Nawasalimu wakubwa na wadogo
Nimefikiria mada hii kwa uoni wa mbali sanaa mana vijana wengi humu ndani saivi wanabishana sana kuhusu ndoa na vijana hawa wengi ni wa 90's
Mpaka mwaka huo wengi wa vijana wa 90's kama tutajaaliwa kufika tutakua tushakua wazee sasa nataka tuje kuona wepi walikua...
Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine.
Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote.
Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
baada
ghafla
kipindi
kiuchumi
kubadilisha
kubadilisha maisha
kuishi
kushuka
kushuka kiuchumi
maisha
mrefu
muda
muda mrefu
presha
sio
tukutane
tuliowahi
uchumi
vipi
wako
Salaam,
Wakuu tukutane kijiwe cha drafti hapa: Kama kawaida mimi nipo kijiweni. Game langu ni dakika tatu (3) zikizidi tano (5) tu sitaki anayesinzia. Ingia hapa create akaunti yako dakika moja chap kisha tuanze mtanange.
https://www.playok.com/en/tzdraughts/#
Kwa muda sasa kumekuwa na maoni mbalimbali kuhusukufanyika kwa maridhiano ya kitaifa kufutia matukio ya baada. ya uchaguzi mkuu wa mwaka Jana.Kuna wanaotaka maridiano ili kuliponya taifa kufuatia maumivu yaliyolikumba taifa kabla na baada ya uchaguzi,na engine wakiona maridhiano hayo ni kupiteza...
Wakuu mambo ni aje.
Maisha yana mambo mengi sana ya kufurahisha na kuumiza..
Najua ni wengi tumeshawahi kukumbwa na situation ya kuchapiwa japo wanasemaga ni siri ya ndani. Katika jambo hili kila mmoja ana namna yake ya kuyabeba au kuyatolea maamuzi, hatuwezi kufanana.
Binafsi kuna mke...
Husika na kichwa cha Habar hapo juu.
Mimi n Mtalaaam(Mechanical Engineer). Nimejikita zaid kwenye upande wa power yaan generator na Solar System. Kwa miaka 18 sasa hv
Nmekuja hapa mbele yenu tuwe tunapeana uzoefu na kutatua matatizo madogo madogo na makubwa ya Generator.
Pia hata Spare mbali...
Heshima ya mwanaume ni kuweza kumudu kuhudumia familia. Watoto na mke wale, watibiwe na kupata stahiki zingine kwa wakati.
Pia heshima ya mwanaume ni kumt.... MBA mke au MICHEPUKO mpaka aseme tayari inatosha.
Hakuna raha kama kuweza kupiga show kwa ufasaha. Mwanamke ukiweza kumpa mahitaji yake...
Mimi ni boss wa Jf kazi yangu ni kutoa assignment and get things done.
1.Nitapost kitu nisubirie responses kwa watu(Business plan in action)
2.Maudhui yangu ndiyo yataamua wachangiaji(Business marketing)
3.More responses will sell you in business industry and get profit
4.The more profit you...
Huu ni Uzi maalumu kwetu sisi vigagula , kwa ajili ya kupeana update za dawa mpya na michanganyo yake kwa lengo la sisi kupandishwa vyeo makazini, kuwaroga mabosi zetu watuachie Mali , kuroga wazungu, kujipatia Mali za kilozi n.k
Binafsi tayari Nina mchanganyo mpya wa jinsi ya kuwavua na...
I hope this thread finds you well. Mimi ni mzima wa afya kabisa sijui ninyi huko
Leo nimekutana na kijana mwenzangu anauza vitu kama mafuta, sabuni, perfumes etc. makolo kolo mengi mengi wazungu wanaita cosmetics products sijui ni hivyo au nachanganya mafile.
Tumekutana tumesalimiana vizuri...
Habari wakuu,
Khalysh investment tusambaza chakula cha kuku cha aina zote kwa bei ya kiwandani—ubora wa hali ya juu, bei rafiki, na uhakika wa matokeo shambani.
🐔 AINA ZA CHAKULA TUNAZOTOA:
🔹 Kuku wa Nyama (Broilers)
✔️ Starter – kwa vifaranga (ukuaji wa haraka)
✔️ Grower – kuku wanaokua
✔️...
N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi
Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio.
Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la...
Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria.
Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa.
Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
Sina mengi ya kusema zaidi ya kuwaambieni tu kuwa mimi ndiye GOAT wa Mpira wa chandimu.
Hii ndo kusema kuwa wakati wengine walikuwa wanatamba pande zao mimi nilikuwa natamba pande zangu.
Huku mesi akiwa GOAT wa professional football secretarybird naye ni GOAT wa chandimu.
Ni hayo tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.