wahudumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Afya wapewa Baiskeli 279 ziwasaidie kuboresha huduma

    Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepokea baiskeli 279 kutoka kwa mdau wa maendeleo wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya ngazi ya jamii. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi baiskeli hizo Katibu Tawala wa Wilaya ya Ileje...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Afya wapewa baiskeli 279 Ileje

    Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepokea baiskeli 279 kutoka kwa mdau wa maendeleo wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya ngazi ya jamii. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi baiskeli hizo Katibu Tawala wa Wilaya ya Ileje...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Apedomia-Unyani wa "wahudumu" wa serikali kuwaua Watanganyika wenzao kwa ajili ya vyeo na pesa....ndiyo Unyani, APEDOMIA

    Tujikumbushe Mchungaji Mtikila na Unyani APEDOMIA. Ukiona Mtanganyika hajali Utu wa Mtanganyika mwenzake kwa sababu ya pesa, cheo ndio UNYANI-APEDOMIA Ukiona Mtanganyika Unauza utu wake na watanganyika wenzake kwa tende na Harua, ndiyo Unyani...APEDOMIA Video chini
  4. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wahudumu TTCL wana kauli za hovyo hovyo

    Juzi nimetoka ofisi za TTCL mhudumu kanambia kaa hapo kwanza alafu hivi viti vipo mbele ya ofisi yake sijui ndio tuite meza. Mda wote ananiangaliaa, nimekaa wee mpaka nikachoka akawa anapitqpita hapo nikamwmbia vp mbona sikuelewi, akasema et amesahau kama ameniambia nisubirie aisee acheni...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko juu ya wahudumu Cashiers wa Mwendokasi Kimara

    Kiukweli Mimi hii hali ya wakatisha tiketi wa mwendokasi kituo cha kimara kuweka salio kwenye kadi tofauti na kiasi cha fedha inanikata sana. Mara ya kwanza nilidhani ni bahati mbaya lakini mpaka sasa ninathibitisha kua ndo michezo yao, kwanza hawatoi risiti, Mara ya pili nilitoa elfu tatu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Uchafu Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini Jang'ombe - Shehia ya Kidongo Chekundu

    Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu. Hii hali imekuwepo muda mrefu bila uchafu kuja kuchukuliwa, ukizingatia jalala lipo kwenye makaazi ya watu na karibu na skuli...
  7. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR

    Wahudumu wapya 65 watakaohudumu ndani ya treni ya kisasa ya SGR, leo wamehitimu mafunzo yao ya wiki nne tayari kuanza majukumu yao Februari 02, 2026 Mafunzo hayo yaliyolenga kuwapa maarifa na stadi ili kuleta tija, yalijikita katika maeneo mbalimbali hususani katika kuwahudumia abiria kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iingilie kati! Wauguzi na Wahudumu wa Afya wa Muhimbili, uongozi haututendei haki, hali yetu ni tete

    Tunaleta kilio chetu kwa Serikali na Mamlaka husika kwa kuwa watendaji wa huko wameshindwa kutusikiliza. Wakuu wa Idara kutoka Kurugenzi ya Uuguzi, wamekuwa na tabia ya kujiweka kwenye posho za NHIF na IPPM. Mgao wanaopata wao ni mkubwa kuliko watoa huduma waliohudumia wagonjwa. Ili hali kwa...
  9. tpaul

    JamiiForums Tanzania Rehema: Wahudumu wa mochwari waliotoa siri za mrundikano wa maiti wametekwa

    Kama kawaida, wahudumu wa mochwari waliotoa siri za maiti waliorundikana kwenye mochwari zao kufuatia mauaji ya halaiki ya tarehe 29 Oktoba hadi tarehe 05 Novemba wameanza kutekwa mmoja baada ya mwingine. Hii ni baada ya shirika la habari la CCN kujiandaa kutoa dokyumentari inayohusu mauaji haya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 BBC Swahili: Wahudumu wa afya ikiwemo madaktari wameeleza kuna magari yamekuwa yakichukua miili na kuipeleka kusikojulikana

    Wakuu BBC wamezungumza na watu kutoka kada ya afya ikiwemo Madaktari kutoka hospitali binafsi na za serikali ambao awameeleza kuwa kumekuwa na magari yanayoenda kuchukua miili na kuipeleka kusikojulikana. === Toka kutokea kwa vurugu za maandamano wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania, baadhi...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kuna bank moja hapa Tanzania inaendeshwa kikabila, wahudumu wake zaidi ya asilimia 95% ni wa Kabila moja, wana kauli mbaya na wezi wa fedha za wateja

    Kuna bank moja hapa Tanzania inaendeshwa kikabila, wahudumu wake zaidi ya asilimia 95% ni wakabila moja, wanakauli mbaya na wezi wa fedha za wateja Kila tawi lao utakalofika hapa Tanzania wahudumu wake ni wa kabila hilo hilo moja Kauli zao kwa wateja ni mbaya Wanachukulia wateja kama omba omba...
  12. N

    JamiiForums Tanzania KERO Sekretarieti ya Ajira /Ajira Portal Wahudumu wenu hawapokei simu

    Hii ni changamotoni kubwa sana. Hawa jamaa wa huduma kwa wateja wa Ajira Portal unaweza kuwapigia tokea asubuhi hadi jioni na simu haipokelewi na mbaya zaidi namba yao sifo free kupiga kwahiyo unapopiga dakika zinaenda. Naomba wahusika wajaribu kuwapa elimu watoa huduma wao tafadhali, wawe...
  13. excel

    JamiiForums Tanzania Airtel Money sio salama. Nimebadili neno la siri bila Kuhojiwa taarifa zozote Muhimu na wahudumu kuhusu Account yangu

    Airtel kama mpo humu JF mjitafakari sana kuhusu hili. Mna uthibitisho gani kama mimi mmiliki wa simcard ndio nimeomba Kubadili neno la siri na sio mtu mwingine? Nimefuata muongozo kwa kupiga 100, sijaongea na muhudumu ila mmeniruhusu kubadilisha PIN ya Airtel Money😭😭😭😭 Sidhani kama...
  14. D

    JamiiForums Tanzania KERO Wahudumu wa kivuko cha KIGONGO -BUSISI Mwanza wanadhulumu wananchi

    Kero yangu ipo upande wa kivuko cha KIGONGO - BUSISI, pale nauli ya kivuko kwa abiria mmoja ni 400, lakini ukienda pale wanakata 500, wanaadai hawana chenchi, Hii inaumiza wananchi sababu bei halali iliyoandikwa kwenye risiti ni tofauti na anayotozwa mwananchi kwa kigezo cha kukosa chenchi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania

    Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania. Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa. Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar Es Salaam.
  16. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Mgahawa maarufu hapo Tabora maarufu kwa 'chotara" wahudumu awajali wateja

    Katika majukumu yangu ya kila siku leo nilipita Tabora mjini nikielekea mpanda Katavi katika hali ya kupata chochote kitu ikanibidi niulizie mgahawa ambao ninaweza kupata chakula kizuri, kulingana na uchumi wangu. Wenyeji wakanielekeza eneo lile Kuna mgahawa Al maarufu kwa "chotara" kwa nje ya...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa muujibu wa sheria ya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1 kinaeleza waajiriwa wa vyombo vya habari kusoma na sio mtu wakawaida haruhusiwi kutoa

    Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1, Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
  18. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi ya TRA Mafinga ina huduma mbovu, wahudumu wana dharau wateja

    Nimefika kufanyiwa makadirio ya kodi katika Ofisi za TRA Tanzania Mafinga lakini tangu asubuhi wahudumu wanajizungusha tu mara huku mara kule, mara mtandao uko chini mara wahudumu wengine wako kuhudumia nje ya ofisi hivyo tuendelee kusubiri. Hii hali ni kero sana nimeuliza wateja wengine hapa...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania kama Taifa limebariki Watangazaji vilaza ndio wahudumu kwenye Tasnia ya Habari?

    Hivi kweli Taifa hili litajengwa kwa wananchi kuwasikiliza watu kama akina Gerald Hando, Zembwela, Kitenge, Baba levo, Diva, Akina Dauda, Lwambano seriously? Ule weledi wa tasnia habari umeenda wapi wa kuwa na wasomi waliopita Diploma na degree za mass communication uko wapi? Aibu sana kama...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Mwendokasi Kivukoni jirekebisheni, muwe na kauli nzuri na tafuteni tiba ya kukosa "chenji", ni kero kwa Abiria

    Pale Kivukoni sehemu ya kukatia tiketi katika Kituo cha Mwendokasi pa hovyo sana. Kwanza abiria ni wengi wanasongamana mno wanagombea tiketi. Mtu unakomaa kwenye foleni hadi unafanikiwa kufika dirishani, hapo unakuwa umepambana hasa. Sasa unafika dirishani unataka ukate tiketi fasta fasta...
Back
Top Bottom