mbio

mBio is a bimonthly peer-reviewed open access scientific journal published by the American Society for Microbiology in association with the American Academy of Microbiology. It covers all aspects of the microbiological sciences, including virology, bacteriology, parasitology, mycology, and allied fields. The journal was established in 2010 with Arturo Casadevall as founding editor-in-chief.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mbio za Urais 2030 zitaanza lini, au tayari?

    Mbio ndefu zinaanza kidogokidogo ili kuhifadhi nguvu za kumalizia https://youtu.be/_grDI6frFtI?si=lxjChaUFa8fldjfm
  2. H

    JamiiForums Tanzania KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA ATOA WITO KWA WANANCHI KUITUNZA MIRADI YA MAENDELEO

    KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA ATOA WITO KWA WANANCHI KUITUNZA MIRADI YA MAENDELEO Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Ndg. Wazo Michael Mwang'onda, ametoa wito kwa wananchi wa Iramba kuitunza miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali. Wito huo umetolewa tarehe 24...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumruhusu mke au mpenzi wako aende mbio za Marathon peke yake?

    Mke wako au mpenzi wako akikuaga anaenda kukimbia mbio za Marathon utamkubalia aende peke yake au utataka muende wote kukimbia pamoja?
  4. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Pilot: MBIO ZA MILION 2

    Wakuu naendelea na ile challenge yangu ya kuikimbiza milion2 kwa mwezi. Leo ilikua ni kuchagua idea na kuanza kuichakata. Nikaanza na mali hii hapa: Picha : hapa kwangu kuna maeneo ya space haya. Nimeona hapa nianze na ufugaji kuku wa broiler, MAANDALIZI: Vifaranga 500 Mwezi ukiisha naviuza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mjinga hujisifu ana mbio katikati ya viwete

    Katika jamii yetu kuna tabia ya watu kujiona wakubwa kwa sababu wanashinda wale walio dhaifu kuliko wao. Msemo huu unatukumbusha kuwa ushindi wenye maana hupatikana unaposhindana na watu wenye uwezo sawa na wako, siyo unapomponda mtu aliyeshindwa tayari. Katika maisha ya kila siku tunaona...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mayai wa mara kwa umara unatanua moyo au kuufanya uende mbio?

    Kuna hii stori ambayo nimekuwa nikiisikia sana mtaani tangu nikiwa mdogo, eti "Ukipenda sana kula mayai, moyo wako utatanuka." Zamani tulikuwa tunaogopeshwa sana na hii kauli ya "moyo kutanuka," na wengi wetu tukajikuta tunaogopa kula mayai kwa kuhofia afya zetu. Wengine wanasema shida ni kile...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Mbio za ubunge jimbo la Isimani

    KUELEKEA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA ISMANI TAR 11/5/2026 Umoja wa Vijana chama cha Mapinduzi wilaya ya Iringa Vijijini (UVCCM) utakutana kwa ajili ya Jogging na vijana ndani ya tarafa ya Pawaga, Kata ya Itunundu jumamosi tarehe 9/5/2026. Mgeni Rasmi Ndugu Anord Mvamba Katibu Siasa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dunia haiheshimu walioanza mbio bali waliomaliza na matope ndio watakaoheshimika

    Dunia haiheshimu walioanza mbio kisha kuishia njiani bali inawaheshimu waliomaliza wakiwa na matope magotini. Kujikwaa sio laana bali nembo ya mashujaa kwamba ulikuwa uwanjani, hukubaki benchi Kwa hiyo ukianguka leo, tabasamu kisha jua Umepewa sababu nyingine ya kukimbia kwa hasira zaidi...
  9. SamuraiJack

    JamiiForums Tanzania HOJA Mwenge wa Uhuru: Fahari ya Taifa au Gharama kwa Taifa?

    Mwenge wa Uhuru uliwekwa juu ya Mlima Kilimanjaro tarehe 9 Desemba 1961, siku ya uhuru wa Tanganyika, ukiashiria uhuru, utaifa, amani na matumaini ya taifa jipya. Tangu hapo, mwenge huo umekuwa ukizunguka nchi nzima kila mwaka kwa ajili ya kuhamasisha maendeleo, kuimarisha umoja wa kitaifa...
  10. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania TANZANIA NBC Premier League : Mbio za Top Scorer

    Mpaka sasa hivi msimamo wa first ten huko hivi Yanga ina wawakilishi wanne; JKT ina wawili, Azam, Simba, Dodoma jiji na Namungo wana mmoja mmoja kila mmoja.
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nilipoona Mwigulu Nchemba ameanza kuongea kisukuma nikajua ni zile zile janja za Kamala Harris katika kutafuta urais

    Mwigulu alisema akipendwa na wanasingida imetosha na kwa muda mrefu amejitambulisha kama Mnyiramba. Sina tatizo na kuongea kisukuma ila yasije kuwa ya Kamala Harris kabla ya kugombea urais alijitambulisha mhindi kwenye mbio za urais ghafla akaanza kujitambulisha kama mweusi. Sitashaangaa huko...
  12. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine sio wenye mbio ndio washindao katika michezo ya mashindano

    Mhu 9:11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo"", wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninahisi kama mbio za urais 2030 zimeanza mapema sana

    Wakuu naona mbio za kuutaka urais zinashika kasi... makada wa chama pendwa ambao pia ni viongozi maarufu serikalini wako kasi sana kuji-brand. Binafsi ninaona siojambo baya ila mara nyingi watu kama hawa hupatwa na AJALI ZA KISIASA au chama pendwa kubadili gia angani kwenye kuteua mgombea...
  14. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Msisahau hii ni marathon sio mbio za mbuzi

    Naona nderemo na vifijo upande wa mboga mboga wameanza kuongoza mbio tayari wamejiona washindi pasipo kujua hapa msingi nikumaliza mbio sio kuongoza mbio, wamesahau hata mbio zilizopita tuliongoza mbio sisi, ndugu zangu baada ya kuanguka isitufanye tusiendelee na mbio lazima tumalize mbio .
  15. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu ni mbio za sakafuni zinazoelekea ukingoni

    Yohana 11: 49 Mmoja wao aliyeitwa Kayafa, aliyekuwa kuhani mkuu mwaka huo, akasema, “Ninyi hamjui kitu chochote! 50 Hamjui kwamba ni afadhali mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa lote liangamie?” Maneno hayo ya Kayafa ndio SOP ya mataifa mengi duniani, mifumo ikiona mambo yanazidi kuwa...
  16. Stability

    JamiiForums Tanzania Huyu mwamba ameshinda mbio za kimataifa, we ngoja arudi nyumbani sasa uone mademu wa mitandoni na bongo movie watakavyomganda kupata kiki

    Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga. Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
  17. Ndolezi Petro

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mbio za Ubunge Kigoma Kusini 2025

    Safari ya Ubunge Jimbo la Kigoma Kusini 2025. Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wananchi wa Kigoma Kusini kupitia chama chetu cha ACT-Wazalendo kwa safari tuliyoitembea pamoja tangu mwaka 2020 baada ya uchaguzi Mkuu. Tumekuwa bega kwa bega katika kujenga chama...
  18. chuchu2020

    JamiiForums Tanzania MBIO ZA KUINADI ILANI YA CCM BUKOMBE KUANZA SEPTEMBA MBILI

  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Sibusiso Kubheka Aweka Historia Mpya ya Mbio za Ultra Running

    Katika historia ya michezo ya riadha duniani, tarehe hii itaendelea kukumbukwa kwa muda mrefu. Mwanariadha kutoka Afrika Kusini, Sibusiso Kubheka, ameweka rekodi ya aina yake baada ya kuvunja rekodi ya muda wa saa 6 katika mbio za kilomita 100, akimaliza kwa muda wa 5:59:20 kupitia mradi wa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Mange Kimambi afurahishwa hadharani na uamuzi wa Samia Kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge Tanga

    Mange Kimambi aelezea jinsi alive furahishwa na uamuzi wa Samia kumuengua Ummy Mwalimu mbio za Ubunge jijini Tanga. My take : Msishangae Mange akabadilisha gia angani akaikacha " Timu" Yake ya sasa hivi, akahamia Timu Samia.
Back
Top Bottom