Motor Trend is an American automobile magazine. It first appeared in September 1949, and is notable for introducing the first Car of the Year designation, also in 1949. Petersen Publishing Company in Los Angeles published Motor Trend until 1998, when it was sold to British publisher EMAP, who then sold the former Petersen magazines to Primedia in 2001. It bears the tagline "The Magazine for a Motoring World". Petersen Publishing As of 2019, it is published by Motor Trend Group. It has a monthly circulation of over one million readers.
Mange Kimambi anaonekana kuwa na tabia ya kutaka kila siku yeye ndiye awe kwenye trend. Wengine wanapopata attention kubwa, badala ya kufurahia mafanikio yao, mara nyingi huonekana kuanza kuwashambulia.
Nakumbuka Wema Sepetu alipata mtoto, Mange alimpinga hadi kufikia kutaka mtoto huyo apewe...
Ifike mahali tuwapuuze hawa watu, kuna namna hii familia inatafuta trend na huruma. Ukute mdogo mtu kalipa watu ili waendelee kujadiliwa, si bado ana posho za ubunge
Unawakuta barabarani wanapungia mikono sijui wanafanyeje Kwa mabasi ya mikoani ama magari binafsi,then yule dereva nae anamulika mataa kama ana-blink.
Ni Nini?
Ni scum
Ni Mr kuku
Ni ponzi scheme
Ni project ya wanakamati kula pesa zenu alafu wanawapa pilau kuku na soda
Haiwezekani mtu anakuunga kwenye group ghafla anacheka na wewe sio kawaida yake na ameeka fix mchango laki moja.
Alafu usipomchangia anajifanya kukukaushia.
Michango iwe ya...
Nacheka na inashangaza kuona namna wabongo wengi kwa sasa badala ya kuiga maisha na megacy za machifu au wazee wa mila wao wanaiga maisha ya miaka ya 70s au 80s ya walami.
Karibuni kwa mjadala
Politics determines many aspects of our lives in the 21st century. However, in developing countries, especially in Africa, personal connections and political relationships often play a significant role. In societies where poverty is widespread, people can sometimes be treated as tools or...
Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
BREAKING NEWS: X Influencers React to Hilda Baci’s NLP Testimony Ahead of March 13 Conference at Tafawa Balewa Square
LAGOS — Social media platform X (formerly Twitter) erupted in debate this week following a viral testimonial video by Nigerian entrepreneur and Guinness World Record holder...
Social media platforms were set abuzz on Tuesday as loved-up video clips of Senior Pastor of The Masters Place International Church, Pastor Korede Komaiya, and his wife, Dr Esther Komaiya, went viral, sparking widespread reactions and heated debates across relationship circles.
In the...
EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?
Utangulizi
Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi, hasa mtandaoni. Wauzaji wa kemikali za ujenzi, wakandarasi, mafundi pamoja na wamiliki wa majengo...
Huyu aliyepanga maandamano siku ya uchaguzi nimpe maua yake
Sasahivi kwenye Kampeini za uchaguzi wazungumzaji wote wanazungumzia maandamano tu.
Madaraja makubwa kama Tazara,Kuta za majengo ya serikali yameanza kuchorwa SAMIA MUST GO. Hii kwangu sio good sign.
Leo hii Samia ni wakuwaambia...
Muslim brotherhood ni kikundi kinachojificha katika kivuri cha msimamo wa kiislam lakini kiuahalisia kinafadhiri machafuko ulimwenguni kwa jina la uislam.
Maria Sarungi
NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️
Pole zako kaka Humphrey
Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana!
Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa...
Bado haijaisha mpaka iishe kabisa tulikuwa tunatekana wenyewe sasa tumeingia kimataifa zaidi.
We've written to @_AfricanUnion, @achpr_cadhp, @jumuiya, @SADC_News with a copy to international partners demanding immediate action and accountability from @SuluhuSamia on missing activist @AAgather...
Kufuatia sekeseke la machafuko na mgogoro wa kisiasa mara baada ya uchaguzi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa majadiliano/makubaliano ya kurejesha amani nchini Kenya.
Inasemekana Mh. Martha Karua aliingia kwenye malumbano personal na Mzee Annan na BWM mpaka ikafikia hatua ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.