Sokoni II is an administrative ward in the Arumeru district of the Arusha Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 23,369.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe ameelekeza waliokuwa wafanyabiashara 30 wa soko la ndizi Mabibo (Mahakama ya Ndizi) kurejea kufanya biashara kwa udhamini wa maandishi kutoka ofisi za Serikali za Mitaa.
Prof. Shemdoe...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na taasisi zake kuhakikisha bunifu zinazozalishwa na Watanzania haziishii kuonyeshwa kwenye maonesho, bali zinaendelezwa, zinalindwa na kupelekwa sokoni ili zitoe suluhisho kwa changamoto mbalimbali na...
Pale Ilala Sokoni kuna utaratibu umeanzishwa na viongozi wa soko na kutoka juu, wanataka Wamachinga au Wafanyabiashara wadogo wadogo ambao wanamiliki vizimba au meza na baadhi ya maeneo, Eti wasiendelee kumiliki meza au vizimba badala yake manispaa ndo wamiliki meza za wamachinga.
Wakisha...
Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu.
Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
Kijana ukitaka kujiajili ingia kwenye kilimo cha bustani mazao kama nyanya,kabichi vitunguu nk. Hachana na kilimo cha mahindi ni umaskini mtupu lima mahindi ya chakula tu.
Nyanya inayopandwa mwezi wa pili mwishoni au mwezi wa tatu na kuanza kuvunwa mwezi wa sita mwishoni au wasaba ni muda mzuri...
Nissan kazindua Plugin Hybrid ya Pickup yake pendwa Navara, inayoenda kwa Navara Pro PHEV.
Inakuja na engine ya 1.5L Turbo Petrol, 4 gears Dedicated Hybrid Transmission, AWD, na inatoa total ya 400 hp.
Inakuja na motor moja na 33 kWh battery, linauwezo wa kutembea kilometa 130 kwa umeme tu na...
N E W A R R I V A L‼️
Bei/Price- Tsh 25.5M
Call📞+255 747 999 927
TOYOTA CROWN
Year: 2006
Engine: 2,490Cc
Mileage: 54,556+
Transmission: AUTO
Sunroof
Back Camera
Tesla-Style Radio
✅100% Duty Paid
✅Swap Deals Available
✅Zero Registration Cost
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.