wahudumu wa afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    WAHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (C H Ws) KUTOKA KAGERA BUKOBA MANISPAA HAWAJALIPWA HAKI YAO MPAKA SASA.

    CHWs BUKOBA !! Kwanza nashukuru management NZIMA ya jamiiforums Kwa KAZI kubwa mnayoifanya. Kutoka KAGERA, BUKOBA MANISPAA kuhusu SUALA letu la wahudumu wa afya ngazi ya jamii C H Ws. Kuhusu malalamiko ya POSHO zetu. Baadae ya kurusha taarifa yao ya madai 18/3/2024 . Waliweza kuona ufuatiliaji...
  2. Mkemia kay

    Kazi za wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Habari ndugu zangu, Ninaomba kuuliza kuhusu hizi Ajira mpya za wahudumu wa afya ngazi ya jamii zilizotangazwa na Tamisemi kwa mtu mwenye uelewa 1. Kiwango cha mshahara ni bei gani? 2. Kama mtu Una degree nyingine tu unaweza kujificha ukatulia tu cheti chako cha form four kuomba kama...
  3. C

    DOKEZO Malalamiko ya posho ya CHWs ya uhamasishaji wa kujikinga na ugonjwa wa mlipuko wa Marburg Bukoba

    BUKOBA MANISPAA KAGERA ,TANZANIA Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. : Kwanza Hongera na kazi katika harakati za kulipambania Taifa hasa kwenye secta ya AFYA hapa nchini. Sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka MKOA KAGERA wilaya ya BUKOBA MANISPAA tulifanya...
  4. Wizara ya Afya Tanzania

    Serikali imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo Wahudumu wa Afya

    Na. WAF - Dar Es - Salaam Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Tsh: bilioni 899.4 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kuajiri na kuwajengea uwezo jumla ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wapatao 137,294 katika mikoa yote 26 ya...
  5. D

    Waraka mfupi wa maombi, toka kwa wahudumu wa Afya ngazi ya jami kwenda kwa Waziri wa Afya

    Copy and Pasted WARAKA WA MAOMBI YA KUPEWA FURSA YA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA KOZI NYINGINE ZA AFYA KWA KUTUMIA CHETI CHA UHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (COMMUNITY HEALTH WORKER). Kwa Waziri wa afya Katibu mkuu wizara ya Afya, Mkurugenzi wa idara ya mafunzo wizara ya afya, Kwanza kabisa...
  6. F

    SoC03 Wahudumu wa afya, msinyanyase wagonjwa na wajawazito. Wanaosababisha vifo vya makusudi washitakiwe kwa mujibu wa sheria

    UTANGULIZI Tunamshukuru Mungu kwa neema alotupatia kua hai hadi sasa. Ni jambo lisilopingika kwamba, kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwa wahudumu wa Afya kutokujali wagonjwa na mara kadhaa kutojali akina mama wajawazito. Changamoto hii hupelekea baadhi ya wajawazito ama wagonjwa kupoteza...
  7. nashukuru mzima

    Wahudumu wa afya ifikapo 2030 watapungua kwa asilimia kubwa

    Kuna tafiti imefanywa na shirika la afya duniani(WHO) linaonyesha kuna uwezekano itakapofikia 2030 watalaamu wa afya dunia watapungua Sana. Kiukweli hata hapa Tanzania ninakubaliana ya kwamba watalaamu wa afya watapungua tu nje na uzalishaji kuonekana mkubwa Ila mahitaji ni makubwa pia maana...
  8. Lady Whistledown

    Afrika Kusini: Mahakama yaamuru wahudumu wa Afya kusitisha mgomo

    Mahakama ya Rufaa ya Kazi Nchini humo imeamuru Wahudumu wa afya kurejea kazini na kusitisha mgomo ulioathiri utoaji na upatikanaji wa huduma katika baadhi ya hospitali kubwa. Tangu wiki iliyopita, Wanachama wa Chama cha Kitaifa cha Wafanyakazi wa #Elimu, #Afya na Washirika (NEHAWU) wamegoma...
  9. Roving Journalist

    Nchi 5 za Afrika zaweka mkakati wa kutoa mafunzo na kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii

    Mawaziri wa Afya wa nchi 5 ikiwemo Tanzania, Rwanda, Sierra Leon, Ethiopia na Jamhuri ya Afrika ya Kati wamekutana na kuweka mkakati wa kutoa mafunzo rasmi angalau ya mwaka mmoja, hatimaye kuajiri Wahudumu wa afya ngazi ya jamii kwa ajili ya kuimarisha Huduma za Afya ya Msingi. Haya...
  10. R

    Makusudi wanayofanya wahudumu wa afya kutoa dawa kwa watu wanaotumia bima za afya

    Kumekuwa na hii tabia ambayo wahudumu wa afya wanaifanya sana kwa wagonjwa wanaotumia bima za afya. Unakuta mtu anaumwa ugonjwa fulani anaandikiwa dawa ambayo kwa makusudi kabisa wanajua dawa husika haipo kwenye orodha ya dawa kwenye fungu la bima alilopo mgonjwa husika na ni ngumu dawa hiyo...
  11. Gama

    Wahudumu wa afya wa ziada waitwa kumhudumia Putin baada ya afya yake kudorora

    Tarehe 22 julai rais putin alilalamika kupata kichefuchefu kisicho cha kawaida hali iliyosababisha matabibu zaidi kuitwa ili kumhudumia. Taarifa hizo zilitolewa katika mtandao maarufu wa telegram katika chaneel ya SVR inayomilikuwa na Luteni Generali wa zamani katika vikosi vya ujasusi vya...
  12. Shujaa Mwendazake

    #COVID19 Wahudumu wa Afya Zanzibar waanza kupewa Chanjo ya Corona

    Serikali ya Zanzibar imesema dozi za Sinocav kutoka nchini China zimeanza kutolewa kwa awamu ya kwanza huku awamu ya pili ikitarajiwa kufanyika baada ya wiki mbili kutoka sasa. Huku Bara ni vipi?. Mbona kama vile mchakato ulianzia huku, hata wazanzibar wakasema wanasubir Rais wa Jamhuri atoe...
  13. Analogia Malenga

    #COVID19 Zanzibar: Serikali yaanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar Ahmed Mazrui amesema wameanza kutoa chanjo ya COVID-19 kwa wahudumu wa Afya wa hospitali za serikali, Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume na Bandari ya Malindi. Wamechukua hatua hiyo kwa kuwa nchi kadhaa za Afrika zimeonesha...
  14. hata mimi

    Kuna wahudumu wa afya baadhi ya sehemu za kutolea huduma za afya wanakwepa majukumu yao

    Habari, Nimezoea kuona wahudumu wakichukiwa sana wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao ya kila siku katika zahanati vituo vya afya na hospitali mbalimbali hapa nchini Nitatoa mifano hapa A. Wakati wa kuona wagonjwa muda ukiisha mnafukuzwa na kwa wale vichwa ngumu ndo wanafukuzwa kama paka mwizi...
Back
Top Bottom