Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria.
Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja ujanja kwa kutegemea kuwahonga wakaguzi wakifika.
Dawa zinazoruhusiwa kuuzwa kwenye hizi dldm...
Naam kwa mtu unayetaka kuishi kiungwana bila makuu,
Yaani mtu usiye na tamaa na anasa.
''Decent kind of life,''
Wazo ni nje ya mji pahala kwenye makazi mapya ya raia.
KImsingi usubuhi unafungua unafanya uswafi unafyagia fyagia then unarusha tumaji kuondoa vumbiy...kama ni tumaji twa upako nayo...
Naomba kwa anaefahamu taratibu za kufungua duka la dawa kwa hivi sasa ziko vipi
Mimi nina cheti cha umiliki wa duka la dawa ila sio mfamasia
Natanguliza shukran 🙏
Habari za leo wakuu,
Naitwa Mustapha Komba, kijana mwenye bidii na nidhamu ya kazi, ninaishi Dar es Salaam. Kwa sasa ninamaliza shahada ya Health Systems Management (BHSM) Chuo Kikuu cha Mzumbe, lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote halali huku nikiendelea na masomo muuzaji duka, cashier...
Huyu bwana ni moja ya vijana ambao walihamasishwa kufukuza wageni nchini afrika kusini,ili mamlaka zote za kibiashara zilizokuwa zikimilikiwa na wageni waziachie na wazawa ndiyo wawe wamiliki wapya,ukanda wa maduka hapa afrika kusini hufahamika kama "spanza shops"
Mzooloo aka chadomo katwaa...
Hata kama biashara yako ni ndogo funga CCTV camera na imarisha ulinzi hakuna kitu kinaumiza kama kuibiwa yan mtu unapambana kwenda mbele wezi wanakuja kukurudisha nyuma steps kadhaa.
Popote mwizi akikamatwa msimuonee huruma mtieni adabu kisawasawa.
I'm out
Salamu kwenu wakuu.
Ammaabaad. Wakuu mm nauza duka la mangi lkn Nina changamoto katika upimaji wa mafuta ya kula.
Kwenye mazingira lilipo duka langu wakazi wa huku wamezoea vipimo vya 300,500, robo nusu na Lita. Sasa robo,nusu na Lita si tatizo lakini changamoto ni vipimo vya TSH 300 na 500...
Iwe Duka La Jumla Au Reja Reja Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Yupo Dar Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
Wakuu samahani et mtaji wa milioni 2 unaweza kutosha kufungua duka la vipodozi? Je, biashara hii ikoje kwa upande wa Dodoma? Naombeni msaada wakuu mwenye uelewa na biashala hii
Pia soma: Ijue biashara ya vipodozi (cosmetics business) Tanzania
Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO.
Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
Mimi ni mtumishi wa Afya, Afisa Tabibu mwajiriwa wa serikali.
Naomba ujumbe huu uwafikie Baraza la Famasia Tanzania.
Je! Kwanini Mimi mtumishi wa Afya ninapotaka kufungua Duka la Dawa Muhimu, naambiwa Nitafute Cheti cha ADDO au Cheti cha Pharmacy ili niweze kufanya usajili.
Ikiwa mimi...
Anonymous
Thread
dawa
dawa muhimu
dukaduka la dawa
kuhusu
kumiliki
muhimu
uhalali
Natafuta mdada au mkaka mwenye duka au biashara inayofanya kazi kwa angalau miezi 6 na biashara hiyo iwe na lesen halali.
Nina nyumba ambayo niko tayari kuitumia kama dhamana kwa ajili ya kuongeza mtaji wa biashara au kufungua biashara ya pamoja ya nafaka.
Pia nina heka tano za kilimo ambapo...
Wakuu leo nimeona niandike uzoefu wangu mdogo kwenye hii biashara ya duka la nguo. Huenda ikamsaidia mtu fulani humu atakayesoma uzi. Kwanza kabisa hii biashara sikuwahi kuota ipo siku nitaifanya kwa sababu nilikuwa siielewi na pia kuiogopa kwa sababu marafiki zangu walikuwa wakianzisha na ndani...
Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti.
Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.