wamiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  2. B

    JamiiForums Tanzania MGOMO WA MABASI: MHESHIMIWA RAIS, WACHUNGUZENI WAMILIKI WA MABASI WANAOHUJUMU NCHI NA KUWATUMIA MADEREVA

    Mheshimiwa Rais,mgomo wa Madereva Wenda ukarudi Tena sura mpya Hali inayoendelea kwenye sekta ya usafirishaji nchini, hususan sekta ya mabasi ya abiria, inatuma picha mbaya na kuleta kero kubwa kwa wananchi wa kawaida. Ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wamiliki wa mabasi (matajiri) wanaojiona wako...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi park magari yenu kama mnawapenda madereva wenu

    Katika hili Wamiliki wapeleke Yadi magari yao kama Msando (wakiki msomi) alivyosema, kama wanawajali na kuwasikiliza madereva wao. Hii ni hatua mhimu ya wao kusikilizwa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ni nini cha zaidi wanacho kipata wamiliki wa ist mpaka wananunua hii gari kwa 20M.

    Kwa miliki wa IST ni kitu gani kinakufanya uipende hiyo gari, tupeni siri jamani 😃
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari, nawaita hapa

    Tasnia ya habari Tanzania ni mfu. Imejaa watu waoga, wajinga, wapumbavu, machawa, waganga njaa, na walamba makalio. Kwa wadau wa matukio ya habari duniani, mtakuwa mnajua kuwa Rais wa Marekani, Bw. Donald Trump, majuzi hapa alivipiga marufuku baadhi ya vyombo vya habari nchini humo, ikiwemo...
  6. Powder

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wamiliki wa ma bus ya mikoani

    Nimeshawahi kutembelea kwenye Nchi kadhaa hasa za Ki Africa, mnakata ticket online ama kwenye office za kukatia ticket ambapo Huwa zinakata Ticket ya Kampuni yoyote, ama kwenye office za Kampuni (Town). Abiria mtaambiwa m report kwenye office ya Kampuni ya Bus hisika muda flani, ukifika Muda...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa malori wako mbioni kuitisha mgomo

    Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Malori Nchini Tanzania (TATOA), Elius Lukumay, amesema wamiliki wa malori wako tayari kuyapaki magari yao endapo mamlaka zitaendelea kuwachukulia hatua wasafirishaji bila kuwashirikisha katika kutafuta suluhisho la changamoto zinazowakabili. Akizungumza na...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza: Tumeazimia kusitisha ushiriki wetu kwa muda katika Mradi wa Sinza

    Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, taratibu na mawasiliano rasmi. Baada ya Waziri kutangaza kuwa mchakato wa awali umefutwa na kwamba...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndio Sababu Wamiliki Wa Kampuni Hujikuta na Madeni ya Kodi

    Umeshawahi kujiuliza kwanini asilimia kubwa ya watu waliosajili Kampuni Hujikuta na madeni makubwa ya malimbikizo ya Kodi? Kwa takwimu zilizotolewa 51.58 ya wamiliki wote wa Kampuni Wana madeni makubwa yanayotokana na malimbikizo ya Kodi. Na hii inasababishwa na mambo mawili; 1. Kutoku file...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vilio vya Wamiliki wa Vituo vya Afya Binafsi Wilaya ya Tarime Mjini - Mara

    Habari,hongereni Kwan kazi nzuri ya kufichua maovu,Mimi ni mdau wa Vituo afya wilaya tarime Napenda kuziomba mamlaka za juu zifuatilie kwa makini mwenendo wa usimamizi wa vituo binafsi vya afya katika Wilaya ya Tarime, Mkoa wa Mara. Katika kipindi cha takribani miaka miwili , zaidi ya vituo 11...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ushindi NSSF: Viwanja Vyafunguliwa kwa Wamiliki

    TUPUUZE UPOTOSHAJI WA WANAHARAKATI Eneo tajwa lina viwanja vilivyopimwa na kuuzwa tangu mwaka 2022 ila wamiliki hawakuweza kwenda kuviona na kuviendeleza kutokana na kesi iliyokuwepo Mahakamani dhidi ya NSSF, Kesi ambayo ilifunguliwa na wavamizi wa eneo hilo. Kutokana na kesi kukamilika Mwaka...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki wa Magari na Mafundi Gereji: OBDII Diagnosis Scanners za Bei Nafuu!

    Wakuu, Kwa mafundi magari (mechanics) na wamiliki wa magari wanaopenda kufanya ukaguzi wa magari yao mara kwa mara, kuna OBD II Diagnosis Scanners hapa za bei ndogo. 1. ELM 327 Mini OBD II Bluetooth Scanner - Tsh 15,000/= -Hii ipo ya V2.1 versions -Inatumia Bluetooth, utadownload App kwenye...
  13. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya abiria mijini kuitwa Daladala kunatudhalilisha Sisi wamiliki

    Jina la Daladala kwa mabasi ya safari za mjini (Town trip) limeanza wakati nauli ikiwa sh.5 tu. Leo tunaongelea nauli ya tshs.1000 kwa route ndefu hivyo tunaomba Mh Rais atusaidie na Sisi magari yetu yaitwe Buku Buku badala ya Daladala kama alivyofanya Kwa waheshimiwa Mamalishe.
  14. buzitata

    JamiiForums Tanzania Somo zuri kwa wamiliki wa AC pamoja na majokofu

    Leo nimeona nitoe somo dogo kuhusu mifumo ya upoozaji, hapa nitachanya vyote kwa lugha nyepesi ambayo haipo deep sana ili lengo litimie ila kwenye comment ntakuwa naenda deep zaidi kwa yule mwenye uelewa zaidi juu ya mifumo hii ya upoozaji WAtu wengi wanamiliki majokofu na AC ila hawajui...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chama cha Wamiliki wa Matatu chaongeza nauli kutokana na gharama za uendeshaji kupanda

    Chama cha Wamiliki wa Matatu (MOA) kimetangaza rasmi ongezeko la nauli nchi nzima, kikieleza kuwa gharama za uendeshaji zimepanda kwa kiasi kikubwa ambacho hakiwezi kuhimiliwa na wasafirishaji pekee. Rais wa chama hicho, Albert Karakacha, amebainisha kuwa dizeli ndiyo nishati kuu inayotumiwa na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Jukwaa la Wahariri lalaani kuvunjwa kwa ofisi za gazeti la Pambazuko

    Pia soma: Ofisi za gazeti la Pambazuko zavunjwa, waibiwa Kompyuta, Kamera, Nyaraka
  17. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wamiliki wa magari wadai kujaziwa maji badala ya mafuta kwenye kituo cha TotalEnergies

    Hii imetokea Huko shinyanga baada ya wamiliki wa magari kulalamika kujaziwa maji badala ya mafuta. Kama ingekuwa nje ya Tanzania Leo hii kampuni ingefilisiwa Kwa kitendo hiki cha hovyo na kama ni uzembe umefanyika kwenye kuhifadhi matenki ya mafuta basi huu ni uuwaji kabisaa!! Total energies...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania Meya Kinondoni: Wamiliki wa Swimming kwenye hoteli na nyumba binafsi watalipa laki 1 ya Usajili na 50, 000 kila baada ya miezi 6

    Akizungumza katika mahojiano na Millard Ayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, ameendelea kushikilia msimamo wa kutoza ushuru na ada ya usajili kwenye Swimming Pools usajili huo utahusu mabwawa yaliyopo katika maeneo mbalimbali yakiwemo mahoteli, shule, na nyumba binafsi. Utaratibu...
  19. astalavista

    JamiiForums Tanzania Ujumbe MUHIMU kwa wamiliki wa shule.

    Nafahamu uwepo wa mapumziko mafupi kwa wanafunzi wenu, hivyo basi nimeona nikiwapa namna bora ya kufikisha taarifa kwa wazazi na walezi kwa haraka na ufanisi mno. Suluhisho ni mfumo wa BULK SMS ambao utakurahisishia kutuma ukumbusho wa ada kwa wazazi wote hata wakiwa elfu 50 kwa dakika Moja...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa hospitali binafsi wanajua kweli gharama wanazokutana nazo wagonjwa?

    Dah, nipongeze utaratibu wa baadhi ya kampuni zinazotoa huduma za kadi Zaidi wewe uliyelipia hela ndefu kupata kadi hiyo. Ukweli nimewaza sana, hivi hawa wamiliki wanakufaga kweli? Ama ndugu zao wanakufaga? Mbona gharama kubwa sana aisee, kama vile hawaoni pepo. Embu kaeni chini mjadiliane...
Back
Top Bottom