Wakuu naombeni mnifingue macho pengine Kuna kitu ntakua sikijui mpaka leo au ntakua nimekilock bila Mimi kujua.
Nikifungua page yoyote internet inakataa kwamba Sina Salio lakini nikiangalia Salio kwa kutumia menu ya kawaida naambiwa MB bado ninazo hapo tatizo litakua ni nini?
Sasa utaweza kutazama video za music wa rhumba,show na vipindi bure kabisa .
Kudownload ingia Google Playstore Kisha andika rhumba music tv au unaweza kuipata kupitia Google kama hauwezi unaweza tazama kupitia
https://rhumbamusictv.com
Mko poa
Kwa ninavyoona hapa uwanjani mechi itakuwa kali sanaa yaani, na itakuwa mechi ya historia
TANZANIA NA SENEGAL-U17
Kiukweli mechi ni ngumu sana kwa upande wetu ninavyoiona hapa uwanjani ukweli usemwe..
lakini fainal ni fainal yeyote anaweza akashinda
Nipo moroco hotel kinondoni...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
Wakuu baada ya kuona wenzetu wa Kenya Uganda Ethiopia na kwingineko Duniani wakifurahia ubingwa WA timu pendwa ya Arsenal na hapa Dar nilipanga niende viwanja vya posta lakin baada ya kuona wameingiza siasa na kuweka mgeni rasmi siwezi kwenda tena kama kuna chimbo jingine naomba nielekezwe...
Uchambuzi wa mpira wa miguu (Football Analysis) si kubahatisha matokeo tu — ni uelewa wa kina wa jinsi mchezo unavyochezwa kupitia takwimu, mbinu, na maamuzi ya timu na wachezaji ndani ya uwanja.
👉 Kwanini timu inashinda?
👉 Kwanini nyingine inapoteza hata ikiwa na wachezaji bora?
👉 Tactical...
Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo.
Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa.
Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
Africa sijui tutakuja kuamka lini aisee
Unaona viongozi wanapambana sana na Internet linapofika suala la mambo ya msingi mustakabali wa maisha yetu na kutaka haki na utawala bora. Ukweli ni kwamba aidha watake au wasitake hawawezi kupambana na teknolojia. Mwanzo walianzaga hivihivi, wakaanza...
Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda ,
Miaka mpaka kumi nakaa kuangalia ulinzi na kazi zingine nafanya pia, pia wenye hotel naangalia mazingira...
Wakuu
Hivi ndo kusema kwamba tunaenda kutengwa kimataifa?
Maseneta wawili wa Kamati ya Mahusiano ya Kigeni ya Seneti ya Marekani wameitaka Marekani kutathmini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia ukatili uliofanyika wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Chanxo; Risch, Shaheen...
Mtoto anakimbia na mama yake anapigwa shaba anakufa taratibu huku anaona analia mama amka..?
Kijana anakufa taratibu wakati utumbo wote umemwagika nnje??
Watoto wanalia mamayao kafuatwa hadi ndani kapigwa shaba wanalia juu ya damu iliomwagika???
KWASASA SITOANGALIA VIDEO NYINGINE KWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.