natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
 1. Cpp

  Natafuta mtu aliyesomea Public Health/Environment Management au course ya NOSCH 1 kutoka OSHA

  Kama heading inavyosema wakuu, anahitajika mtu awe Dar hata akiwa na kazi yake hakuna shida. Mwenye sifa anicheck DM tuyajenge.
 2. S

  Natafuta Toyota Corolla Old 1996-2001 ya kununua

  Iwe na Engine 4A, 5A na Automatic Gearbox (manual tutaongea) Iwe imetunzwa vizuri hasa body liwe limenyooka Namba yeyote lakini bora zaidi kuanzia B, C, D Iwe popote tanzania iweze kufika Dar hata kwa gharama yetu Bei ni makubaliano kulingana na hali ya gari
 3. James_patrick_

  Dereva natafuta kazi

  Habari ndugu!!! Naitwa James patrick nina miaka 28 naishi mbezi beach africana..elimu yangu ni form four niliyomaliza 2019 mbagala sec school...baada ya kuhitimu masomo yangu sikufanikiwa kuendelea kwa sababu ya kifamilia,ilipofika 2014 nikajiunga na chuo cha udereva veta nikafanikiwa kupata...
 4. G

  Natafuta kazi/ajira

  Habari Wana Jf, Mimi ni binti wa miaka 27 nimesoma diploma ya uhasibu na tangu nimemaliza sikubahatika kupata kazi zaidi ya kufanya biashara ndogo ndogo nazo zimekufa kwa kukata mtaji. Sina familia yakuitegemea labda ningeweza kuomba mtaji hivyo nawaomba ndugu jamaa na marafiki wa humu Jf kwa...
 5. R

  Natafuta friji ndogo sana Arusha

  Habari. Nipo Arusha nahitaji friji ndogo sana ya kuweka chumbani. Kama unayo nicheki Kwa 0656388678
 6. B

  Msaada kwa anayejua college au vyuo vya ufundi nje ya Tanzania kama vile Marekani, Canada n.k

  Habali wakuu? Poleni kwa mishemishe za hapna na pale.Mimi natafuta college za nje ili niweze kuapply sabab binafisi natamani sana kwenda nje hii ni ndoto kubwa ktk maisha yangu ambyo nilijiwekea. Nimejalibu njia nyingi lkn bado sijafanikiwa nikaona ngoja nijalibu kwa upande wa elimu. Mimi...
 7. Metadata

  Natafuta chumba cha kupanga kinondoni, wiki mbili

  Wadau natafuta chumba cha kupanga kwa wiki mbili maeneo ya kinondoni. Mi ntakua dar kikazi Tar 27 March - 08 April, hivyo chumba kiwe furnished. Maeneo ya kinondoni, au karibu na town. Whatsapp +48519634862
 8. Masalia Mpya

  Natafuta rafiki wa kiume

  Niaje katika jukwaa hili… Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu. Vigezo: Awe single (Mgane/ Mtalaka) Awe Mkristo (Msabato atapewa kipaumbele) Lengo la vigezo, sitaki mume wa mtu maana sitakuwa huru naye. Pia nahitaji Mkristo maana...
 9. Nazjaz

  Natafuta mashairi ya wimbo wa Ijahman Levi - Love Smiles

  Jamani huu wimbo I was dedicated by my first boyfriend in 1994. I used to sing all of the verses. Lakini si unajua Kingereza cha kadarasa ka pili A, unaimba chochote ili mradi u rhyme, 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 ENG yenyewe ya Jamaica 🇯🇲
 10. Young_Billionaire

  Natafuta sarafu za shilingi 200

  Natafuta mtu anayeuza sarafu za shilingi 200. Nahitaji za kama laki 6
 11. Kijana Jr

  Mimi ni fundi umeme natafuta kazi

  Habari zenu wakuu mimi ni fundi umeme natafuta kazi, kama Kuna fundi ambaye naweza fanya nae kazi naomba niwe nae, au kama Kuna mtu anaweza kuniunganisha kiwandani au kwenye sekta yeyote Tanzania bara au kisiwa popote pale nipo teyari Contact 0712046672
 12. DEICHMANN

  Natafuta App inaitwa dexcon tun 8

  Habarini Naomba mwenye link ya App inaitwa dexcon tun 8 nimeitafuta sijaipata bila mafanikio.
 13. R

  Natafuta metal smelting furnace kit

  Habari Natafuta mashine ndogo ya kuyeyusha chuma inayotumia gesi. Kama unayo nicheki hapa au inbox.
 14. Dr Rutagwerera Sr

  Natafuta hii tiba ya hili tatizo langu la macho na pua

  Habari wakuu. Nina tatizo la kutokwa sana machozi nikiwa sehemu za baridi, na pia pua zangu zina tatizo la kitaalamu linaitwa Rhinorrhea (runny nose) pua zinakua zinatoa makamasi mepesi nikiwa sehemu za baridi. Tatizo la kutokwa na machozi na makamasi pia hunipata nikiwa nakula chakula...
 15. Tommy 911

  Natafuta mchumba baadae awe mke

  Habari za wakati huu, Nahitaji mchumba miaka 23-27, awe mweusi, dini yoyote. Umri wangu ni miaka 22, mwanafunzi wa Degree.
 16. C

  Natafuta sehemu au mtu wa kufanya naye kazi ya ufundi wa magari

  Habari wakuu? Mimi nimejifunza ufundi magari na kazi nishaweza changamoto yangu ni kuwa kwa sasa Sina sehemu ya kufanyia kazi mana kunasehemu nilikuwa nimejishikiza ila kwa sasa hii sehemu ishafungwa kutokana na fundi mkuu kushindwa kulipa Kodi kwahio naomba Kama kuna fundi mechanics anahitaji...
 17. L

  Natafuta mke wakuoa

  *Hello Wana JF, ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ Natafuta mke wa kuoa, Ni mwanaume mwenye umri 37, dini mkristu, nimejiajiri, sina mtoto, situmii kilevi chochote,Ila nimpambanaji Sifa ya mke ninaye mtaka. ~ Awe na umri 28-30. ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~ Dini yeyote ~ Kabila...
 18. U

  Natafuta rafiki wa kiume

  Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume. SIFA NILIZO NAZO.👇 Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara. SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇. (1)Awe mrefu (2)Rangi yoyote. (3)Dini awe mkristo au mwislam. (4)Elimu form four kuendelea. (5)umri...
 19. A

  Natafuta wateja na Business Partners

  .
 20. God over everything

  Natafuta kazi, kibarua, msaada

  Amani iwe nasi Watu wa Mungu. Nimerudi Tena Ndugu yenu, Bado sijabahatika kupata KAZI/kibarua. Nimeandamwa na madeni ya Kodi, service charges na madeni mengi ninapoishi. Naomba mwenye kunisaidia kibarua hata saidia fundi, nitashukuru sana. Naishi Dar es salaam, Elimu kidato cha 6. Mbarikiwe...
Top Bottom