Kwa sasa D Voice anafanya vizuri kimuziki sokoni kuliko Harmonize. Anaburuza kwenye mauzo ya album

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa.

Harmonize naye kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya D Voice.

Mwanzo mzuri mdogo wetu D Voice watanzania wana bahati sana wewe kuzaliwa hii nchi una vingi vya kuofa.
 
Huyo D voice ni Ke au Me?,na je ni nani huko Mjini Daslam
Mwamba huyu hapaa

IMG_20231126_140910.jpg
 
D Voice jini ametoa album yake ambayo inafanya vizuri sana sokoni mpaka sasa YouTube ndio ipo juu kwa kusikilizwa.
Harmonize nae kaachia album yake lakini pamoja na kiki zake za kupigana uwanjani na kwenda msimbazi kufanya show katikati ya barabara ila album yake imeshindwa kufurukuta mbele ya D Voice.

Mwanzo mzuri mdogo wetu D Voice watanzania wana bahati sana wewe kuzaliwa hii nchi una vingi vya kuofa.
Namshukuru Mungu kuwa vijana wetu wanatrend.

Tusiwagombanishe bali kila mtu ashinde mechi zake
 
Ni kweli mkuu nimeonesha mshangao tu kwa kinda wetu huyu kumkalisha nguli. Ila si kwa nia mbaya dogo bado mdogo ana siku 8 toka atambulishwe si vibaya kumpa maua yake
 
Nimejaribu kusikiliza nyimbo zake lakini nimeshindwa kuzielewa huenda Umri nao unachangia.

Wazungu wanasema it's not Grahams' cup of tea

All in all tuwape hongera Management yake, kuweza kutuletea msanii mpya sokoni

Natumai kuna siku nami nitaguswa na wimbo wake hata mmoja
 
🤣🤣 safi mkuu.
Lakini umeona hatters wanavyochangia uzi?

Tuna safari ndefu sana
 
Nimejaribu kusikiliza nyimbo zake lakini nimeshindwa kuzielewa huenda Umri nao unachangia.

Wazungu wanasema it's not Grahams' cup of tea

All in all tuwape hongera Management yake, kuweza kutuletea msanii mpya sokoni

Natumai kuna siku nami nitaguswa na wimbo wake hata mmoja
Isee wewe ni kama mm sijaelewa kabisa nyimbo zake nikaona kama zina watu maalum wa kusikiliza..
 
Back
Top Bottom