Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi
Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao
Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman
Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
Serikali ya Tanzania imeanza kuchukua hatua za kidigitali katika mchakato wa ajira kwa kutumia TEHAMA, ili kuondoa usumbufu wa waombaji kubeba vyeti na vitambulisho kila sehemu. Kauli hii ya Mhe. Yohana Msita bungeni inaonyesha mwelekeo wa mageuzi ya kiutawala na utumishi wa umma, ambapo...
Habari Tanzania !
Ikiwapendeza vijana nawakaribisha kwa hayo mawazo.
Linahitajika wazo la biashara ambalo ni jipya. Ikiwa utakuja na wazo la kufanyika maeneo yafuatayo hapa Tanzania kwa kuajiri vijana 10,000 moja kwa moja kwenye hilo wazo lako.
Mikoa ifuatayo; Mwanza, Arusha, Dar es Salaam...
Hamjambo wote!
1. Nashangaa wanaolalamika kuhusu Wananchi kususia wasanii. Mimi mpaka sasa sijaona kama Wananchi wamesusia kazi za wasanii. Bado sijaona. Ni kama wamewapa tuu tishio na sio kwamba wameamua kuwapiga Pin.
2. Tunapoelekea kwa kiwango cha awareness na elimu ndani ya jamii...
Dkt. Samia Suluhu Hassan mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema Serikali itaajiri wahudumu wa afya 5000 ndani ya siku 100 ili kuboresha utoaji wa huduma za afya nchini.
Dkt. Samia amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi za CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29...
Kwa wale " tuliobahatisha" kupata kazi kwenye makampuni binafsi, pamoja na mshahara tunaopata, haijalishi ni mkubwa au mdogo, kama hatufanyi kile tulichokikeshea miaka nenda rudi, yafaa tuwe makini sana maana tunahatarisha career goals zetu!
Kampuni nyingi zinadidimiza ndoto za wengi!
Shule ya Tusiime iliyopo Tabata jijini Dar es Salaam inadaiwa kuajiri walimu kutoka nchini Uganda (zaidi ya 50), kinyume na Sheria ya kuratibu ajira za wageni nchini ya 2015, lengo likitajwa kuwaondoa walimu wa Tanzania wanaofundisha shule hiyo.
Mmoja wa watoa taarifa katika shuile hiyo...
Anonymous
Thread
kuajiri
kuondolewa
shule
uganda
walimu
walimu wa uganda
watanzania
Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi
Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira kwa vijana wenye elimu ya juu, hasa wale waliomaliza degree katika vyuo vikuu. Wakati huo huo, nafasi za watendaji wa vijiji na mitaa mara nyingi hupewa wahitimu wa vyeti badala ya wahitimu wa shahada. Hii ni hali inayoshusha thamani...
Habari wana JAMIIFORUMS
Kumekua na ucheleweshwaji wa kuajiri walimu tangu kutoka kwa kibali Cha ajira za walimu 2024 Hadi Leo 2025 mchakato umekua mrefu sana, pia kipindi usaili ukiwa unaendelea PSRS wameita baadhi ya walimu wa masomo ya physics, mathematics and English lakini kumekua na...
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
SERIKALI KUTOA MUONGOZO WA KUAJIRI WANAOJITOLEA
Serikali imeeleza kuwa iko hatua za mwisho kukamilisha mwongozo utakaoangazia jinsi ya kuwaingiza katika mfumo watumishi wanaojitolea nchini.
Hayo yameelezwa, Jumatano, Januari 29, 2025, na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa...
Ajira kwa Watoto limekuwa tatizo sugu sana hapa nchini, tukiachana na wadada wa kazi ambao asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wameacha shule au ndiyo wametoka kuhitimu elimu ya Msingi, kuna hawa Wafanyabiashara wanaomiliki maduka kwenye masoko mbalimbali hapa nchini wamekuwa na utaratibu wa...
wafanyakazi wa Tanzania wanamishara kidogo mno kama wakiajiriw lakini ajira ni changamoto.
mishara ya kenya uganda na rwanda ni mikubwa ukilingnisha na Tanzania
ukicheki statistics za ajira zilizotolewa tangu 2016 ni kichekesho
nchi itaendelea vp wakati nguvu/ vijana kazi ni pure jobless
Kipindi cha Mzee Jakaya Kikwete haijawahi kutokea aliywsomea Ualimua au Udaktari akakosa ajira. Tulikuwa tunaajiriwa tena bila kuomba unashtukia tu umepangwa mkoa husika.
Sasa hii mbinu ya jk ilikuwaje ikamshinda jpm na kwa nini hakupa lecture kw mwamba huyu ambaye ki ukweli ndo rais mwenye...
Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa na ujuzi na badale yake huajiri watu wasio kuwa na taaluma ya uandishi na utangazaji na kuajiri watu...
Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn kama Mhe. Rais ametoa kibali?
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa.
Mpango nilionao ni kuanzisha biashara ya spears za pikipiki na tri cycles (guta au Toyo). Changamoto niliyonayo ni...
1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa
2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa mbali sana na biashara, ni watu wanaoweza kuvuruga biashara na hata ndoa yako.
3. Rafiki yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.