vituo vya mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Kwako mkurugenzi wa TANOIL: Fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida

    Kwako mkurugenzi wa TANOIL fanya yafuatayo kuongeza mauzo kwenye vituo vya mafuta vya TANOIL ili kampuni ipate faida. Kwanza kabisa naomba kumshukuru Rais Dkt Samia Suluhu kwa kuruhusu uhuru wa kujieleza hivyo sasa tunaweza walau hata kushauri kwa uwazi hata kukosoa pia. Pili napenda kuweka...
  2. P

    Vituo vya Mafuta hufanya nini na Risiti wanazobaki nazo?

    Wakuu kwema? Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu. Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
  3. chiembe

    Baada ya January 30, 2024 Jerry Silaa ataendesha operesheni ya kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima?

    Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024. Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata...
  4. Influenza

    Waziri Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta na kusimamisha matumizi ya Kituo cha mafuta cha Barrel cha Mikocheni

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesimamisha matumizi ya Kituo cha Mafuta cha Barrel Petrol Energy cha Mikocheni jijini Dar es salaam na kupiga marufuku ujenzi holela wa vituo vya mafuta nchi nzima vinavyojengwa kwenye makazi ya watu hatua inayohatarisha usalama wa...
  5. beth

    Kuongezeka kwa Ujenzi wa Vituo vya Mafuta kwenye makazi ya watu Serikali inasubiri ya Morogoro yatokee ndio ichukue hatua?

    Vituo vya Mafuta vinajengwa kila sehemu hadi kwenye makazi ya watu. Kwanini Serikali inatoa vibali kwa sehemu hatarishi? Kuna vituo vingi sana vya mafuta vinajengwa katika maeneo hatarishi kwa jamii na Serikali sijui inaridhia ujenzi huu kwa namna gani? Sijui kwanini haifikirii? Nakumbuka...
  6. Messenger RNA

    Je, wafanyabiashara wenye vituo vya mafuta wanataka kuficha mafuta?

    Nimekuja Mbeya, kuna baadhi ya vituo vya mafuta wanasema hawana mafuta ya petrol. Hali hii sio mara ya kwanza kwa mwaka huu hapa nchini. Je, kuna uwezekano wa kuwa ni ule muendelezo wa wafanyabiashara kuihujumu serikali na wananchi?
  7. peno hasegawa

    Wapi watanzania wanapata fedha za kujenga vituo vya mafuta wandugu?

    Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu? Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana! Lile bomba kule baharini siku hizi niko wazi au linalindwa?
  8. D

    EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Habari Wananchi Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza! Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni! Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta: Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake, Anapotafta eneo...
  9. The Burning Spear

    Jerry Silaa na Daganya Toto kwenye ujenzi wa Vituo vya Mafuta

    Mara zote huwa nasema CCM bado wanaendelea na siasa za koshamba sana. Wana mbinu amabazo hata mtoto wa darasa la pili lazima ajue kafungwa kamba. Jerry slaa anataka kutuaminisha kwamba tatizo la ujenzi holela la vituo vya mafuta lilikuwa ni tatizo la wazori husika siyo serikali jambo ambalo...
  10. BARD AI

    Waziri Jerry Silaa apiga marufuku ujenzi holela wa Vituo vya Mafuta

    Waziri mpya wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ukonga Dar es salaam @JerrySilaa ametangaza kusimamisha ujenzi holela wa Vituo vya mafuta Nchini Tanzania na kutaka ujenzi wowote unaofanywa kuanzia sasa kuzingatia sheria ya kutovisonganisha vituo. Waziri Silaa...
  11. syndicate

    DOKEZO Tabora Mjini hali tete, mafuta hakuna! Maji hakuna

    Niendee moja kwa moja kwenye mada husika! Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta! Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima inatoa huduma ya mafuta! Hakuna kiongozi yoyote wa chama (CCM) au serikali ambaye ametoa ufafanuzi...
  12. Grahams

    Kwa wenye Uzoefu na Biashara ya Vituo vya Mafuta [Fuel Stations]

    Habari za Muda huu Wakuu! Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye Umri wa Uzee. Kwa muda mrefu nimekuwa nawiwa kufanya uwekezaji kupitia kujenga na kumiliki Kituo cha...
  13. B

    Pesapal Yaja na suluhisho la kisasa kusimamia uendeshaji wa vituo vya mafuta

    Mfanyakazi wa Lake oil akimgudumia mteja ambapo kampuni ya Pesapal imezindua suluhisho inayowawezesha wamiliki wa vituo vya mafuta kuweza kufuatilia na kusimamia mauzo bila kuwepo vituoni. Na Mwandishi Wetu Kampuni ya huduma za malipo ya Pesapal imeanzisha huduma mpya ya kusaidia kusimamia...
  14. Mocumentary

    Serikali yasitisha ujenzi wa vituo vya mafuta

    Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo. Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline...
  15. K

    Tanzania ya viwanda yageuka kuwa Tanzania ya vituo vya mafuta

    Bila shaka sasa Tanzania mpya iliyokuwa inameremeta kwa ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, sasa imegeuka kuwa Tanzania ya ujenzi wa vituo vya mafuta kiholela na kila sehemu! Sheria inataka ujenzi wa kituo cha mafuta uwe mita 500 kutoka kimoja hadi kingine lakini sheria hii haifuatwi tena...
  16. JF Member

    Vituo vya Mafuta havijashusha Bei

    Kuna shida gani? Maana vituo vya Mafuta vunauza Bei ya Zamani. Kuna mgomo?
  17. kagoshima

    Kuna baadhi ya vituo vya mafuta Morogoro hawatoi receipts

    Huu ni uhujumu uchumi, SUMATRA na TRA chunguzeni. Kuna vituo vya mafuta ya petrol na diesel hapa Morogoro wameacha kutoa receipts ili kuikosesha serikali mapato. Chunguzen sitovitaja vituo husika kwani mnalipwa mishahara kwa Kazi hiyo. Sasa basi kama kuna baadhi yenu wana colude na wamiliki wa...
  18. Mshana Jr

    Vituo vya mafuta katikati ya mji na makazi ya watu Dar: Bomu linalosubiri maafa makubwa

    Tujiulize maswali haya Je mipango miji inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi ya watu? Je sera ya mamlaka ya viwango na ubora inaruhusu vituo vya mafuta katikati ya miji na makazi ya watu? Vipi wizara ya miundombinu? Vipi wizara ya mazingira? Jeshi la zimamoto je nalo haliwezi...
  19. Jacobus

    Tabora vituo vya mafuta havitoshi

    Wakuu, pamoja na kupanda bei ya mafuta ya magari lakini kwa Tabora ni shida kama hupo mjini kati. Mjini kati pana vituo kama vitano hivi karibu karibu hivo kukufanya kama unaishi mfano Ipuli, kilometa takriban 5 kwenda mjini, kupata shida ya kuongeza mafuta mjini. Nashauri, mie uwezo sina...
  20. Komeo Lachuma

    Ongezeko la kodi ya Mafuta ni kuwalipa fadhila "Wakubwa" wanaomiliki hisa/makampuni/vituo vya Mafuta?

    Serikali awamu ya 4 ilikuwa ni moja ya Serikali Fisadi zilizopata tokea Barani Afrika. Kwa wanasiasa na watoto wao kuchuma mali kadri ilivyowezekana. Mpaka kufikia kuuza/gawa viwanja/maeneo ya Serikali kutumika na Makampuni binafsi. Refer eneo la Tazara kupewa Kampuni moja ya kuuza Mafuta ya...
Back
Top Bottom