daftari

Lisa Daftari is an investigative journalist focusing on foreign affairs, with a specialization in Middle Eastern policy and counterterrorism. She regularly appears on television and radio with commentary and analysis, providing exclusive reporting on vital developments in the region. Currently, she is an on-air Fox News political analyst and has previously been featured on CBS, NBC, PBS, the Washington Post, NPR, ABC, Voice of America, and others. Lisa also serves as founder and Editor-in-Chief of The Foreign Desk, an international news and U.S. foreign policy news website. Daftari has been interviewed in Spanish, English, and Persian.
Her areas of expertise and coverage include the Middle East and North Africa, terrorism, national security, the Arab Spring, global Christian persecution, human rights, cyber security, and more. She was invited to show her documentary film about an Iranian underground political movement in Congress. She frequently is called upon to give briefs and expert testimony for government and private entities. Daftari has worked for a number of think tanks in Washington, where she has written exclusive reports for the Pentagon and other government groups.

View More On Wikipedia.org
  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi kwanini vituo vingi vya afya vya serikali taarifa ya matibabu mgonjwa hapewi?unapewa tu dawa daftari wanabaki nalo kwanini?

    Hiki kitu huwa najiuliza sana na nimekutana na hii changamoto vituo vingi sana hasa vya serikali yaan unatibiwa lakini unacho toka nacho ni dawa basi lakini taarifa zingine za maandishi wanabaki nazo wao na hata daftari walilo kuandikia dawa na maelezo ya matibabu wanabaki nalo wao. Sasa...
  2. ElietSe

    JamiiForums Tanzania Usiandike mauzo kwenye daftari!!!

    Fanya mauzo yako yawe rahisi! Tumia Smart Calculator ya Dukani kurekodi kila mauzo na kuyaweka kwenye kumbukumbu. ✅ Inafanya kazi bila internet ✅ Ni rahisi kutumia ✅ Inahifadhi data kwenye simu yako ✅ Unaweza kuona mauzo ya leo, wiki hii na jumla ya mauzo yako Jua biashara yako inaenda vipi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hili daftari ya wakazi huko ulipo lipo au ni kwetu tu

    Kuna daftari linapita katika baadhi ya vijiji likiwataka watu kuandikisha taarifa zao mie kuna kijiji nipo nimealazimishwa kuandikishwa vip huu utaratibu ukoje hebu nijuzeni hii ni sheria au kitu gan
  4. Stability

    JamiiForums Tanzania Binti alinisema sana kuwa amenizidi maisha ingawa shuleni nilikuwa kinara leo ameuza kila kitu anapitisha daftari ya kuchangiwa, kila siku meseji

    Maisha ni muvi. Mtaa niliokuwa nimepanga classmate ndio amekuwa amejenga nyumba. Siku wahi kujua alipata wapi pesa za maana hivi ila nachojua ni mrembo sana na ana makebo makubwa. Kipindi napalangana kuielea familia yeye alikuwa anaielea bmw yake alafu gari anaipaki lilipokuwa dirisha la...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Skybooks : Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Sahau kuhusu kalamu na daftari

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa urahisi kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama ulitumia hili Daftari shule ya msingi anza kuandika wosia

    GT. Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Polepole zisipuuzwe, yawezakuwa Tundu Lisu ameandikishwa pia kwenye Daftari la Mpiga kura, je itakuwaje?

    Salaam, Ikiwa tuhuma za Polepole Zina ukweli, basi chama kifanye utafiiti wake, maana wananchi wa kawaida ambao hawakujiandikisha, wameanza uchunguzi wao binafsi kumthibitishia tuhuma hizi. Nawashauri CDM nao wafanye utafiti, isijekuwa Lissu mtuhumiwa wa uhaini naye ameandikishwa kutiki...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Uzushi Kifo cha Mkuu wa Kivuli ni Njia ya Kumng’oa Bosi wa Daftari Kuu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tabia ya baadhi ya sauti zisizo na sura kutumia mitandao ya kijamii kama jukwaa la kusambaza uzushi kwa lengo la kuleta taharuki, hofu na kupunguza imani ya wananchi kwa nguzo za dola. Miongoni mwao ni wanaojificha kwa majina ya kificho kama Kidnapped King wa X na...
  9. Kiranja wa Kijiweni

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakazi kuiba

    SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL – Ni Mfumo wa Kisasa wa Mauzo na Manunuzi kwa Biashara za Rejareja na Jumla. MUHTASARI WA MFUMO: Mfumo wa Shared Duka Enterprises Portal ni suluhisho la kidijitali linalorahisisha usimamizi wa biashara yako. Ukiwa na mfumo huu, unaweza kuuza, kununua, kutunza...
  10. Kiranja wa Kijiweni

    JamiiForums Tanzania Unamiliki duka au supermarket? Usihangaike tena na daftari, stock kupotea au wafanyakakazi kuiba

    Mfumo wa SHARED DUKA ENTERPRISES PORTAL ni suluhisho kamili la biashara yako: 1. Mauzo & Manunuzi 2. Hisa & Uhamisho 3. Ripoti & Risiti 4. Wateja & Wasambazaji 5. Watumiaji na Ruhusa 6. Web-based (Popote ulipo) 7. Mfumo umekuwa integrated na SMS, MAILS 8. Mfumo unaweza kuwa integrated na MPESA...
  11. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania Kila nikitaka kujiandikisha daftari la wapiga kura, sauti ya 'ILI IWEJE' inanijia masikioni, nami najeuka speed kali kuendelea na mambo yangu binafsi

    Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kailima aonya watakaovuruga zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM mna matatizo gani kwa nini mnalazimisha watu wawe wanachama wenu kwa kisingizio cha daftari la wapiga kura

    Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa. Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari. Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tume yataka wananchi kutazama daftari la awali,kuhakiki taarifa zao

    Wananchi wa Kata ya Kihesa katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa mkoani Iringa wakikagua majina yao katika daftari la awali la wapiga Kura lililobandikwa katika kiuo cha kujiandikishia wapiga Kura kilichopo ofisi ya Mtendaji Kihesa. Tume Huru ya taifa ya Uchaguzi imeanza awamu ya pili ya...
  15. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania No Reform No Election ni sawa ila je tumeboresha taarifa zetu katika daftari la wapiga kura?

    No Reform, No Election inakwenda vizuri na muda SI mrefu mabadiliko makubwa yanakwenda kutokea katika kupiga kura, utaratibu wa Tanzania Ili uweze kupiga kura ni lazima uwe unejiandikisha katika daftari la kidumu la wapiga kura na pia inatakiwa uwe umehakiki taarifa zako. Ni kweli tunatakata...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania WANANCHI WALIJITOKEZA KWA WINGI SANA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA HALAFU ETI KUNA MTU ANATAKA KUWAZUIA KUPIGA KURA, THUBUTU!!

    kwanza ni wawapi huyo yahaya? na familia yake inaishi wapi? Yaani ameshindwa kuzuia watu wasijiandikishe kwenye daftari la kudumu la taifa la kupiga, hataweza kuzuia vyama vya siasa kuteu wagombeaji wa vyama vyao kushiriki uchaguzi huo muhimu, hataweza kuzuia tume huru ya taifa ya uchaguzi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mratibu wa Uandikishaji Dar: Wakala wa Chama kazi yake ni kutazama sio kunakili majina ya wanaojiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja yenye kichwa cha habari “Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?” na kufafanua jinsi Wakala wa chama alivyokuwa akichukua majina ya wanaojiandikisha, ufafanuzi...
  18. Egnecious

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ofisi ya Mbunge jimbo la Temeke linawakumbusha wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Maboresho la Mpiga kura

    Mnakumbushwa Ndugu Wananchi wenye vigezo kujiandisha isije fika October mnaanza kelele kura zenu zimeibiwa kumbe hamkujiandikisha
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kuna mwanya mpana sana kwa wageni na wasio na sifa za kupiga kura kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.

    Yaani hamna chochote unachoulizwa kuthibitisha uraia wako, afya yako ya akili NK. Hapa kwetu Warundi na Wamalawi wamejitokeza kwa wingi kujiandikisha
  20. Heci

    JamiiForums Tanzania Kwenye vituo vya kujiandikisha kwenye daftari la maboresho la wapiga kura tunaambiwa kadi zetu tuzipeleke kwa mjumbe wa nyumba kumi wa CCM

    Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba. Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT Wazalendo, hakikisheni uchaguzi huu haufanyiki kwani tayari una makandokando mengi.
Back
Top Bottom