The Old Kerosene Store is located at Bathers Beach in Fremantle, Western Australia, adjacent to the ruins of the original Fremantle Long Jetty. It is a single-storey limestone building and forms part of the historic Arthur Head Reserve precinct.
Mwarabu mmoja huko Yudea na Samaria Ana mwaga maji machafu na kinyesi mtoni kwa majivuno na hata kujirekodi akifanya hivyo. "Wapalestina" wanahusika na aina zote za ugaidi. Wanaharibu kila kitu wanachokigusa.
Huu ni Ugaidi wa mazingira!!!
Hii dunia ina mambo sana.
Kuna watu ukimkuta mtu hana kitu leo, wanajiona kama Mungu amewapa cheo cha kuwa majaji wa maisha ya wengine.
Mtu akija hapa na kusema nina changamoto, badala ya kuangalia hoja yake, comment ya kwanza:
"KAKA PAMBANA."
Mwingine:
"TAFUTA KAZI."
Mwingine:
"SI UZA...
“Tukipishana mawazo na makada wa CCM wanatuchoma kwa watekaji tunadakwa tunauliwa!!
Haya unapishana mawazo na mwanaharakati mwenzako anakuchomesha kwa ICE udakwe urudi home uuliwe!”
Hapo kuna tofauti gani sasa?
Hii mambo ya kujifanya tuna hati miliki ya mawazo inatesa sana nchi hii, kupishana...
Imagine humu Kuna wana member walitabiri ya magu na kuanzisha nyuzi kuhusiana na yatakayotokea ,na kweli Sasa imebaki stories...
La zaidi ni hili la recently kuhusiana na kujiuzulu kwa Nchimbi.....Kuna watu humu aisee wanaona mbali sana .
Threads zao au comments zao kuhusiana na kutabiri...
Rais William Ruto anasema serikali yake imekopa kidogo kuliko tawala zilizomtangulia.
Lakini rekodi rasmi za serikali zinaibua swali: Ikiwa tumekopa kidogo, kwa nini deni la Kenya limefika zaidi ya Sh13 trilioni?
Ruto aliingia madarakani Septemba 2022 wakati public debt ikiwa karibu Sh8.76...
Nina list yangu (Top 5) ya Magari kutoka JP, yaliyotengenezwa kuanzia 2005 hadi 2015, yenye utumiaji mzuri wa mafuta na Reliable. Mnaionaje?
1. Toyota Vitz /Yaris 2010 - 2013.
Hapa naongelea 2nd na 3rd generation, especially engine ya 1.3L petrol (1NR FE), rahisi sana kupata 14 km/L hadi 16...
Mtandaoni wana-hubiri fedha ila ukija kwenye maisha ya kawaida mambo ni tofauti sana
👇👇👇
Ukienda uswahilini utashangaa watu wanamaisha magumu na bado wake zao hawawakimbii ukija mtandaoni unahubiriwa utafute fedha kabla hujaingia kwenye mahusiano au ndoa- sasa mbona huku mtaani watu wanakipato...
AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU?
Bujibuji Simba Nyamaume
Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi?
Mjadala huu una pande mbili.
Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna.
Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU?
Bujibuji Simba Nyamaume
Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi?
Mjadala huu una pande mbili.
Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna.
Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
Katiba hii inatoa nafasi kubwa sana za nafasi za utendaji muhimu sana kwa maisha ya wananchi na maendeleo ya nchi kwa kuteua teua tu.
Ukweli ni kwamba hii inawafanya watu wazembe wawekeza sana kwenye kujipendekeza kusifia na kupiga majungu kwa sababu wana uhakika mteuaji ana nafasi kubwa ya...
Kuna nini hapo dasilamu mujini?..Nani kanyakuliwa na Mnyezi Mungu kwenda kuungana na Muumba..Huku nilipo limeibuka shangwe n vigelegele baada ya tangazo la yule msaidizi wake mwenye kichwa mviringo.!
Watu wanasema hii ni kosakosa, ngoma imegonga besela imerudi ground. Lakini haiwazuii kushukuru...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu. 🤔
Watu wawili wanaweza kula chakula kinachofanana, lakini matokeo yakawa tofauti kabisa.
Mmoja anakula wali, nyama, chipsi, soda, vitafunwa na hata kula usiku, lakini miaka inapita bado ni mwembamba na hana kitambi. 😂
Mwingine anajitahidi...
Leo nimeacha chombo changu sehemu fulani, nikatembea kwa miguu kwa muda mrefu. Kwa kweli nilichokutana nacho njiani kimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama wa watembea kwa miguu.
Nilipofika sehemu ya kuvuka barabara, nilihisi wasiwasi mkubwa. Pikipiki zinakuja kwa kasi, magari nayo yanapita...
Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣
Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.