takukuru

 1. beth

  Katibu Baraza la Kata jela miaka mitatu kwa rushwa

  Mahakama ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu imemhukumu Katibu wa Baraza la Kata ya Binza wilayani humo, Daud Willison Elias kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh 500,000 baada ya kupatikana na hatia ya kuomba rushwa ya Sh 50,000. Hukumu hiyo ilitolewa Jana na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...
 2. Kibosho1

  Mnaomtetea Ole Sabaya mnapaswa kuchunguzwa na TAKUKURU

  Huyu jamaa nani alikuwa anamlinda? Kwanini kila mtu anamlalamikia? Anastahili adhabu gani huyu jambazi? Yeye na kiongozi wake aliempa dhamana pamoja na Magaidi wote wanastahili kulipwa walichopanda hapa duniani
 3. MAHANJU

  Mhe Rais Samia Suluhu, DC-Wilaya ya Ikungi-Singida achunguzwe na TAKUKURU. Madaftari ya million 10?

  Ujumbe huu ukufikie wewe Rais wangu mpendwa pamoja na DG mchapakazi wa PCCB CP Salum Hamdun. Nibkuhusu DC Wilaya ya Ikungi Ndg Edward Mpogolo kugawa madaftari yenye thamani ya million 10. Inawezekanaje wakati huu wa Likizo DC anagawa madaftari tunsyoambiwa yana thamani ya milion 10 kwa shule...
 4. Ngongo

  Hongera CP Hamduni Salum kwa kumpigia simu Elioth Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi

  Napenda kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni kwa kumpigia simu mzee Lyimo na kuagiza maafisa wa TAKUKURU mkoani Kilimanjaro wafungue jalada la uchunguzi. Mzee Lyimo ni mfanyabiashara ambaye aliporwa TZS 25M na aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai...
 5. TheDreamer Thebeliever

  Ndoto yangu ya kufanya kazi Takukuru au Usalama naona imekufa rasmi, nasikia sauti ya kuwa mchungaji ikiniita

  Habari wadau! Wakati nasoma niliwaza sana kuwa mtu wa system au Takukuru coz kipindi hicho nafasi zilikuwa zinatolewa wazi za kuwa Takukuru. Nakumbuka jamaa yangu mmoja nilimpigania akaingia polisi, mwengine akaingia magereza ila mimi niliwaambia nyie nendeni mimi nangoja za Takukuru au...
 6. Etwege

  Salumu Hamduni: TAKUKURU hatuna nia wala sababu ya kumkamata Makonda

  Mkurugenzi wa Takukuru bwana Salumu Hamduni amewataka watanzania kupuuza uvumi wa kwamba wamemkamata na kumhoji aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda. Salumu Hamduni amesema hawana nia wala sababu ya kumkamata Paul Makonda kwani ni kijana safi na mchapakazi hodari na mzalendo wa...
 7. Analogia Malenga

  TAKUKURU wakanusha kumshikilia Makonda

  TAKUKURU wamekanusha habari zilizokuwa zimesambaa mtandaoni kuwa wanamshikilia aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kwa mahojiano. Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Rashid Hamdun amewataka watu kupuuza uvumi huo. Taarifa zimekuwa zikimhusisha Makonda na tuhuma zinazomkabili aliyekuwa...
 8. Krav Maga

  Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

  Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
 9. T

  CP Salum Hamduni usibadilike, komesha uonevu na dhuluma

  Habari za muda huu usomapo uzi huu! Uko msemo wa kiafrika (Africa ya kati) kuwa "katika janga kuna Kuna mwokozi" na katika ubaya kuna mpambanaji. CP Hamduni usibadilike. Linda nafsi yako, mkumbuke Mwenyezi Mungu wako, tenda haki. Komesha uonevu, dhuluma. Sio wote watapewa haki na cheo Kama...
 10. Erythrocyte

  Manji aachiwa na TAKUKURU kwa dhamana

  Hii ndio taarifa mpya kutoka kwenye magazeti ya Tanzania , bado haijafahamika kama ameachiwa moja kwa moja au analiwa timing , bali ifahamike kwamba ni wachache wanaogusa ofisi ya TAKUKURU Wakatoka salama , kuna mmoja tayari yuko Kisongo
 11. Elli Mshana

  Maisha yanakwenda Speed sana, Leo eti CCM hawaiamini TAKUKURU wala Mahakama

  Namalizia Wine yangu nirudi nikalale! Nikakukumbuka hili, nikaona wine yangu isiishe bure. Eti MATAGA leo ndio wanailalamikia PCCB, POLICE na Mahakama kuwa "hawamtendei haki" Sabaya! Nikacheka sana sana, hakika kuna nyakati za kulia na kuna nyakati za kuomboleza. Yaani hawa Walioitwa...
 12. Madumbikaya

  TAKUKURU: Tuhuma dhidi ya Ole Sabaya zinaibuka mpya kila siku kadri uchunguzi unavyoendelea

  Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Takukuru kila siku tuhuma za Ole Sabaya zinazidi kuongezeka na ndio maana bado anashikiliwa na Takukuru. Sabaya na wenzake saba ambao alikuwa akishirikiana nao wanashikiliwa na Takukuru, Tuhuma zao nyingi ni za jinai. Kila siku Uchunguzi unavyoendelea ndio mambo...
 13. mwengeso

  Uhuru, haki na demokrasia katika Awamu ya Sita

  Awamu ya Tano ililaumiwa sana kuhusu kuminya Uhuru, Haki na Demokrasia. Katika kurejesha imani kuhusu "Haki", Rais wa Awamu ya Sita, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akikemea watendaji wa Taasisi za kusimamia haki ili kuleta ufanisi. Matokeo yake kumekuwa na mabadiliko ya viongozi kwenye Taasisi...
 14. Nyendo

  Geita, Chato: Mkandarasi arudia upya barabara aliyojenga chini ya Kiwango

  Taasisi ya Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita imemrejesha kujenga upya barabara ya Makurugusi kwenda Musasa wilayani Chato yenye urefu wa Kilometa moja na nusu kwa gharama zake baada ya mkandarasi huyo wa kampuni ya M/S Runazi General Supplies Company LTD kudaiwa kujenga barabara hiyo...
 15. Idugunde

  TAKUKURU tupeni mrejesho wa kesi zote mlizokuwa mnashughulikia

  Kwanza kabisa mtambue kuwa mnatumia kodi za Watanzania kufanya shughuli zenu. Kwa hiyo kufanya maigizo yasiyo na kichwa wala miguu sio jambo jema. Sakata la Mbowe kujilipa bil 8 liliwekwa wazi na wanachama waliokuwa wanakatwa hizo pesa na mpaka leo mliishia maigizo ya kuhoji wanachama bila...
 16. M

  Yusuf Manji mikononi mwa TAKUKURU baada ya kurejea nchini

  Mfanyabiashara wa Tanzania Yusuf Manji anashikiliwa na mamlaka ya kuzuia na kupambana na rushwa nchi Tanzania Takukuru akikabiliwa na tuhuma tatu, baada ya kurejea nchini Tanzania kutoka nje ya nchi . Kwa mujibu wa Kamanda wa Takukuru kamishna wa Polisi Said Hamduni, Manji anashikiliwa toka...
 17. J

  Kwa haya yanayomkuta Ole Sabaya, ni dhahiri akimalizana salama na TAKUKURU atachukua kadi na kujiunga CHADEMA!

  Ni kawaida viongozi wa CCM wanapokutana na mauzauza ndani ya chama pendwa CCM basi hujiweka kando kwa kuhamia Chadema. Ilikuwa hivyo kwa Lowassa, Sumaye, Mwita Waitara, Dr Mollel nk nk. Na hao wote walipokelewa kwa shangwe Chadema. Haitashangaza iwapo Ole sabaya atafuata utaratibu huo na ni...
 18. Erythrocyte

  Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

  Taarifa kutoka Takukuru zinaonyesha kwamba mpaka muda huu Jumla ya Wanawake 40 wakiwemo wanafunzi wa vyuo na Sekondari wamejitokeza kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na kufanyiwa ukatili mwingine wa Kingono na Mtukufu Ole Sabaya (namba inaweza kuongezeka). Inadaiwa kwamba Sabaya akishalewa...
 19. B

  Kwamba makosa ya Sabaya hayapo Polisi yapo TAKUKURU? Wadanganyika

  Nimeangalia kwa upana makosa au tuhuma zilizoibuliwa na wananchi dhidi ya Sabaya, nyingi ya tuhuma zinaangukia Polisi isipokuwa tuhuma za Mali na fedha ndo zinaangukia TAKUKURU. Kinachonishangaza nikuona TAKUKURU wamemshikilia huku Polisi ambao walipaswa kuanzisha uchunguzi kuhusu matumizi...
Top Bottom