Sasa unaweza kuangalia mauzo ya duka lako ukiwa popote

Mijicho

JF-Expert Member
Jan 20, 2009
280
212
Habari za saa hizi wote kwa ujumla.

Tumshukuru Mungu kwa uzima .

Nakuja kwenu nikiwa nawaletea habari njema wale wenye maduka ,supermarket,pharmacy na kadhalika.

Tuna mfumo wa mauzo ambao utakusaidia kuangalia faida,mauzo na manunuzi ya biashara yako ukiwa online sehemu yoyote ile hata kama sio sehem ya biashara yako.

Mfumo huu unaweza kuufungua kwa simu, computer /laptop au tablet ilimradi tu unaweza kupata internet.

Gharama za mwanzo
1,000,000 Tzs :kupata domain,stock taking,mfumo, training
230,000Tzs : Gharama za kila mwaka mara moja

Vifaa ambavyo ni muhimu lakini sio lazima
-Bar code scanner
-Printer

Karibuni tufanya biashara

DM kwa ambaye yuko serious
 
Yaani kirahisi rahisi hivo umemaliza tangazo kumeuelezea mtu Hawa vijana siku hizi wamekuwa na low IQ sana mtu aneelezea mfumo mpya wa kibiashara kama anamuekeza graduate mwenzie yaani.
Boss mkubwa,kitu gan hujaelewa
 
mkuu hii kitu kuna watu wengi wenye biashara nd6go na za kati wanatanani sana kuwa nayo, kama maduka ya jumla na min supermarkerts ila kwa jinsi ulivowasilisha sidhani kama utampata mtu. tuliza kichwa mkuu uwasilishe vema, gharama pia ni kipengele.
 
Yaani kirahisi rahisi hivo umemaliza tangazo kumeuelezea mtu Hawa vijana siku hizi wamekuwa na low IQ sana mtu aneelezea mfumo mpya wa kibiashara kama anamuekeza graduate mwenzie yaani.
Kwani hujaelewa wapi mkuu😂😂

Wengine ukiweka maandishi mengi nao wanasema unawachosha
 
Sasa hapa nimejaribu kufupisha,nimeweka function za system kwa ufupi in summary,ili atakayeona inamfaa tunafanya demo,nakuja na laptop nakuonyesha unavyofanya kazi
 
mkuu hii kitu kuna watu wengi wenye biashara nd6go na za kati wanatanani sana kuwa nayo, kama maduka ya jumla na min supermarkerts ila kwa jinsi ulivowasilisha sidhani kama utampata mtu. tuliza kichwa mkuu uwasilishe vema, gharama pia ni kipengele.
Mi nimeipenda ila gharama kipengele kwa kibiashara changu kidogo, kuna mtu anatumia software inaitwa duka pro nayo nzuri nina experience nayo

Labda aelezee zaidi namna unaweza kucontrol stock(ktk wizi) n.k
 
Ok ,unaweza kucontrol wizi namna hii.
Kwa ligha nyepesi kabisa angalia mfano huu.

Umenunua bidhaa 20.
Umeuza 5
Umebakiwa na 15 kwenye stock.
Muda wowote ukihesabu Mali zako unategemea ziwe 15 na si vinginevyo.lazima hiyo 15 uione kwenye system na ukizihesabu.akiiba ina maana kwenye system utaona 15 lakini ukihesabu utaona 13 iwapo ameiba bidhaa 2.Uzuri wa hii inakuonyesha faida kwa siku,kwa kila bidhaa,kwa hiyo wewe kazi yako ni kuchukua faida tu kila.jioni na kuacha hela ya mtaji izungushe bidhaa zako.
 
Mi nimeipenda ila gharama kipengele kwa kibiashara changu kidogo, kuna mtu anatumia software inaitwa duka pro nayo nzuri nina experience nayo

Labda aelezee zaidi namna unaweza kucontrol stock(ktk wizi) n.k
Ujue kama nilivyosema hii system ni maalumu kama unataka kuaccess hata ukiwa nyumbani ,uone mwendendo wa mauzo yako kwa kupitia internet .hapo utakua na kama website yako ndio maana kuna hiyo gharama.lakini pia tuna mfumo huo huo ambao Unaweza kuwekwa kwenye computer bila internet,gharama.yake ni nafuu zaidi.Ila ukitaka access lazima ufungue computer ambayo ipo dukani mwako ,hauhitaji internet.Huu gharama yake ni laki 5 .
 
Vizuri nafikiri hii ndio ingewafaa wengi ungeielezea kwenye post

Kwasababu hii ya internet ni kama extra ila cha msingi ikiwa hata dukani kwenye computer ni bora kwasababu dukani(ofisini) lazima uende hasa kwa issue za physical counting
 
Back
Top Bottom