Natafuta kazi ya Meneja Mauzo

Mandela5599

Member
Jul 28, 2020
65
280
Nina uzoefu wa miaka 5 katika mauzo ya Sola kwenye kampuni ya offgrid electric power maarufu kama Zola. Mpaka sasa nafanya kazi katika kampuni hiyo

Nilianza kama afisa mauzo wa kawaida na badae sales leader

Kitaaluma ni mwalimu kwa ngazi ya degree

Kusimamia teams za mauzo na motivations kwa team, kubuni mikakati mbalimbali ya kuongeza mauzo kwenye kampuni ni mambo ambayo nimepata uzoefu kwa kiasi cha kuweza kuleta mabadiliko chanya kwenye kampuni yoyote kubwa au ndogo
 
Ulikuwa unalipwaje commission based au fixed salary?
Commission nikutokana na mauzo ya team unazo simamia na hii inategemea target zilizo pangwa. So commission inaweza kureach 1.5m out of salary...structure yao iko hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom