Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya.
Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa kupokea kwani hata mawakala nao wanatapeli wateja, kutuliza akili ni jambo la muhimu sana.
Usikubali...
Ndugu wanajamii,
Leo tunazungumzia suala linalowahusu moja kwa moja mawakala wa mauzo (Direct Sales Agents) wanaofanya kazi na kampuni ya Yas Tanzania. Hoja hii ni muhimu kwa sababu inahusu haki ya kila mfanyakazi, kulipwa kwa wakati kwa kazi na juhudi alizozitoa.
1. Hali ya Tatizo
Kwa mujibu...
Mawakala wakuu wa mtandao wa Halotel Tanzania upande wa HaloPesa, tunaiomba kampuni itolee ufafanuzi kuhusu kucheleweshwa kwa malipo yetu ya kamisheni bila sababu za msingi.
Awali tuliambiwa kuwa malipo yangefanyika baada ya kuwasilisha risiti za EFD kutoka TRA. Tumezifikisha risiti hizo tangu...
Anonymous
Thread
halopesa
halotel
halotel tanzania
mawakala
tanzania
Hoja kuhusu Kuboresha Huduma za Utumaji Fedha Kupitia Mawakala
Ningependa kutoa maoni yangu kuhusu huduma za utumaji fedha zinazotolewa kupitia mawakala wa mitandao ya simu. Kuna haja ya kuweka utaratibu bora zaidi utakaomwezesha mteja kutuma fedha moja kwa moja kwenda sehemu yoyote nchini...
Hello wakuu,.
Nahitaji maafisa mauzo (Mawakala wa mauzo) kwenye bidhaa ya mikopo kwa dhamana ya gari,.
Awe ni mchangamfu na mwenye uzoefu kwenye mauzo na kukutana na wateja wapya. Awe anaekaa mkoa wa Dar es salaam.
Kwa mawasiliano anaweza tuma CV au kupiga simu 0757962335
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania umepita, Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan alitangazwa Mshindi kwa kupata Kura Milioni 31 sawa na takribani 98% ya Kura zote zilizodaiwa kupigwa kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC).
INEC pia...
Nawaona masheikh uchwala wapo busy kupambana na TEC taasisi ambayo imejipambanua kwa kuusimamia ukweli bila unafiki
Hawa wanao jiita masheikh wana ajenda yao kuu, na wana mipango yao dhidi ya ukristo nachelea kusema hayo na naamini hivyo kutokana na harakati zao ambazo naona wana hangaika...
🎯 TENDA YA MAWAKALA - HORIZON INSTITUTE 🎯
📍Chuo Kipo Zanzibar 📍
💰 FURSA YA KUPATA MAPATO KILA SIKU! 💰
---
📋 JINSI YA KUFANYA KAZI:
1️⃣ JIUNGA KWENYE MFUMO WA WAKALA:
👉Ingia hapa kujiunga: Horizon Institutes
📝JISAJILI kwenye mfumo wa wakala
🔐PATA NAMBA YAKO YA WAKALA baada ya kujisajili...
Mgombea Ubunge jimbo la Temeke kwa tiketi ya Chama cha ACT Sheikh Issa Ponda akielezea mchakato mzima wa usahili wa mawakala huku akisema kwenye zoezi hilo amefanikiwa kuweka mawakala wengi, licha ya mawakala 35 kuzuiwa, lakini bado yupo kwenye maongezi na tume kuhusu suala hilo.
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha ya mawakala 12 wa wachezaji waliofaulu na kupata leseni ya kufanya shughuli za uwakala wa wachezaji ya Shirikisho la soka duniani (FIFA).
Mapema mwaka huu, Amos Mlandali maarufu kama Sizo alikuwa mmoja kati ya walifaulu mtihani wa...
Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia.
Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa.
Ila...
Biteko, “Mimi sitaweka mawakala katika vituo vya kupigia kura kwa sababu sina mashaka na nyinyi watu wema wa Bukombe bali mawakala wangu mtakuwa ninyi wananchi wenyewe wa Bukombe”.
Doto Biteko ambaye pia ni mbunge wa Bukombe aliyemaliza muda wake na Naibu waziri mkuu, amesema hayo leo Agosti 3...
Tume ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema imezifanyia kazi changamoto mbalimbali mawakala katika chaguzi zilizopita na kuwa hazitatokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Jumatano, Oktoba 29, 2025.
Hakikisho hilo limetolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa INEC, Kailima Ramadhani leo Ijumaa...
Kazi ya jeshi la polisi ni usalama wa raia na mali zao. Sasa hii kuwakamata mawakala wa forodha wasiovaa sare inahusikaje kwenye majukumu yao? Mbaya zaidi ni raia wa nchi jirani ambayo hiyo sheria ya clearing agents kuvaa sare eneo la forodha haiwahusu. Hawa wazambia walikuwa na vitambulisho cha...
Usafiri wa mabasi ya mwendokasi upo taabani yawezekana Kuna wizi uliyokithiri na hii ndio huluka ya watanzania na kama ni wizi basi upo katika ukutishaji wa ticket
Ukienda kukata ticket unalikuta libaba ndio kinakatisha ticket uwaga najiuliza hivi kweli libaba kama hili mshahara pekee wa hapa...
Habari wakuu...!
Ndoto zangu ni kwenda duniani kutafuta maisha Bora nikawe muokota taka sweezeland au Norway kuliko kufanya KAZI za kizembe hapa bongo.
Je Kuna mtu anajua mawakala wa kusafirisha watu nje ya nchi
Nataka kuanza na Dubai commoro, Qatar Saudi Arabia etc
Kama ulikua hujui ni mtandao gani hulipa KAMISHENI ndogo zaidi wacha nikufahamishe;-
Mtandao unaolipa pesa ndogo zaidi kwa mawakala,
Baada ya kufanya biashara ya kutuma na kupokea pesa,
Kuliko mtandao wowote hapa TANZANIA ni AIRTEL,
Huu mtandao unalipa kiasi kidogo sana cha pesa...
Huu ni wizi mpya kwa kampuni ya Vodacom songesha, mtu hujawahi kopa unakuta deni eti ulipe
Ama kuna wanaotumia hiyo huduma lakini overdraft huenda ni laki moja wakala anakuta deni la laki moja na nusu huu ni wizi
Ukiwapigia wanakupiga kiswahili
Kumekua na tabia za kupigiwa simu na watu wanaojiita mawakala wa TRA wakitangaza biashara zao za kuuza electronic efd machines kwamba unaweza kutoa efd receipt kupitia simu ya mkononi. Natambua kwamba hilo linawezekana lakini, swali langu ni kwamba wanatoa wapi hizi namba zetu? na...
Nini hasa kinachowachochea watoa taarifa (informants) au mawakala (agents) kushirikiana na mashirika ya intelijensia?
Tunajua kuwa kazi ya intelijensia na upelelezi inategemea sana taarifa zinazokusanywa kutoka kwa vyanzo mbalimbali.
Ni sababu zipi zinazowafanya watu hawa kuwa tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.