malipo

 1. K

  Malipo ya maegesho ya magari jijini Mwanza sio haki

  Nimebahatika kutembelea jijini Mwanza mwisho wa mwaka huu na nimekutana na kitu cha ajabu ambacho sijawahi kukiona duniani kokote kuhusu jinsi ya kulipia maegesho ya gari. Mtu anakuja kuscan plate number yako bila hata wewe kujua, hivyo ni wajibu wako kujua hata kama ni mgeni kuwa unatakiwa...
 2. chinembe

  Kwa kuwa watumishi wa umma wanajifanya kuacha kazi kwa kasi kubwa kutokana na hofu serikali izuie /isamamishe malipo yao yanachelewa ili wasiache kazi

  Hawa watumishi wa umma wanataka kushindana na serikali. Kumekuwa na wimbi kubwa la kada ya watumishi wa umma kuacha kazi kutokana na hofu, hawa wamepewa mafunzo kazini kwa gharama kubwa na wengi ni wa kada za juu ambao wana nia ya kuvuruga succession plan ambayo kama nchi, gharama kubwa...
 3. Erythrocyte

  Tetesi: Cecil Mwambe kuhamia CCM muda wowote kuanzia sasa

  '' Wananchi wa Ndanda walinipa heshima ya kuwa mbunge wao, leo ninatukanwa na Vibaraka wa Mbowe kuwa mimi ni dogo, nadhani imefika hatua ya wananchi wa Ndanda na Mtwara kwa ujumla kukataa kabisa uhuni na ubaguzi wa CHADEMA na kutokaa na kadi zao kwenye nyumba zetu'' Cecil Mwambe"...
 4. JZHOELO

  Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

  Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
 5. CONTROLA

  Kuajiriwa sio dhambi, angalia malengo yako na epuka malipo ya mwisho wa mwezi

  Kuna kitu kinachanganya sana watu wasio na ajira/waliomaliza vyuo wanaotamani siku moja kuwa wafanyabiashara wakubwa na wajiendeshe sio kuendeshwa, akili zao zinasikia mengi sana kitu kinachopelekea kubaki njiapanda sasa leo acha nifafanue kitu kimoja kwa faida ya nyie ambao hamuelewi tunaposema...
 6. S

  Mtwara: Madiwani wa Mji Masasi wadai malipo ya Korosho yamechochea biashara ya ngono

  Malipo ya Korosho kwa wakulima wilayani Masasi Mkoani Mtwara yametajwa kuwa ni chanzo cha ongezeko la uwepo wa kina dada wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo ili kujipatia fedha hizo za korosho. Hayo yalisemwa jana wilayani Masasi na Madiwani wa halmashauri ya mji Masasi walipokuwa...
 7. BASIASI

  Hivi unapohitaji uthibitisho wa kiwanja inachukua muda gani baada ya malipo mh Lukuvi tunahitaji msaada wako

  Wenye uelewa wa hili swala bahati mbaya niko mbali na mjini mpaka jumatatu. Unapotaka kujua uhalali wa kiwanja cha mtu kuna malipo yanafanyika ili upewe barua. Kiuhalisia wanachukua muda gani maana kuna usanii unatokea mkoa mmoja kaskazini sasa inaenda wiki ya pili na pesa zishalipwa na...
 8. J

  Serikali yabaini ubadhirifu mabilioni ya fedha za malipo ya korosho. Wakulima wasiolipwa watakiwa kujitokeza na CAG kuikagua bodi ya Korosho

  Waziri wa kilimo mh Hasunga amesema mabilioni ya fedha za korosho yameliwa na wajanja hivyo ameunda tume ya uchunguzi kufuatilia ubadhirifu huo. Pia mh Hasunga amemtaka CAG kuikagua bodi ya korosho kwani kuna kiasi cha zaidi ya sh bilioni 55 hazijulikani ziliko. Kadhalika Waziri amewataka...
 9. Uzalendo Installer

  Computer repair and maintanance, malipo baada ya matengenezo

  Habari, Natoa huduma ya matengenezo ya computer (desktop na laptop) na malipo utatoa baada ya computer yako kufanya kazi. Kama kuna kifaa kitakuwa ni cha kununua, gharama ni juu yako. Kwa wale wanaohitaji kufungiwa CCTV cameras, watahudumiwa weekend tu. Napatikana kigamboni Dar. tuwasiliane...
 10. N

  Jipatie Mafunzo ya ujasiriamali bila malipo

  Kampuni ya CPM Business Consultants inatoa mafunzo ya ujasiriamali kwa whatsapp bila malipo. Lengo la mafunzo haya ni kutengeneza wajasiriamali wenye mafanikio kupitia mafunzo yatakayotolewa na Mshauri wa Biashara Charles kazi. Kujiunga na mafunzo tuma ujumbe kwenye namba 075539470 ukitaja...
 11. Kaka Pekee

  Bongo hakuna malipo bila malalamiko!

  Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiongea nao wanadai walipunjwa malipo. Baadhi waliofariki kabla ya kulipwa, warithi wao wanakuambia hawakuambulia kitu na waliolipwa mlolongo wa malipo kwao ulikuwa mkubwa kuliko. Upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege. Wahanga wa mabomu...
 12. D

  Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika

  Kampuni ya kimataifa ya teknolojia ya malipo, imetangaza rasmi ushirikiano wa kimkakati kati yao na Maxcom Afrika ambayo itawawezesha wauzaji zaidi ya 30,000 kupokea malipo ya Visa kwa kutumia simu ya mkononi pamoja na mawakala 20,000 ambao watawezeshwa kupokea amana na kutoa malipo na...
Top