Pamoja na kuajiri watendaji kibao na mbio za mwenge CCM wameamua kumtumia Makomda kukusanya kero za wanannchi

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Makonda ndio amegeuka mkusanya kero za wananchi kuliko watendaji kama wakuu za mikoa, madc na watendaji wa kata.

Makonda amegeuka kuwa mtendaji?

Anazunguka nchi nzima msafara mrefu.

Anatumia kodi za wanannchi.

Hao Maded, Madc na MarC wanakazi gani?

Mbio za mwenge za CcM zina kazi gani?
 
Utajifunza lini kutofautisha serekali na chama? Nyie CHADOMO mmezuiliwa kumtuma Myika na wenzake?
 
Na kuna wajinga wanaamini anafanya kazi nzuri kana kwamba ni jukumu lake kama mwenezi.. Inaskkitisha na hapo ndipo niaminipo Ccm wanatumia sana uelewa Mdogo wa RAIA wengi kama mtaji wao
 
Makonda ndio amegeuka mkusanya kero za wananchi kuliko watendaji kama wakuu za mikoa, madc na watendaji wa kata.

Makonda amegeuka kuwa mtendaji?

Anazunguka nchi nzima msafara mrefu.

Anatumia kodi za wanannchi.

Hao Maded, Madc na MarC wanakazi gani?

Mbio za mwenge za CcM zina kazi gani?
Tuna serikali ya hovyo sn, nchi amesusiwa Makonda
 
Back
Top Bottom