management system

  1. L

    Source Code ya Python Hospital management System

    Wakuu siku kadhaa nilipost kuwa nimeanza kujifunza python. Nashukuru wadau walinipa mwongozo. Kuptia python niliweza kuweza kuelewa rahisi kidogo C++ kuliko awali nilikuwa sielewi kirahisi. Naweza kusema Python imenipa msingi. So nafanya nayo mazoezi ya hapa na pale ila nimeamua nitahamia Dart &...
  2. Njiwa wangu

    School management system

    Kama kichwa cha habari kinajieleza hapo mjuzi wa mifumo hii na anauwezo wa kuunda aje pm tuyajenge
  3. Ngatunga1

    E-pharmacy management system

    E-PHARMACY MANAGEMENT SYSTEM (EPMS). 8 MODULES 1. Dispense 2. Products 3. Stocks 4. Purchase order 5. Users 6. Adjustment 7. Dispensing report 8. Settings Each module has full features. Affordable price. Contact us Phone...
  4. Augustking

    SOFTWARE School Management system with android App and Biometric time attendance for Teachers

    Click Up company limited tumeleta mfumo maalaumu kwa ajili ya kumanage na kutunza kumbukumbu za shule yako. mfumo huu unakuja na biometric device maalumu kwaajili ya kufuatilia attendance ya walimu shuleni. Gharama ya mfumo pamoja na biometric device kwaajili ya attendance ni 700,000 TZS...
  5. kbmk

    School & College Management System service for free

    Elimusoft inakuletea OFA ya kufungia mwaka Tunatoa huduma ya SCHOOL & COLLEGE MANAGEMENT SYSTEM free kwa mwaka 2022 shule na vyuo katika ngazi zote Mfumo una features zaidi ya 40, baadhi yake ni kama Kutoa GPA ya motokeo ya mtihani ya kila mwanafunzi Kutoa DIVISION ya matokeo ya mihani ya...
  6. Raaj

    Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya Health Management System

    Habari ndugu wana Jf, Naomba mwenye ufahamu kuhusu kozi ya health management system (Katibu wa Afya) hasa katika suala la mshahara na fursa nyinginezo zinazohusu kozi hii. Asanteni
  7. Samedi Amba

    Wenye system za shule (school management system) nawaomba

    Kuna mteja nimempata. Anahitaji school management system. Kama ya kwako ina sifa zifuatazo, nakuomba: Inaweza kuwa installed offline ina uwezo wa kuvuta reports sawasawa (ntaomba evidence of this). iko flexible enough to change kama inakidhi mahitaji haya, tujuzane. I need it urgently, so the...
  8. T

    School Management System

    Schoolinsight ni mfumo unaotumika ku "manage" taarifa katika mashule kuanzia ngazi ya nursery hadi Advanced level. Mfumo huu ni "software as a service" ambayo tayari ipo hosted kilichobaki ni shule kufungua account na kuanza kutumia huduma hii. Kwa shule ambayo itafungua account itapata 3...
  9. T

    School Management system

    Schoolinsight ni mfumo unaotumika ku "manage" taarifa katika mashule kuanzia ngazi ya nursery hadi Advanced level. Mfumo huu ni "software as a service" ambayo tayari ipo hosted kilichobaki ni shule kufungua account na kuanza kutumia huduma hii. Kwa shule ambayo itafungua account itapata 3...
  10. T

    School Management Platform (schoolinsight) available Now

    Schoolinsight ni mfumo unaotumika ku "manage" taarifa katika mashule kuanzia ngazi ya nursery hadi Advanced level. Mfumo huu ni "software as a service" ambayo tayari ipo hosted kilichobaki ni shule kufungua account na kuanza kutumia huduma hii. Kwa shule ambayo itafungua account itapata 3...
  11. Samedi Amba

    System ya Afya (Health Management system) inahitajika

    Habari za asubuhi wanaJF, Majuzi nilipost kuwa nilikuwa nahitaji mtaalam wa kutengeneza health database. Nilipata msaada na asanteni kwa walioniandikia inbox. Leo, nina hitaji lingine: Health Management System (HMS) kwa ajili ya mazingira ya hospitali na zahanati Mteja tunayemfanyia kazi ana...
  12. Kibaba MFS

    alpha - Medical Practice Management System

    A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories. So what we are, real? An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations such as medical, financial and administrative tasks It is a web based Application that works with all...
Back
Top Bottom