natafuta kazi

 1. Askofug

  Natafuta kazi ya udereva hasa uber na bolt

  Ninaitwa eliah Gwamaka.elimu yangu ni diploma ya It.pia nina leseni yenye madaraja C1, C2, C3, E na D.nina uzoefu wa kufanya bolt kwa zaidi ya mwaka mmoja. Napendelea mkataba hata kama gari sio mpya. Napatikana ukonga Banana Dar es salaam. Namba yangu ya simu ni 0686 574164. Natanguliza...
 2. Doreen27

  Afisa Muuguzi II natafuta kazi ni nipo Dar es Salaam

  Habari za wakati huu wanajamii? Mimi ni muuguzi, jinsia Ke, umri miaka 28, naishi Mbezi beach Dar es Salaam, nina leseni ya uuguzi, nina uzoefu wa kazi hii ya uuguzi wa mwaka mmoja. Naomba connection ya kazi kwenye hospitali, au kwenye mashirika ya Afya ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali...
 3. Isaya mwakyoma8

  Natafuta kazi, elimu yangu ni Form Four

  Naitwa Isaya Joseph Natafuta kazi yoyote ukuweza kujikimu kimaisha. Elimu yangu ni Form Four Kazi nilizowahi kuzifanya awali ni kama ifuatavyo-: Stationary miezi 6 Mashine za kusaga nafaka miaka 2 Afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo mwaka 1 Uwakala wa m-pesa, tigopesa mwaka mmoja...
 4. Denice Dion

  Nipo mwanza natafuta kazi

  Wasalaam ndugu zangu katika jukwaa hili... Mimi ni kijana wa miaka 24 nipo mwanza manispaa ya ilemela ñaomba mwenye nafasi yoyote ya kazi sehemu yoyote na mahali popote nipo tayari kufanya kaz elimu yangu ni kidato cha nne nilibahatika kufika mpk kidato cha tano lkn sikuweza kumaliza kutokana...
 5. J

  Natafuta kazi hata housegirl nchi za nje

  Habari me ni kijana mwenye umri was miaka 24..nina certificate of business administration... Seriously I look for job hata MTU ambae anandugu take nji za nje aniunganishe hata nikawe housekeeper or any legal job nipo tayari...asanteni naamin nitapata msaa
 6. Mbaga Michael

  Natafuta kazi nijikimu kimaisha

  Wadau kwema. Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza mambo mabaya.. Kazi nazoweza kufanya Kazi ya sales Storekeeper Kusaidia fundi. Kazi ya kusimamia mradi Kazi ya usafi Na kazi nyinginezo...
 7. masause

  Natafuta kazi mashambani na viwandani

  Habari wakuu Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 27 nipo dar Kwa miaka 10 sasa nimekuwa nikijishughulisha na Kazi za ukarani (tally clerk),operation manager, c&f agent na mtunza kumbukumbu za maghala katika makampuni mbali mbali Kutokana na mifumo ya Kazi nilizowahi kufanya nimekuwa...
 8. H

  Electrical Engineer Graduate natafuta kazi

  Habari, Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nimemaliza Chuo mwaka 2020 , natafuta sehemu ya kufanya interniship ili niweze kupata uzoefu katika fani yangu. Nina ufaulu mzuri wa masomo yangu ya engineering (Nina upper second class GPA) na nina ufahamu wa juu kuhusu:- 1. PLC programming...
 9. Mzee Mambo

  Natafuta kazi yoyote

  Habari wana JF, Natafuta kazi ya Kufanya yoyote iliyo HALALI ili kujikimu kimaisha. Tafadhali mwenye kazi ama connection aniunganishe Elimu: kidato cha sita Umri: 25yrs Mahali: Dar es salaam Lugha: Kiswahili fasaha na Kiingereza Naweza kutumia computer.
 10. Mzee Mambo

  Natafuta kazi yoyote ya kufanya

  Habari wana JF, Natafuta kazi ya Kufanya yoyote iliyo HALALI ili kujikimu kimaisha. Tafadhali mwenye kazi ama connection aniunganishe Elimu: kidato cha sita Umri: 25yrs Mahali: Dar es salaam Lugha: Kiswahili fasaha na Kiingereza Naweza kutumia computer.
 11. M

  Natafuta kazi ya afisa masoko ama usimamizi wa biashara

  Habari ya leo wakuu, Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu miaka 29 . Nna mke na mtoto 1, Naishi Dar Es Salaam Elimu yangu kidato cha nne Nimejitokeza hapa kuomba kazi ya sales and marketing ama usimamizi wa biashara na masoko. UZOEFU WANGU Mwaka 2013 nilianza kazi ya kusajili laini kampuni ya...
 12. Mzee Mambo

  Natafuta kazi. Nimemaliza kidato cha sita

  Habari Za MAJUKUMU wanaJF, Naombeni msaada kwa mwenye connection ya kazi kwenye makampuni ya MABASI ya mikoani au Mwendokasi (kondakta/Mkata ticket ofisini au Agent). Elimu yangu KIDATO CHA SITA. Nipo Dar es Salaam. Asanteni
 13. B

  Natafuta kazi ya kujishikiza na kujitolea

  Habari wana JF I hope mpoa. Mimi mi muhitimu wa diploma ya account mwaka jana nilijaribu kuomba mkopo nienndelee na bachelor ila nilikosa. Naomba kama mwenye kunisaidia nipate sehemu hata ya kujishikiza hata kujitolea ili mradi nisikae nyumbani huku nikijaribu mwaka huu kuomba tena mkopo vyeti...
 14. I

  Natafuta kazi yoyote halali, nina elimu ya kidato cha nne

  Natafuta kazi yoyote halali. Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
 15. Red Giant

  Natafuta kazi za huyu Gwiji wa fasihi(Mohammed Said Abdulla, 1918-1991).

  Nafikiri ukiacha Shaaban Robert na Kezilahabi huyu, bwana naye yumo kati ya waandishi magwiji. Baadhi ya kazi alizoandika ni. 1.Mzimu wa watu wa kale 2. Kisima cha Giningi. 3. Duniani kuna watu 4.Siri ya sifuri 5.Mke mmoja waume watatu 6. Mwana wa yungu hulewa 7. Kosa la bwana Msa.
 16. M

  Natafuta kazi ya ukutubi (librarian),data entry,record management,customer care, receptionist and personal assistant.

  Habari wana JF. Mimi ni kijana umri miaka 27 ninaishi Ubungo,Dar es salaam Tanzania Nina degree ya library and information studies natafuta kazi ya ukutubi katika shule au vyuoni pia ninauzoefu wa kazi hii. pia ninatafuta kazi ya kutunza kumbukumbu (record management) katika ofisi yeyote au...
 17. 2

  Natafuta kazi halali ya usiku, nipo Dar es Salaam

  Habari Wana Jf Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania. Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care, receptionist & ,casinos, ambayo naweza kufanya kwa muda wa usiku, au nyingine yoyote nje ya nilizopendekeza...
 18. D

  Looking for a job marketing positions or insurance principal officer

  I'm Denis sSamwel Mwalumuli 24 age I'm living in Tabata Barakuda, Dar es salaam I'm looking for a job from two kinds writing above heading, marketing position or either insurance principal officer because I have graduate and very experiences in this two derpatment. I'm ready to work any place...
 19. Ms Beatrice

  Natafuta kazi yoyote, nimesoma Maendeleo ya Jamii

  Habari, Mimi ni Binti Nina miaka 24 Niko arusha. Ninatafuta Kazi. Niko tayari kufanya Kazi yoyote halali eneo la Arusha. Nina elimu ya chuo kikuu, kupitia kozi ya maendeleo ya jamii. Nina uwezo wa kuwasiliana vizuri, kufanya Kazi kwa usimamizi Mdogo au bila usimamizi na kuleta matokeo mazuri...
 20. N

  Natafuta kazi yoyote ndani ya Dar es Salaam

  Habari naitwa John Niko Dar natafuta kazi yoyote. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Kenya, ila kwasasa Niko likizo. Natafuta kazi yoyote. Kazi ya halali. Mawasilano yangu: +254781847643( WhatsApp) +255755938804 +255714540040
Top Bottom