kutafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania KIKAO CHA MARIDHIANO CHAFANYIKA MISENYI KUTAFUTA SULUHU YA MGOGORO WA ARDHI

    MISENYI Kikao cha maridhiano cha kujadili na kutafuta suluhu ya changamoto ya ardhi inayowahusisha wananchi, wafugaji na Jeshi kimefanyika leo Sept 17, 2026 katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Misenyi, Mhe. Kanali Mstaafu Hamis Maiga. Kikao hicho kimejikita katika changamoto inayohusu eneo...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Kuwapuuza Wenye Kutafuta Trend

    Ifike mahali tuwapuuze hawa watu, kuna namna hii familia inatafuta trend na huruma. Ukute mdogo mtu kalipa watu ili waendelee kujadiliwa, si bado ana posho za ubunge
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mshirikishe Mungu katika kutafuta ajira

    Miaka 15 iliyopita mara baada ya kumaliza chuo jijini Dar es Saalama, kiu yangu ilikuwa ni kufanya kazi mjini kama ilivyo ndoto ya vijana wengi. Nakumbuka wakati namaliza chuo nilimwomba Mungu sana kupata kazi mara baada ya kumaliza chuo, nakumbuka siku moja tukiwa ibadani chuoni aliyekuwa...
  4. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hajui kuwa hakuna kiapo kisicholindwa na Sheria/kanuni sijajua kwanini chadema wanamtumia huyu madam

    Maria Sarungi ameandika post ambazo zimenifanya nimjue kuwa hana akili sawasawa, hajui mambo mengi sana, wajinga tu ndo wanaweza kuamini post zake. Kwasababu chadema Ina ujinga ujinga na upumbavu mwingi ndo maana wanamtumia sana Maria Sarungi Anyway ngoja nitoe elimu kidogo. Viapo vyote...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatumia UNCCD COP17 kutafuta teknolojia na uwekezaji wa kurejesha ardhi

    Tanzania imesema ushiriki wake katika Mkutano wa 17 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP17) unalenga kuimarisha juhudi za kurejesha ardhi iliyoharibika, kuhifadhi malisho na kuongeza ustahimilivu wa jamii dhidi ya ukame...
  6. Nestory Semeni

    JamiiForums Tanzania Katika Harakati Ya Kutafuta Ushauri

    Jana nilikaa na kaka mmoja hv na kuongea kuhusu maisha, Na katika hiki na kile nikamwambia kuhusu changamoto fulani hiv ndogo, Lakini badala ya kupata ushauri ni kama nilikuwa nimefungua koki kwake, Naye akaanza kutoa lawama na kwa nini flan na flan wapo vile, Mh! Mwisho nikajiona nimeomba...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wabunge wa Uganda Waja Kenya Kutafuta Majibu ya Changamoto za Elimu

    Wakati mataifa mengi ya Afrika Mashariki yakihangaika kuboresha mifumo yao ya elimu, wabunge kutoka Uganda wamegeukia Kenya kutafuta mafunzo kuhusu mageuzi yanayoweza kuboresha sekta hiyo nchini mwao. Ujumbe wa Kamati ya Elimu na Michezo ya Bunge la Uganda ulifanya ziara katika Bunge la Kenya...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Siasa za kutafuta kiki na public sympathy zimedumaza fikra hasa za vijana katika kujenga na kutetea hoja zinazohusu mustakabali wao.

    Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa hoja, bali sasa wengi wao wanasubiri, na in fact wamemezwa na siasa za matukio au vihoja vya kutafuta...
  9. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Usiombe uende kutafuta usafiri stendi wanayogombea abiria, wanaweza kukufanya ukajutia safari

    Nimefika hapa stendi makondakta wamenivaa kila mmoja anataka nipande gari lake, nikienda huku huyu anazuia njia iki nielekee kwake nikigeuia huyu ananivuta, nimechukizwa na sana watu hawa wamefanya safari yangu kuwa ngumu. Mbaya zaidi hadi bajaji naona wanagombea watu kifupi ni maumivu tu kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  12. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume za Rais Samia kuhusu 29/10 ni feki na hazisaidii chochote kwa sababu zinapewa kazi ya kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji yaliyofanyika

    Wanabodi Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
  13. Pakome

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Katoro ana akili ya kutafuta Pesa lakini hana akili ya maisha

    Tajiri wa Katoro amejaliwa akili ya kutafuta pesa lakini amekosa akili ya maisha https://www.instagram.com/reel/Dbk70AViBE9/?igsh=MWN4cjllM2VtaWt3Yw==
  14. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume...Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, anaenda vitani

    Kamwe usije ukaiamini baadae ya kuonana salama ya mwanaume... Mwanaume akiaga anaenda kutafuta, usiitafsiri kama anaenda kibaruani tu, uhalisia anaenda vitani either irudi pesa au maiti kwenye jeneza... Ukimuona Baba yako anatoka asubuhi na jioni anarudi salama , muombee Dua ya kazini mengi...
  15. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu ya Civilian-Coin kutafuta MKE au girlfriend ni hii

    https://youtu.be/pYos49unMLM?si=GFK-r4XxqDHMLptU
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Katika kutafuta Uhalali, FARAO kahongwa 1.8B TZS kufanya Ziara, ili kuhalalisha Umalikia

    Inasemekana , Kuna Orodha imeshaandaliwa ya Wafalme mbalimbali wa Bara la Giza walokwisha kupokea Michuzi ya TZ shillings ambao watafanya Ziara hapo Malawi , yote kwa Yote, Kumpa Uhalali wa Utawala ,Malikia aliyeua ili kua Malikia.
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania USA kuna maeneo sio ya kutafuta maisha ni kutafutwa maisha yako

    Kuna content creator yupo Facebook, Instagram na Youtube Kazi yake kubwa kuuliza wapita njia makazi yao na kodi wanazo lipa. Jiji la New York mtu analipa usd 2500 alafu anaishi sehemu ya ovyo. Nikawaza hawa waliopo Ulaya mfano USA hapo new york wanaweza kuwa Dar ya Morogoro Malinyi ndani...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NaPA unagoma kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB)

    National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao walizoweka hazipatikani, kuna moja inapatikana mara moja moja na ikipatikana haipokelewi.
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wanawake Wembamba wanaenda gym kutafuta wanaume!

    Imenichukua miaka 10 kujua wanawake wanaenda gym kutafuta wanaume. Yaani gym ni danguro la wazi. Na baadhi ya wanaume(Wachache) wanaenda gym kutafuta wanawake. Mimi siku zote najua gym ni sehemu ya mazoezi. Ama kweli tembea uone. Siwezi ruhusu Mke wangu aende gym.. Labda twende wote.. Ni...
  20. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

Back
Top Bottom