mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi DUWASA: Bomba likipasuka mbele ya mita hiyo ni hasara ya Mwananchi

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dodoma (DUWASA), Mhandisi Aron Joseph, amefafanua kuwa uvujaji na kupasuka kwa mabomba ya maji yanayotokea kabla ya mita ya mteja ni hasara inayobebwa kikamilifu na mamlaka hiyo na wala si mwananchi. Akizungumza leo Oktoba 2, 2026 kwenye...
  2. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi manispaa ya Moshi, Mwajuma Nasombe atemwa. Ni yule aliyemnyima Greda mbunge Ibrahim Shayo

    Mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka, Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa alifanya ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro. Pamoja na mambo mengine Nchengerwa alizungumza na watumishi wa serikali kwenye ukumbi wa mikutano wa Manispaa ya Moshi. Moja ya jambo alilokemea ni kuwepo na mvutano baina ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msishangae Mkurugenzi wa Mashtaka kufuta mashitaka kabla ya maamuzi kuokoa Mahakama

    Msishangae Mkurugenzi wa mashtaka kufuta mashitaka kabla ya maamuzi kuokoa mahakama. Kwa kesi ya kijinga hivyo serikali haiwezi kushinda. Wakipewa ushindi na majaji kila mtu atasema kutokana na ushahidi huu majaji wamekuwa machawa. Serikali ikishidwa wataona aibu hivyo kwa ushahidi huu na kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri na wakuu wa idara kuwekwa Selo na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Ng’wilabuzu Ludigija, kwa kutoshiriki zoezi la usafi

    Mkuu wa Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, Ng’wilabuzu Ludigija, amemuamuru Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo pamoja na Wakuu wa Idara wote kuripoti kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) kufuatia kukaidi kwao mara kadhaa agizo la kushiriki katika zoezi la kufanya usafi wa mazingira wilayani humo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yake

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Handeni, Maryam Ukwaju, anatumia vibaya madaraka yeke kujiamlia mambo Hali ilivyo katika Halmashauri ya Mji Handeni, ikiwa itaendelea bila mamlaka za juu kuchukua hatua stahiki, inaweza kusababisha matokeo hasi yatakayoathiri utendaji na utoaji wa huduma ndani...
  6. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Gazeti la "BONGO FLAVA" "CELEBRITY" na " ASUBUHI NEWS" ni Mali ya Mkurugenzi wa C-C Digital Pro, Bw. Civilian-Coin

    Magazeti haya yote matatu hutoka kila moja na muda wake, BongoFlava hutoka Mara Moja kwa wiki, Celebrity hutoka Kila baada ya siku mbili na ASUBUHINEWS kwasasa ni Mara Moja kwa wiki. Kampuni binafsi ya C-C Digital Pro ndio huratibu Kila kitu online Chini ya Mkurugenzi na Chief Editor wake...
  7. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Moshi Manispaa BILA kuhamishwa, kuna kila dalili (CCM) kukutana na changamoto kubwa zaidi katika Uchaguzi Mkuu 2030

    Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na...
  8. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania JK akutana na mkurugenzi wa sasakawa peace

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Sasakawa Peace Foundation ya Japan, Bw. Masanori Kobayashi, katika ofisi yake ndogo iliyopo Masaki, Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalilenga kufuatilia...
  9. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi na Mayor Temeke Muoneenni Mh Rais Huruma!

    Tanzania ni kubwa sana , ina miako zaidi ya 26 na wilaya karibu 300. Tanzania ina masoko zaidi ya elfu 8 . Masko yanasimamiwa na local government ambayo ipo kumsaidia mheshimiwa Rais. Sasa , pale wanapofanya vibaya anayelaumiwa ni Rais ni sio hao wwatendaji. Mh Rais , anapenda usafi hata juzi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi wa Wizara ya Afya anagawa kazi zake kwa upendeleo

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo unaodaiwa kufanywa na Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi (DPS) wa Wizara ya Afya katika ugawaji wa kazi za manunuzi. Inaelezwa kuwa, licha ya maafisa kugawiwa idara mbalimbali za kushughulikia masuala ya manunuzi, baadhi ya zabuni zinazohusu idara hizo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu ambazo hupelekea wakati mwingine umeme kukatika katika

  12. Inevitable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Ecuador na Mkewe Wafariki Kwenye Ajali ya Helikopta

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama na Ujasusi ya Ecuador (CIES), Michele Sensi-Contugi, pamoja na mkewe Stephany Hollihan, ni miongoni mwa watu saba walipoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyotokea eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu nchini Kenya. Vyombo na Eneo: Helikopta aina...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DED Mtwara Mikindani: Muuza Samaki anayetozwa ushuru kisha akiomba risiti anatishiwa, aje aripoti tuwabaini wanaofanya hivyo

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara Mikindani, Hassan Nyange ametoa ufafanuzi kuhusu malalamiko ya wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feri, kuhusu madai ya ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru. Hoja ya awali ya Mdau hii hapa ~ Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, Manispaa ya Mtwara...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunaomba Serikali ifafanue ununuzi wa gari katika Wilaya ya Mbinga kwa ajili ya Watumishi huku kukiwa na changamoto nyingi bado

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mbinga DC, Joseph Kashushura, kupitia Halmashauri anayoiongoza, hivi karibuni alinunua gari aina ya Toyota Coaster kwa gharama inayozidi Shilingi milioni 300. Bei hiyo ilitajwa na Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo, ndugu Haule, wakati akitoa ufafanuzi kwa...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Kennedy Orinyo Nyamanga kuw mkurugenzi mkuu wa urasimishaji na uhamasishaji na HATI WA Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kupitia ukurasa huu watanzania na viongozi kama Kennedy Orinyo Nyamanga naomba kujiaminisha kuwa mkurugenzi mkuu wa amani na urasimishaji na uhamasishaji na HATI WA Tanzania na pia napenda kuwatakia Kila la kheri,nawatanzania nawatakia amani ya afya katika ardhi ya Tanzania chini ya kiongozi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mtendaji, wataalamu na madiwani Halmashauri ya Msalala wapongezwa

    Hongera Bi Rose Manumba, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, madiwani na wataalamu wote kwa uongozi wenye matokeo unaotanguliza maslahi ya wananchi. Kupitia usimamizi madhubuti wa ukusanyaji wa mapato, kuelekeza rasilimali nyingi kwenye miradi ya maendeleo inayogusa maisha...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Salum Mnuna ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu na Wenyeviti wa Bodi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni:- (i) Bw. Salum Nassor Mnuna ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Jiji Tanga, hatua hii ni kwa faida ya nani?

    Kwanini watu washukie na kupakia Kange wakati 98% ya watu wanakaa mjini Tanga na viunga vyake excluding Kange? Ridiculous kuwa gari liko barabara say ya 14. Analiacha anapanda basi dogo kwenda kupakia Kange! Una maana gani kwa hatua hii? Most likely wewe and your cronies mna daladala zenu...
  19. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi ipp media Bw. Abdiel Mengi okoa jahazi

    For Promo only. https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=WFtATkgwuApVX0J3 Kwa Mara ya kwanza Abdiel Mengi kukutana na Civilian-Coin ilikuwa mwaka 2003 katika studio za Backyard record zilizokuwa namanga Kona(DSM) ambapo Bw. Abdiel Mengi alikuwa mmiliki wa studio na Civilian-Coin aligongewa beat na...
Back
Top Bottom