rejareja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LugaMika

    Pata vifaa vya kisasa na kwa bei za jumla na rejareja yaani Kmpyuta.

    Tumezidi kuaminika kila iitwapo leo. Wewe Mzazi au Mlezi amma Mwanafunzi usipate shida wewe tuambie upo wapi na Unataka Laptop au Desk top aina gani ?? Usiwaze kwamba tunafanya kazi kulingana na idadi. Sisi tunafanya kazi kwa wote. ★ ★★★ ★★★★★★★★★★★★★★★★★★ OFA OFA OFA OFA...
  2. S

    Serikali itufafanulie "hatua za mwisho" maana yake nini badala ya kutufanya kama watoto wadogo wa kudanganywa kwa majibu ya rejareja

    Mwaka jana, June 2023, wakati waziri wa mambo ya nje akiwa Dr Tax, serikali ilitoa hili tamko pale Bungeni Leo April 2024, serikali imetoa tena tamko hilo hilo pale pale Bungeni mbunge wa viti maalumu Suma Fyandomo alipouliza swali kuhusu uraia pacha. Sasa nakumbuka tumekuwa na matamko kama...
  3. Smith Rowe

    Nauza foil jumla na rejareja kwa bei nzuri.

    Habari, Nauza foil jumla na rejareja Foil ndogo zenye urefu wa mita 61.93 na sqft 200 Foil kwa bei ya jumla ni 90k zinakaa 10. Bei ya rejareja ni elf 10 kwa pc moja. Tupo Ubungo external karibu na ofisi za TMDA. 0696101524 0712650241
  4. Smith Rowe

    Nauza foil jumla na rejareja nakuletea popote ulipo, usafiri bure

    Habari wanajamii Nauza foil za kufungua chips na nyama kwa bei ya jumla na rejareja. Jumla ni 90k zinakaa 10 Rejareja ni 10k kwa pcs moja. Nakuletea popote ulipo ndani ya dar Bure. Kwa maeneo ya Ubungo, mwenge, kawe,Bunju na Tegeta nakuletea hata pcs moja popote ulipo bure. Foil ndogo ndiyo...
  5. Manyanza

    Maduka ya rejareja ya Wahindi Posta ni hovyo sana

    Jana nimekutana na tukio la kushangaza sana kwenye duka la rejareja la Mhindi maeneo ya Posta mpya mtaa wa Zanaki. Ni hivi nilikuwa nilitokea kwenye jengo la Haidery Plaza baada ya kushuka chini nikawa naelekea maeneo ya Chuo cha Biashara (CBE). Nikawa napita ule mtaa wa Zanaki maeneo yale...
  6. M

    Changamoto za Duka la rejareja

    Huu ni uzi maalumu wa kuelezea changamoto wanazopitia wafanyabiashara wa Maduka ya Rejareja almaarufu "Maduka ya Mangi". Kama una Changamoto yoyote unayopitia andika hapa, hata kama wateja wanakukosea pia ongea hapa. Asante.
  7. Board member

    Vodacom acheni wizi wa rejareja

    Habari. Imekua mchezo wenu uliozoeleka siku hizi. Kila nikiweka airtime kabla sijaunga kifurushi lazima mukate kiasi, hali hii inafanya nishindwe kujiunga na package niliyokusudia hadi niongeze airtime nyingine. Nikiwapigia mnasema mara nimejiunga na huduma gani sijui, wakati mimi sijawahi...
  8. Mjukuu wa kigogo

    Mamlaka husika mnatambua jinsi wafanyabiashara maduka ya rejareja wanavyoibiwa sukari, ngano na sembe katika maduka ya jumla wilayani Bunda?

    Wanajamvi wakati tunaendelea kumuona Makonda akiendelea kuuwasha moto na kuendelea kuwa man of the match kuna kitu nimekibaini....! Maduka mengi ya jumla(wholesale) hapa wilaya ya Bunda yananyonya sana wafanyabiashara wadogo wadogo(wa rejareja),ila mbinu wanayotumia ni kali sana...
  9. Camilo Cienfuegos

    Haya matusi ya rejareja ya Oscar Oscar, mamlaka ziko kimya

    Mwambieni jamaa yenu aache matusi ya rejareja tena ya kudhalilisha wanawake.
  10. Wakili wa shetani

    Utamgunduaje mtu anayekudharau?

    Twende kwenye mada. Kuna dharau za waziwazi na kuna dharau zilizojificha. Tusaidiane kugundua dharau zikizojificha. 1. Ukiona mtu anakusifia sana mbele za watu jua anakudharau. Mtu mwenye heshima zake huona haya akisiwa mbele za watu. Sasa mtu akikusifia bila kujali hilo fahamu kuwa...
  11. Amiry outfitstore

    INAUZWA Nauza handbags na viatu vya kike bei ya jumla na rejareja

    Ndugu zangu wana JF karibu amiry outfitstores tunauza viatu na handbags za kike kwa bei ya jumla na rejareja..tupo kariakoo mtaa wa agrey na msimbaz ..jengo la CANAAN COMPLEX..karibun sana kwa mawasiliano ni 0626817740..naomben support yenu wana JF ..asanten sana
  12. Amiry outfitstore

    Tunauza handbags za kike kwa bei ya jumla na rejareja

    Hello wana JF, Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja. Kwa mawasiliano ni 0626817740 Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
  13. I

    Kwanini makampuni makubwa ya kimataifa yanayouza bidhaa za rejareja yanaondoka Tanzania?

    Katika siku za hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia maduka makubwa kadhaa yakifungwa, huku la hivi punde zaidi katika orodha likiwa ni Game Stores, ambalo kufungwa kwake kutaathiri vibaya zaidi ya kazi 100 za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja. Kuondoka kwa Game kunaikumbusha nchi ya...
  14. S

    Tunauza Sabuni za Magadi kutoka Kigoma, kwa bei ya jumla na rejareja

    Tunauza sabuni za magadi kutoka Kigoma kwa bei ya jumla na rejareja. Tsh 29,000 Ukichukua carton zaidi ya 25 ni, na Tsh 30,000 kwa carton 1-25. Tunapatikana Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam. Unapochukua carton 100 au zaidi utaletewa sabuni...
  15. Vinci Dayot Upamecano

    Naanza upya na biashara ya Nafaka rejareja, nipeni Muongozo

    Ishini sana, Tabu sio jambo jema lakini hatuna budi kuzipitia. Kuna kibanda nimekiotea kipo soko la mtaani, hilo soko halina watu wengi saana ila pilika pilika zipo kimtindo pamoja na makazi ya watu sio uswahilini sana sio ushuani sana ni changanyikeni flani hiv nataka niweke kambi hapo...
  16. Cheology

    Ukabaji wa Rejareja jioni jioni umekithiri jijini DSM

    Hapa ieleweke si Ile hali ya kuvamiwa, ni umekaa amepora amesepa, na akikulia timing anakuumiza. Si ishu tu ya uhitaji wa sungusungu akili zichanganywe katika level ya kufikir nje ya box. Wengi hawajui level of crimes, baadhi ya nchi ulimwenguni hakukaliki kutokana kiwango kilichopitiliza...
  17. Rangooo

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara kwa rejareja na jumla

    Habari wana jamvi, Ndugu zangu naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza sigara jumla na rejareja, pipi Kali, big G n.k. changamoto zake, mtaji upi ni mzuri, na kwa dar wapi naweza pata mzigo kwa uhakika na njia zipi ni bora za kupata wateja wa hivi vitu.
  18. Wolle Melkas Fernando

    Amini usiamini, hii ndio thamani ya kichoma taka inayodaiwa na mafundi wa Wizara ya Afya

    Mafundi wa Wizara ya Afya wanaidai kata ya Ipera kiasi cha Tsh. 16,900,000 baada ya kujenga kichoma taka yaani "Medical waste incinerator" Katika Kituo cha afya Ipera. Kituo hiki kipo Kata ya Ipera wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa maelezo ya Diwani wa kata ya Ipera Mh...
Back
Top Bottom