mauzo

  1. RMK Freelancers Agency

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mfugaji wa kuku wa nyama au mayai, njoo tukuongeze mauzo.

    Kama wewe ni chicken farmer unayefuga kuku wa mayai au nyama, au unafanya biashara ya kuuza mayai au kuku wa nyama kwa jumla, na unachangamoto ya mauzo au unataka kuongeza mauzo kwenye biashara yako. Ninaweza kukusaidia kupata buyers wa uhakika kama restaurants, hotels, supermarkets, catering...
  2. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Fedhabook: Mfumo Unaokupa Udhibiti Kamili wa Mauzo, Stock, Cash Flow + Invoice, Quotation & Delivery Note

    Habari wanaJF, Hebu nikuulize swali moja la msingi kama mmiliki wa biashara👇 Ukiwa nyumbani, safarini au hata nje ya nchi— 👉 Unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi? Kama jibu ni hapana, basi kuna tatizo kubwa kuliko unavyodhani. 👉 Ukweli mchungu ni huu: Biashara inaweza kuwa...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tumia mbinu hii kupandisha mauzo ya Biashara Yako Mara Kumi zaidi ndani ya siku 30

    Je Ungependa kupandisha mauzo Ya Biashara Yako Ndani Ya Siku 30 Kama jibu lako Ni Ndio Naomba Uniazime Dakika zako Tano Nikuoneshe Jinsi Ya Kufanya Hivyo Twende pamoja Kwenye Ulimwengu Wa Mauzo Kuna Siri Inatumiwa Na kampuni Chache Sana Kupandisha Mauzo Ya Kampuni zao Kama Vile...
  4. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Nauza Mfumo wa Kusimamia stock, mauzo, manunuzi na kutunza ripoti zote za kifedha kwa bei nafuu sana

    Habari wanaJF, Hebu niulize swali la msingi kwa wamiiki wa biashara👇 Ukiwa nyumbani, safarini au nje ya nchi—unaweza kuona hali halisi ya biashara yako sasa hivi? Kama jibu ni hapana, basi biashara yako inaendeshwa kwa bahati, sio kwa taarifa. Kuna ukweli mchungu ambao wafanyabiashara wengi...
  5. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya kutoka nje ya Tanzania yameongezeka

    Mauzo na UTU
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mawakala wa mauzo Daresalaam

    Hello wakuu,. Nahitaji maafisa mauzo (Mawakala wa mauzo) kwenye bidhaa ya mikopo kwa dhamana ya gari,. Awe ni mchangamfu na mwenye uzoefu kwenye mauzo na kukutana na wateja wapya. Awe anaekaa mkoa wa Dar es salaam. Kwa mawasiliano anaweza tuma CV au kupiga simu 0757962335
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bajaj za umeme kwa mikopo na cash

    BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa Habari Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada. Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
  8. Website Tanzania

    JamiiForums Tanzania Nauza Stock Management System ya kusimamia Mauzo na manunuzi katika biashara yako kwa 300, 000 TU

    .
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya hatifungani ya CRDB Al-Barakah Sukuk yaingiza shilingi bilioni 125.4

    Benki ya CRDB imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 125.4 na Dola za Marekani milioni 32.3 kupitia mauzo ya hatifungani yake ya CRDB Al-Barakah Sukuk, hatua iliyovuka malengo ya awali kwa zaidi ya asilimia 400. Uuzaji huo uliofanyika kwa siku 40 kuanzia Agosti 9 hadi Septemba 19...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini mauzo ya biashara yamepungua mwezi Agosti? Kipi kifanyike?

    Changamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini. Pia timing nzuri ya biashara na maanisha jinsi ya kuwin kwa season inayofata MAJUBU YA JIKITE KWENYE UZOEFU
  11. westandtogether

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Mwasonga, Kigamboni

    Ninauza kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa 540 SQM kilichopo MWASONGA, KIGAMBONI kipo barabara kuu ukitokea Mwasonga stendi. 📍Mahali pazuri kwa makazi au uwekezaji- miundombinu ipo karibu. Bei 6,500,000/= ( milioni saba tu) - maelewano yapo kwa mwenye nia ya dhati. Kwa mawasiliano zaidi au...
  12. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania OPEC: Mapato ya mauzo ya mafuta ya Iran yaongezeka kwa 14%

    Iran imefanikiwa kuongeza kwa kiasi kikubwa mapato yake ya mauzo ya mafuta mwaka uliopita. Hayo ni kwa mujibu wa takwimu mpya kutoka Shirika la Nchi Wazalishaji wa Mafuta Duniani (OPEC), zikionesha kuwa vikwazo vya Marekani havijafaulu kuzuia biashara ya mafuta nchini. Ripoti ya Jumamosi...
  13. LopoLopo

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya gesi yaongezeka

    Wakati Rais Samia anaingia madarakani mapato ya mauzo yatokanayo na gesi asilia yalifikia $55.12milioni sawa na TZS.143,313milioni Mwaka 2024 yameongezeka na kufikia $144.10milioni au TZS374,660milioni sawa na ongezeko la $88.98milioni sawa na TZS231,348milioni ambayo ni 161%.Hii ni karibia mara...
  14. M

    JamiiForums Tanzania “Biashara ya Kweli: Suluhisho, Sio Tu Mauzo”

    STORI FUPI: Watu wengi hufikiri biashara ni kuuza bidhaa au huduma tu. Lakini biashara ya kweli huanza pale mtu anapotambua changamoto halisi katika jamii na kuamua kuitatua kwa njia ya ubunifu. Rehema, kijana kutoka Mbeya, alichoka kuona wakulima wakipata hasara kila msimu kwa sababu ya...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Rekodi mauzo kidigitali

    Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! 🔥 Habari mfanyabiashara! Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha bila wewe kujua? Usijali tena, Bizi: Rekodi Mauzo iko hapa kukuondolea changamoto hizo zote. 📱 Bizi...
  16. Setfree

    JamiiForums Tanzania Ni Ajabu na Kweli: Mauzo ya Biblia Yaongezeka Duniani

    Kama hujui, basi habari ya mjini ndio hii: mauzo ya Biblia yanaendelea kupanda kwa kiwango cha kushangaza duniani kote. Kwa mujibu wa ripoti ya Global Bible Society (2024), zaidi ya nakala milioni 38 za Biblia nzima zilisambazwa mwaka huo pekee. Mbali na nakala hizo za Biblia nzima, zaidi ya...
  17. youngkato

    JamiiForums Tanzania Fursa za Uwekezaji Zinazoibuliwa na Takwimu za Mauzo ya Nje ya Mazao ya Kilimo Tanzania (2023/24)

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Kilimo Tanzania Mei 22, 2025, zinaonyesha mwelekeo muhimu wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24. Kwa ujumla, mazao ya kilimo yamechangia zaidi ya trilioni 2 katika mapato ya kigeni, yakionyesha ukuaji thabiti wa sekta hii na kutoa mwanga...
  18. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufikia Target ya Mauzo: Hatua 7 za Kifundi na Kiakili Kukuza Biashara Yako"

    Kila mfanyabiashara ana ndoto ya kuona mauzo yakifumuka hadi target aliyoweka — iwe ni kuuza bidhaa 100 kwa wiki au kufikisha milioni 10 kwa mwezi. Lakini ukweli ni kwamba wengi hushindwa sio kwa sababu hawana bidhaa nzuri, bali kwa sababu hawana mfumo wa mauzo unaofanya kazi kila siku. Katika...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Hakuna kipengele cha Utopolo kulipwa kutokana na mauzo ya Feisal Salum

    Kwa muda mrefu kuna watu kwa maslahi yao wenyewe wamekuwa wanasambaza taarifa kwamba kuna kipengele katika mkataba wa Feisal Salum na Azam ambacho kinasema kuwa iwapo Azam watamuuza Feisal ndani au nje ya nchi basi Yanga wanatakiwa kulipwa shilingi bilioni 1. Nimekuwa napinga hizo taarifa kwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Anaitajika mtu wa mauzo na masoko

    MAPADA SOAP LTD NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko IDADI: Nafasi moja (1) MAHALI: Kitunda, Mzinga Block 19 – Dar es Salaam MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa...
Back
Top Bottom