA? (kwa kuangalia mfano wa Davido na Wizkid).Je, bifu zina faida...
 2. DocJayGroup

  Je, Harmonize alifanya uamuzi sahihi kuuza nyumba zake 3 katika harakati za kujitoa WCB? Wewe ungefanyaje?

  Harmonize anapambana ili aweze kuachana kabisa na WCB. Alitakiwa kulipa shs milioni 500 ili aweze kuwa msanii huria na kufanya kazi zake kama yeye mwenyewe. Jambo ambalo linamaanisha kwamba kama msanii huria, fedha yote atakayoipata katika kazi zake za sanaa itakuwa ni yake. Alivyokuwa chini ya...
 3. N

  Msanii Harmonize alamba dili la Ubalozi wa Sayona

  Balozi wa Kinywaji cha SayonaTwist, Rajabu Abdul Kahali almaarufu, Harmonize akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa kinywaji cha Sayona Twist uliofanyika leo (15.01.2020) jijini Dar es salaam. Pamoja naye kushoto ni Mwenyekiti wa bodi ya Motisun Group...
 4. K

  Diamond na Harmonize chukueni tahadhari kabla ya maafa

  Ndg zangu amani iwe kwenu! Kwanza sipendi sana kuzungumzia mambo ya wasanii sana maana kwangu mimi mziki ninaoufagilia ni miziki ya zamani. Na wimbo wangu bora kabisa ni wa mzee marehemu Moses fan fan unaoitwa Papa lolo. Lakini kama mtanzania naomba niwape vijana wenzangu hawa tahadhari kwa...
 5. L

  Harmonize – Hainistui (official audio) Dongo kwa WCB

  Konde Boy strikes again, Leo saa 5 asubuhi Harmonize ameachia ngoma mpya "Hainistui ", huku mashairi ya wimbo huo ni kama yamewalenga watu wa haina flani. Wengi wameusikiliza wimbo huo na kuachia comment mbalimbali Youtube lakini pia na Instagram, Je ni kweli huu wimbo umewalenga watu wa aina...
 6. KITEGO

  Diamond na Harmonize wanatuzuga hawajatengana, show zao zina utata

  HABARI ZA KAZI WAKUU, Napenda kutumia muda huu kujadili kuhusu muziki wetu kwa sasa, mahali ulipotoka na unapoelekea... Awli ya yote tuwapongeze wasanii wetu baadhi wanaopeperusha bendera kimataifa. Wengi najua tunajua habari kubwa zilizotikisa kiburudani katika kufunga mwaka ni kuhusu tamasha...
 7. NyitalaNB

  Harmonize: A request of a boss is an order

  Wana JF Heri ya mwaka mpya. Usiku wa kuamkia mwaka mpya 2020 msanii Harmonize alikuwa na show kubwa katika mkoa wa Mtwara pale Tandahimba. Pamoja na kupiga show kali iliyojaza watu wengi msanii huyo alisikika akisema Mwakani atafungua radio station "Tandahimba FM". Atakuwa mwenyekiti wa timu...
 8. L

  Harmonize - Nishapona (Leaked audio)

  Harmonize - Nishapona (Leaked audio)
 9. L

  Harmonize ameachia video ya Kushoto kulia

  Harmonize - Kushoto kulia mp4 A brand new day and we are happy to bring you a brand new hit song titled Kushoto kulia mp4 Download by Harmonize. Enjoy!
 10. I

  Producer: Harmonize aombe msamaha

  Producer wa Kenya aliyeibiwa beat na Harmonize amtaka Harmonize aombe msamaha la sivyo atafuta hata audio ya Uno baada ya video kufutwa, pia ataenda mahakamani kudai haki yake.
 11. I

  Kwanini Kiba anamuogopa Harmonize?

  Habari zenu Ili nijukwaa la celebrities Leo nimeamua nije na hii hoja kwenu.kati ya wasanii ninaowakubali Tanzania kimziki kiba ni mmoja wapo lakini nje ya mziki wake simkubali.Leo wakati nikisikiliza interview ya kiba times fm alinishangaza kiba Kama kawaida yake kwenye interview nyingi...
 12. S

  Mtayarisha muziki wa Kenya amshutumu Harmonize kwa kumuibia mdundo katika wimbo wa "Uno"

  Mtaarishaji wa muziki wa Kenya anayeitwa Magix Enga amemshutumu mwanamuziki wa Tanzania Harmonize kwa kumuibia biti alilolitumia katika wimbo wake mpya unaoitwa "Uno". Katika posti yake ya Instagram Magix amemuonya Harmonize kwa kumsisitiza kuuondoa wimbo huo katika mitandao yote ndani ya wiki...
 13. EINSTEIN112

  Ali Kiba, Harmonize wamjibu Diamond kuhusu tamasha la Wasafi Festival

  ALI KIBA ANA MAJIBU YA KIKE, KAMA KUNA UMAFIA ALIFANYIWA NA MOND SI AFUNGUKE??
 14. Kibumbula

  Naona wajuaji wameshaanza kulivalia njuga sakata la WCB na Harmonize

  Katika kile kinachoonekana misimamo tofauti juu ya sakata la WCB na Harmonize,tayari wajuaji wameshaanza kumwaga upupu wao kwa WCB. Yetu macho na masikio. ---- Mkataba wa Harmonize, WCB ulivunjika tangu 2016 Harmonize amethibitisha kilichonong’onwa muda mrefu kwamba menejimenti ya Wasafi...
 15. Bumblebee1

  Mbosso ndiye mrithi wa Harmonize pale WCB

  Hili liko wazi kabisa, wala halihitaji ubishi. Kijana huyu ana cheche na moto haswaa wa kuweza kukamata siti iliyoachwa wazi na Harmonize. Najua matarajio ya wengi ni kwamba Rayvany ndio ataziba hilo gap, lakini nionavyo mimi uwezo wake ndipo ulipoishia. Kama ni kumfikia Harmonize basi alipaswa...
 16. GENTAMYCINE

  Je, Msanii Harmonize anatengenezwa kimakusudi ili kuumaliza Ufalme wa Diamond baada ya Kiba kujimaliza mwenyewe?

  Kwa niliyoyasikia juu ya hawa Watatu ni mengi ila kati yao makubwa matatu yanahusu nyanja za kisiasa hasa kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2020, chuki yenye kisasi dhidi ya Vyombo Viwili vikubwa vya Habari nchini Tanzania vilivyopo hapa Mkoani Dar es Salaam Wilaya ya ‘Kitajiri‘ ya Kinondoni na la...
 17. idawa

  Harmonize: Nimewalipa Wasafi Tshs milioni 500 kuvunja mkataba

  Akihojiwa na Clouds FM kwenye XXL amesema imemlazimu kulipa million 500 ili kuvunja mkaba na Kampuni ya Wasafi. Amesema kampuni ya Wasafi walimzuia kutumia chochote kilichotokana na Wasafi ikiwemo jina la Harmonize, nyimbo zake, akaunti za mitandao ya kijamii na mengineyo. Ili kuendelea...
 18. CONTROLA

  Diamond : Sina ujinga wa kununua nguo Milioni 6 au 7 katika maisha yangu yote ila kwa Harmonize ni tofauti

  “Harmonize ana nguo ameshanunua kwa gharama ya Tsh. Milioni 6-7 na zipo zimekaaa kabatini, kitu ambacho mimi katika maisha yangu yote sijawahi kukifanya na wala ujinga huo kwanza sina” Hayo sio maneno yangu mimi ni maneno ya Diamond mwenyewe akimuongelea Harmonize Unajifunza nini katika...
 19. Barcelona763

  Wacha waseme

  Sina neno kwa WasafiFestival
 20. Barcelona763

  Msanii bora Bongo flava 2018

  Mwaka wa 2018 msanii bora 2018 ni yupi na wimbo bora was mwaka kutoka kwake ni ipi ?
Top