• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

jumla

 1. Johnyy

  Natafuta masoko ya jumla

  Hlw wana jf, natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa nafasi ya uhai, mimi ni kijana mkulima wa papai za kisasa mbegu ya karina na malkia miche 400 shamba lipo Tanita Kibaha. Kwa mawasiliano waweza nichek Whatsapp au kunipigia kwa namba 0686301689 mbarikiwe sana
 2. Pilato2006

  Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

  Wana JF, nataka kufanya kilimo cha mapapai ila nahitaji mbegu za muda mfupi kuzaa ili nianze kuvuna mapema. Naomba msaada wa yafuatayo 1 Wapi nitapata mbegu fupi za muda mfupi kuanza kuzaa? 2. Nikitaka kupanda spacing iwe kiasi gani toka mche hadi mche? Asanteni sana hii ni katika kuhangaika...
 3. Cleverman324

  Natafuta wanunuzi wa jumla wa ream paper

  Wadau natafuta wanunuzi wa ream paper mond 1 kwa jumla bei ni 42000 per carton. Ninauza ream paper mond 1 kwa bei ya jumla..mawasiliano 0787699766.
 4. SaidMuhama

  Natafuta wauzaji wa mchele wa jumla

  Natafuta wauzaji wa mchele wa jumla kati ya Mbeya, Ifakara. Tuwasiliane kupitia +255 625 490 405.
 5. Braza POPO

  Pata mifuko ya karatasi ya khaki kwa bei ya jumla

  Mifuko yetu ni imara sana na inaanzia GSM 90 mpaka GSM 140. Inaweza kupakia kuanzia uzito wa kilo 1 mpaka kilo 10. Ipo yenye mishikio (handles) na ambayo haina handles. Tunauza kwa jumla tuu (WHOLESALE), tunauza kwa cartons/ bundles kulingana na size ya mfuko. Tunapatikana Dar es salam -...
 6. B

  Naturals Butters and Oils

  Raw Shea Butter, African Black Soap, Cocoa butter, Mango butter etc ( jumla na rejareja) karibuni. WhatsApp 0752555223
 7. miss zomboko

  Wanafunzi wa kidato cha 4 waanza mtihani wa taifa leo ukiwa na jumla ya watahiniwa 485,866 nchi nzima

  Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Nne umeanza kufanyika leo nchi nzima huku kukiwa na jumla ya watahiniwa 485,866 waliosajiliwa kufanya mtihani huo kwa mwaka 2019 na kati yao wa shule ni 433,052 na 52,814 wa kujitegemea Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde...
Top